Millennials ndio Kizazi kilichofeli zaidi katika malezi ya watoto

kwenye huo umri mi ni mmoja wao,, itoshe kusema hakuna jipya.. tofauti ni wingi tu na mazingira.
 
Nimeangalia mitaa ninayoishi , kizazi ambacho watoto wengi wamepotoka kimaadilli na wanaolelewa kama Mayai ni kilichozalishwa na Millennials

Kwahiyo unakubaliana na Mimi kuwa hizo ni hisia zako na generalization

Maana wewe unaishi Daressalaam, maeneo ya kiswahili hizo tabia unazoona huko sio tu wanazo vijana wa 2000s hiyo ni watu wote hao wamekuwa affected na mazingira yao wenyewe.

Hapa hapa Daressalaam wapo vijana smart sana na wamezaliwa 2000s

Kwahiyo instead ya kulaumu watu wa 1980s ungeanza na kuangalia mazingira uliyopo .
 
Tupe go ahead siyo kutusakama mkuu usichokijua millennials ndo tunaongozana na watoto wetu kwenda nao misikitini na makanisani. Binafsi naona vigodoro ndo vimechangia kwa kiasi kikubwa kuharibikiwa kwa watoto wetu
 
Tafuteni majina yenu jamani haya majina Millennials, Gen-Z, Gen X, Baby Boomers, The Silent Generation etc ni majina ya Kimarekani yanayofuata historia yao, mambo yao, timeline yao.

Unaweza kutumia neno hilo la generations za Kimarekani kuwaita Watanzania halafu ukaliharibu kabisa kwa sababu linakuwa halina sifa zile zile za Wamarekani wenyewe.

Kwani huko Tanzania hakuna vitu vyenu, hamna historia yenu, hamna timeline yenu, hamna vyenu vya kuita vizazi vyenu mpaka mviite vizazi vyenu kwa majina ya Kimarekani?

mkuu waafrika wao ni iga iga tu mpaka visivyoigwa
 
Uzi umelenga angle ya maadili kijamii zaidi na sio mambo ya kiutawala

Kwahiyo wewe maadili kwako ni nini ina maana viongozi wala rushwa watu wa Escrow, Richmond, EPA n.k

Hao Wana maadili sio?

Hizo video ambazo umeona mtandaoni za hao Wanafunzi wa Shule za kata ni mazao ya hao watu wa 1950s na 1960s n.k

Kwakuwa hizo Shule zipo maalumu kuwafanya watoto wasikae mtaani ila tukitazama ubora wa Elimu unaitolewa hapo unatia mashaka.
 
wanakuja ngoja wamalize kufokeana na wake na waume zao kuhusu chakula cha leo na watoto wa ndugu ndiyo tena wamekwisha ingizana
 
ukiangalia trending kizazi kilichopinda zaidi ni cha watoto wa kuanzia 2005 to 2010 na kuendelea .
Bado unacheza kwenye ule mwendo wa kulaumu na siyo kutafuta njia ya nini kifanyike.Siku tukiacha hii tabia ya kulaumu naamini njia itapatikana.Tunapenda majibu rahisi kwenye maswali magumu.

Swali: Kwa nini maadili kwenye jamii yetu yameshuka??

Jibu : wazazi wa Millenial walishindwa kutimiza wajibu.

Swali ni gumu lakini limejibiwa kirahisi sana.
 
Nilikuwa napenda kufanya kazi extra time ili nipate pesa za extra duty, mume akaniambia yo a mom now hivyo maliza kazi mapema rudi nyumbali pambana na watoto and i will do the same kila inapobidi. Tumejisahau sana kama wazazi katika malezi then tunaishia kuwalaumu watoto wetu tulioshindwa kuwalea wenyewe.
 
Nimefuata trend jinsi wao wanavyojiita ili mada ieleweke zaidi .
Naelewa, ila huu uvivu wa kufikiri kwenye mambo kama haya, uvivu wa vitu vidogo visivyohitaji uwekezaji wala fedha za kigeni unaelezea kwa nini hizi jamii zinaburuzwa.

Ukishindwa hata kuita vizazi vya watu wako kwa majina yako unategemeaje kushindana na hawa watu katika mambo makubwa?
 
Kizazi cha wala rushwa na wahujumi uchumi ndo unakisifu sio ?

