Uongo huo Miloud hakutaka kuondoka ni viongozi wa Yanga walmkalia kimya baada ya msimu kuisha hadi wakala wake huyo kocha aliwahi kulalamikia hiyo hali ya viongozi wa Yanga kukaa kimya bila kuzungumzia chochote kuhusu mkataba mpya ilihali kocha wake ameipa yanga mafanikioKuna makocha ambao wao ndio wanakuwa wametaka kuondoka (mfano Miloud, Nabi na Fadlu wa makolo) huwezi kuwalazimisha wabaki. Halafu kuna wale wanakuwa wametimuliwa (mfano Gamondi na FOIL). Mimi nafiiri ni bora kumrudisha uliyemtimua kuliko aliyejiamulia kuondoka na kukuacha solemba.
Inawezekana al masry hao walituzidi dau na mwenyewe alipanga kuondokaKwa Miloud Yanga ilikuwa ina uhakika wa ushindi zaidi ya asilimia 70 sijui ilikuwaje uongozi ukamuacha na kuamua ku bet na kocha mpya asiyekuwa na uzoefu wowote ule na CV ya ovyo. Viongozi walikosea sana.
Analeta siasa kuwafurahisha rafiki zake kina wengerKwa umuch know wa Hersi utashangaa anaenda kumuokota Eminem mwingine huko duniani wa kuja kuwafanyia majaribio wachezaji ambao tayari wanajua majukumu yao wawapo uwanjani!
Huyu Mwamba aliimudu timu ndani ya muda mfupi sana. Angerudishwa, mashabiki tungepata utulivu wa nafsi.
Basi kama ni hivyo tulikosea sana kumbe alipenda kubakiUongo huo Miloud hakutaka kuondoka ni viongozi wa Yanga walmkalia kimya baada ya msimu kuisha hadi wakala wake huyo kocha aliwahi kulalamikia hiyo hali ya viongozi wa Yanga kukaa kimya bila kuzungumzia chochote kuhusu mkataba mpya ilihali kocha wake ameipa yanga mafanikio
Ndio hayo hayo ya Folz ambaye alikuja kuitafutia CV hapa mkuuTugange yajayo hamna haja ya kumrudisha huyo Miloud, Hersi aangalie kocha mpya mwengne kama ni CV ataipatia hapa hapa
Umuch know ndio point ya msingiKwa umuch know wa Hersi utashangaa anaenda kumuokota Eminem mwingine huko duniani wa kuja kuwafanyia majaribio wachezaji ambao tayari wanajua majukumu yao wawapo uwanjani!
Huyu Mwamba aliimudu timu ndani ya muda mfupi sana. Angerudishwa, mashabiki tungepata utulivu wa nafsi.
Bora hata ingekuwa Al Masry ningeamini katika kushindwa ku battle nao katika dau ila Al Ismaily aisee ni ngumu kukubali kuwa uongozi ulishindwa kukaa mezani kumboreshea maslahi yake.Inawezekana al masry hao walituzidi dau na mwenyewe alipanga kuondoka
Mkuu kuendesha club sio tahisi kihivyo. Kocha ana matakwa yake pia vitabu vya kihasibu lazima vi-balace. Halafu hiyo ismaily ni timu yenye historia kubwa misri. Kwa sasa inayumba lakini sio timu ndogo, ina msuli wa helaMkuu hoja yangu ni kwamba viongozi hawakuona umuhimu wake ndio maana hawakufikiria kukaa nae mezani ili wamboreshee maslahi yake. Kama waliwaza kubakia na wachezaji wao muhimu kwa namna yeyote ile, je imeshindikana nini kumbakiza mwalimu aliyewapa mataji na matokeo mazuri kwa kipindi kifupi mno? Kwasasa Ismaily haina uwezo kiuchumi, kuipiku Yanga.
Yule mzee bwana alijua kutuheshimishagamond was real a coach. Nakumbuka zile mechi mbili na mamelod pale nilivua kofia. Hapo SIJATAJA Ile na belouzdad
Swala ni je Miloud alipenda kubaki? Ukute alipenda ila hawakumpa.mkataba au hakutaka kubaki napenda kujua hili mkuuBora hata ingekuwa Al Masry ningeamini katika kushindwa ku battle nao katika dau ila Al Ismaily aisee ni ngumu kukubali kuwa uongozi ulishindwa kukaa mezani kumboreshea maslahi yake.
Hatuwezi kuanza upya muda huu mkuu kwa kuleta kocha mpya tutachelewa sanaMakocha wako wengi wazuri
Ila Bado miloud ni Coach mzuri
Ni kweli kama anapatikana Kwa urahisi basi aletwe tuHatuwezi kuanza upya muda huu mkuu kwa kuleta kocha mpya tutachelewa sana
Ilikuwa ina msuli wa fedha ila sio kwasasa, kwasasa wana hali ngumu na ndio maana wana struggle kwa misimu miwili mfululizo wao ni kutetea kutoshuka daraja tu. Lakini yote yote wadau wamekumbusha kuwa Miloud na wakala wake walitoa ufafanuzi kuwa viongozi wa Yanga walimfungia vioo kumpa mkataba mpya.Mkuu kuendesha club sio tahisi kihivyo. Kocha ana matakwa yake pia vitabu vya kihasibu lazima vi-balace. Halafu hiyo ismaily ni timu yenye historia kubwa misri. Kwa sasa inayumba lakini sio timu ndogo, ina msuli wa hela
Hapa tunajadili wenye akili sio wewe kichwa panzi senene mkubwa.Puuzi moja kubwa sana wewe. Unafikiri kuifunga simba kiujanja ujanja ndio ushawishi huko duniani? Aliondoka utopotolo sababu ya ushawishi wa fedha hao waarabu. Unaongea utopolo gani hapa?
Niliskia kuna yule kocha anaitwa Dino yupo kwenye radarNi kweli kama anapatikana Kwa urahisi basi aletwe tu
Naona Bado ni coach mzuri
Ramovic ni ngumu kuja kufanya kazi hukuNiliskia kuna yule kocha anaitwa Dino yupo kwenye radar
Tufanye yote ila Ramovich asiletwe jamaa mpira upo mdomoni sana na alitutemea shit sana
Nimebidi nijiridhishe katika hili kwanza,Swala ni je Miloud alipenda kubaki? Ukute alipenda ila hawakumpa.mkataba au hakutaka kubaki napenda kujua hili mkuu
Nimebidi nijiridhishe katika hili kwanza,Swala ni je Miloud alipenda kubaki? Ukute alipenda ila hawakumpa.mkataba au hakutaka kubaki napenda kujua hili mkuu
Sina uhakika sana kama Yanga Yanga walimwacha Miloud na wakaenda kumleta mwanafunzi Folz afanye field kwenye timu yetu, ila kama walifanya hivi walikoseaIlikuwa ina msuli wa fedha ila sio kwasasa, kwasasa wana hali ngumu na ndio maana wana struggle kwa misimu miwili mfululizo wao ni kutetea kutoshuka daraja tu. Lakini yote yote wadau wamekumbusha kuwa Miloud na wakala wake walitoa ufafanuzi kuwa viongozi wa Yanga walimfungia vioo kumpa mkataba mpya.