Moja kwa moja ;
Tunapozungumzia Millennials tunamaanisha wale waliozaliwa kuanzia 1981 mpaka 1996 , kumekuwa na trending ya kulaumu watoto katika mmomonyoko wa maadili na kusahau chanzo kikuu ambacho ni wazazi wao .
Millennials wengi ndio wamezaa watoto waliozaliwa kuanzia 2010 walioanza mapema ni 2005 ambao ni wachache sana . Na ukiangalia trending kizazi kilichopinda zaidi ni cha watoto wa kuanzia 2005 to 2010 na kuendelea .
Ukiacha mambo ya utandawazi na mitandao ila kiukweli Millennials wengi wanalea watoto kizembe sana , unakuta Mzazi na mwanae kama mtu na Shoga yake hakuna mipaka wala kumuogopa Mzazi kama zamani wao wako bize kwenye utafutaji kufuatilia malezi ya watoto , kugundua matatizo mapema na kuyatibu hawana muda huo .
Hiki kizazi cha 2010 ni balaa mtaani kwangu tu Kuna vibinti vidogo single mothers sidhani kama wamevuka hata miaka 20 , na kwa haraka haraka wapo kama 9 hivi wanalea sasa , wengine wanepata ujauzito wakiwa sekondari , wengine baada ya kumaliza la 7 , wengine baada ya kumaliza form 4 na wote hao wazazi wao ni millennials , kwa upande wa Kiume hapo wahuni na wavuta bangi ndio wamejazana wengi ponapons yao wamekimbilia kuwa bodaboda .
Millennials unakuta Mzazi anafurahi na hasemi kitu ndani ya nyumba yake watoto wamejaza nyimbo za hovyo za bongo fleva na Singeli zilizojaa matusi na uhuni mwingi zinabondwa tu na wakati mwingine wakiwaimbisha watoto wao , hapo bado upande wa movies tamthilia zenye maudhui mabaya ya umbea , kuhamasisha ngono nk . Niliwahi kuanzisha mada athari ya hivyo vitu katika kuharibu akili ya watoto na maadili.
Sisi ambao wazazi wetu hawakuwa Millennials ilikuwa tukifanya kosa mtu unatetemeka mpaka kurudi nyumbani unaogopa wazazi hawafagilii ujinga , Millennials wao mtoto ni mfalme .
Nina mengi ila kwa Leo niishie hapo
#UziTayari
Tafuteni majina yenu jamani haya majina Millennials, Gen-Z, Gen X, Baby Boomers, The Silent Generation etc ni majina ya Kimarekani yanayofuata historia yao, mambo yao, timeline yao.Moja kwa moja ;
Tunapozungumzia Millennials tunamaanisha wale waliozaliwa kuanzia 1981 mpaka 1996 , kumekuwa na trending ya kulaumu watoto katika mmomonyoko wa maadili na kusahau chanzo kikuu ambacho ni wazazi wao .
Millennials wengi ndio wamezaa watoto waliozaliwa kuanzia 2010 walioanza mapema ni 2005 ambao ni wachache sana . Na ukiangalia trending kizazi kilichopinda zaidi ni cha watoto wa kuanzia 2005 to 2010 na kuendelea .
Ukiacha mambo ya utandawazi na mitandao ila kiukweli Millennials wengi wanalea watoto kizembe sana , unakuta Mzazi na mwanae kama mtu na Shoga yake hakuna mipaka wala kumuogopa Mzazi kama zamani wao wako bize kwenye utafutaji kufuatilia malezi ya watoto , kugundua matatizo mapema na kuyatibu hawana muda huo .
Hiki kizazi cha 2010 ni balaa mtaani kwangu tu Kuna vibinti vidogo single mothers sidhani kama wamevuka hata miaka 20 , na kwa haraka haraka wapo kama 9 hivi wanalea sasa , wengine wanepata ujauzito wakiwa sekondari , wengine baada ya kumaliza la 7 , wengine baada ya kumaliza form 4 na wote hao wazazi wao ni millennials , kwa upande wa Kiume hapo wahuni na wavuta bangi ndio wamejazana wengi ponapons yao wamekimbilia kuwa bodaboda .
Millennials unakuta Mzazi anafurahi na hasemi kitu ndani ya nyumba yake watoto wamejaza nyimbo za hovyo za bongo fleva na Singeli zilizojaa matusi na uhuni mwingi zinabondwa tu na wakati mwingine wakiwaimbisha watoto wao , hapo bado upande wa movies tamthilia zenye maudhui mabaya ya umbea , kuhamasisha ngono nk . Niliwahi kuanzisha mada athari ya hivyo vitu katika kuharibu akili ya watoto na maadili.
Sisi ambao wazazi wetu hawakuwa Millennials ilikuwa tukifanya kosa mtu unatetemeka mpaka kurudi nyumbani unaogopa wazazi hawafagilii ujinga , Millennials wao mtoto ni mfalme .