Vijana wa 2000s unasemaje ni vijana wa hovyo ikiwa hata kupata nafasi ya kuongoza nchi hawajawahi kupata .
Uhovyo auonekani kwenye uongozi tu uhovyo unaonekana kuanzia jinsi unavyo endesha maisha yako ya Kila siku.
 
Mkuu

Tujiiteje sasa.😂😂
Kwanza kabisa watu wengi hawajui lugha, historia etc.

Ukiuliza humu wangapi wanajua Barubaru ni nini, wengi hawajui.

Pili kuna majina yetu ya kuashiria nyakati. Mfano, Mwamvita ni jina la kuashiria mtu aliyezaliwa wakati wa vita. Mfano Mwamvita Makamba amezaliwa mwaka 1979, wakati wa vita.

Na katika historia yetu, wakati huu wa vita kuanzia 1978 umeleta mabadiliko sana, kuna matatizo mengi ya kiuchumi yametokana na vita. Matatizo haya yamebadilishaje jamii yetu? Yamebadilishaje kizazi kilichozaliwa baada ya vita kulinganisha na cha kabla ya vita?

Pengine tulitakiwa tuwe tunaongelea kizazi cha "Mwamvita" badala ya Millennials na Gen-Z 😂😂
 
Shukrani kwa mchango napunguza lawama na mihemko sijui vingi.
 
Naelewa, ila huu uvivu wa kufikiri kwenye mambo kama haya, uvivu wa vitu vidogo visivyohitaji uwekezaji wala fedha za kigeni unaelezea kwa nini hizi jamii zinaburuzwa.

Ukishindwa hata kuita vizazi vya watu wako kwa majina yako unategemeaje kushindana na hawa watu katika mambo makubwa?
Nakubali , ila Kuna muda inatakiwa urahisishe mambo ili uleweke kwa haraka na wabongo 😂
Kwanza kabisa watu wengi hawajui lugha, historia etc.

Ukiuliza humu wangapi wanajua Barubaru ni nini, wengi hawajui.

Pili kuna majina yetu ya kuashiria nyakati. Mfano, Mwamvita ni jina la kuashiria mtu aliyezaliwa wakati wa vita. Mfano Mwamvita Makamba amezaliwa mwaka 1979, wakati wa vita.

Na katika historia yetu, wakati huu wa vita kuanzia 1978 umeleta mabadiliko sana, kuna matatizo mengi ya kiuchumi yametokana na vita. Matatizo haya yamebadilishaje jamii yetu? Yamebadilishaje kizazi kilichozaliwa baada ya vita kulinganisha na cha kabla ya vita?

Pengine tulitakiwa tuwe tunaongelea kizazi cha "Mwamvita" badala ya Millennials na Gen-Z 😂😂
Barubaru nadhani imetoka kwa Wagiriki neno "Barbaroi" kumaanisha non Greek ambao walikuwa wanawaona kama uncivilized , likaja Afrika Kuna jamii ikawa inaitwa 'Berbers' Wazungu wakawa wanaita 'barbarians' watu wasiostarabika. Ikaja Swahililand ikaitwa "barubaru"

Hizo assumptions zangu kuhusu "barubaru" kama Kuna makosa nisahihishe
 
Tafuteni majina yenu jamani haya majina Millennials, Gen-Z, Gen X, Baby Boomers, The Silent Generation etc ni majina ya Kimarekani yanayofuata historia yao, mambo yao, timeline yao.

Unaweza kutumia neno hilo la generations za Kimarekani kuwaita Watanzania halafu ukaliharibu kabisa kwa sababu linakuwa halina sifa zile zile za Wamarekani wenyewe.

Kwani huko Tanzania hakuna vitu vyenu, hamna historia yenu, hamna timeline yenu, hamna vyenu vya kuita vizazi vyenu mpaka mviite vizazi vyenu kwa majina ya Kimarekani?
Gen Z bongo ana soma na kibatari 😆
Style yetu naona iwe
-Watoto walio zaliwa kipindi cha Kikwete
-Watoto walio zaliwa kipindi cha jiwe
-Watoto walio zaliwa kipindi cha kazi na utu kipindi cha elninyo ya jua na joto kali etc
 
Back
Top Bottom