Nina mengi ila kwa Leo niishie hapo
#UziTayari
Uzi umelenga angle ya maadili kijamii zaidi na sio mambo ya kiutawalaKizazi cha wala rushwa na wahujumi uchumi ndo unakisifu sio ?
Vijana wa 2000s unasemaje ni vijana wa hovyo ikiwa hata kupata nafasi ya kuongoza nchi hawajawahi kupata .
Nimefuata trend jinsi wao wanavyojiita ili mada ieleweke zaidi .Tafuteni majina yenu jamani haya majina Millennials, Gen-Z, Gen X, Baby Boomers, The Silent Generation etc ni majina ya Kinarekani yanayofuata historia yao, mambo yao, timeline yao.
Unaweza kutumia neno hilo la generations za Kinarekani kuwaita Watanzania halafu ukaliharibu kabisa kwa sababu linakuwa halina sifa zile zike za Wamarekani wenyewe.
Kwani huko Tanzania hakuna vitu vyenu, hamna historia yenu, hamna tineline yenu, hamna vyenu vya kuita vizazi vyenu mpaka mviite vizazi vyenu kwa majina ya Kimarekani?
MkuuMoja kwa moja ;
Tunapozungumzia Millennials tunamaanisha wale waliozaliwa kuanzia 1981 mpaka 1996 , kumekuwa na trending ya kulaumu watoto katika mmomonyoko wa maadili na kusahau chanzo kikuu ambacho ni wazazi wao .
Millennials wengi ndio wamezaa watoto waliozaliwa kuanzia 2010 walioanza mapema ni 2005 ambao ni wachache sana . Na ukiangalia trending kizazi kilichopinda zaidi ni cha watoto wa kuanzia 2005 to 2010 na kuendelea .
Ukiacha mambo ya utandawazi na mitandao ila kiukweli Millennials wengi wanalea watoto kizembe sana , unakuta Mzazi na mwanae kama mtu na Shoga yake hakuna mipaka wala kumuogopa Mzazi kama zamani wao wako bize kwenye utafutaji kufuatilia malezi ya watoto , kugundua matatizo mapema na kuyatibu hawana muda huo .
Hiki kizazi cha 2010 ni balaa mtaani kwangu tu Kuna vibinti vidogo single mothers sidhani kama wamevuka hata miaka 20 , na kwa haraka haraka wapo kama 9 hivi wanalea sasa , wengine wanepata ujauzito wakiwa sekondari , wengine baada ya kumaliza la 7 , wengine baada ya kumaliza form 4 na wote hao wazazi wao ni millennials , kwa upande wa Kiume hapo wahuni na wavuta bangi ndio wamejazana wengi ponapons yao wamekimbilia kuwa bodaboda .
Millennials unakuta Mzazi anafurahi na hasemi kitu ndani ya nyumba yake watoto wamejaza nyimbo za hovyo za bongo fleva na Singeli zilizojaa matusi na uhuni mwingi zinabondwa tu na wakati mwingine wakiwaimbisha watoto wao , hapo bado upande wa movies tamthilia zenye maudhui mabaya ya umbea , kuhamasisha ngono nk . Niliwahi kuanzisha mada athari ya hivyo vitu katika kuharibu akili ya watoto na maadili.
Sisi ambao wazazi wetu hawakuwa Millennials ilikuwa tukifanya kosa mtu unatetemeka mpaka kurudi nyumbani unaogopa wazazi hawafagilii ujinga , Millennials wao mtoto ni mfalme .
Nina mengi ila kwa Leo niishie hapo
#UziTayari
Watoto wa Millennials sasa wanalala na hela wakati zamani ilikuwa Mtoto halali na helaNi sawa tu
MkuuTafuteni majina yenu jamani haya majina Millennials, Gen-Z, Gen X, Baby Boomers, The Silent Generation etc ni majina ya Kimarekani yanayofuata historia yao, mambo yao, timeline yao.
Unaweza kutumia neno hilo la generations za Kimarekani kuwaita Watanzania halafu ukaliharibu kabisa kwa sababu linakuwa halina sifa zile zile za Wamarekani wenyewe.
Kwani huko Tanzania hakuna vitu vyenu, hamna historia yenu, hamna timeline yenu, hamna vyenu vya kuita vizazi vyenu mpaka mviite vizazi vyenu kwa majina ya Kimarekani?
Uzi umelenga angle ya maadili kijamii zaidi na sio mambo ya kiutawala
Wanajificha ktk shamba la mchichaMkuu
Tujiiteje sasa.ππ
MkuuMillennials ndio Wazee wakina loose Nut tunayehangaika naye Jf π
Kazi kutype na kuongea shombo kuhusu Gen Z wakati wao malezi yamewashinda na uthubutu hawana