permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,484
- 15,297
Yule nae ni mbovu tu, hamna kitu mule.Ramovic ni ngumu kuja kufanya kazi huku
Tuwe wakweli hakuna Coach atagoma kufanya kazi Algeria, Morocco, Egypt, Tunisia au South Africa
Kumbuka kule Kuna maisha mazuri acha mbali mambo ya malipo.
Ni ngumu kumtoa Ramovic pale Algeria aje huku ulimwengu wa 3 kucheza na Mashujaa Kigoma uwanja upo kama majaruba,
Labda timu ilikuwa inacheza kama timu ya shuleNasikia kumbe hata baadhi ya wachezaji ndani ya klabu walikuwa hawamkubali. Sasa sijui shida ilikuwa ni mbinu zake, au ni ile style yake ya kujifanya hacheki na mtu!!!
Waswahili hua mnajua kila kituYule nae ni mbovu tu, hamna kitu mule.
Kabisa yoyote atakayekuja sawa.Huyo Miloud au Gamond aitwe haraka Jmosi tuwe naye uwanjani. Mimi nitaingia uwanjani VIP C.
Side mnyamwezi sio kocha wa maana.Waswahili hua mnajua kila kitu
Watafute tu coach mzuri tu hata hao makocha waliongezewa thamani na Yanga,Kabisa yoyote atakayekuja sawa.
Japo napenda aje Miloud kuliko Gamond.
Ila injinia sasa!
Utashangaa anaibuka na kocha wake from no where anaanza tena majaribio.
Mbona hujamalizia na Folz minuno kwenye list? Kuhitaji kocha Gamondi au Miloud ni kama dharura ya kuokoa nyumba inayoungua moto. Kocha mpya ambaye ni mgeni atahitaji muda kuandaa timu na kuwajua wachezaji wake. Lakini wakija hao wawili hawatohitaji muda bali kuelekeza mambo machache ya kimbinu na ufundi kisha kuingia na mkakati sahihi katika kufuzu makundi dhidi ya hao Silver strikersWatafute tu coach mzuri tu hata hao makocha waliongezewa thamani na Yanga,
Gamondi ametokea Yanga akaenda kufeli huko Libya
Miloud kaja kuwa bingwa Yanga, kaenda Egypt timu yake inabuluza mkia
Nabi katika Elmerik ya Sudan akiwa ametokea kutimuliwa kaja kupandisha thamani akiwa Yanga, akaenda kufukuzwa Kaizer
Makocha wapo na hao siamini ati wakija ndo kuwa hawawezi kufeli
Hicho ndio tunasemeaMbona hujamalizia na Folz kweenye list? Kuhitaji kocha Gamondi au Miloud ni kama dharura ya kuokoa nyumba inayoungua moto. Kocha mpya ambaye ni mgeni atahitaji muda kuandaa timu na kwa kuwajua na kiwasoma wachezaji wake. Lakini wakija hao wawili hawatohitaji muda bali kuelekeza mambo machache ya kimbinu na ufundi kisha kuingia na mkakati sahihi katika kufuzu makundi dhidi ya hao Silver strikers
Yule jamaa ni kama alikuja kujifunza yangaHersi asifanye makosa ya kuleta tena wazungu, hawa watu wanadharau na viburi halafu hamna kitu
Miloud Hamdi akirudi ingekuwa poa sana!
Naombea sana Gamondi arudi lakini nadhani atakuwa aliachana vibaya na viongoziMbona hujamalizia na Folz minuno kwenye list? Kuhitaji kocha Gamondi au Miloud ni kama dharura ya kuokoa nyumba inayoungua moto. Kocha mpya ambaye ni mgeni atahitaji muda kuandaa timu na kuwajua wachezaji wake. Lakini wakija hao wawili hawatohitaji muda bali kuelekeza mambo machache ya kimbinu na ufundi kisha kuingia na mkakati sahihi katika kufuzu makundi dhidi ya hao Silver strikers
Huyu ngumu kurudi waliachana kwa ugomvi sana ni ngumu sana tufanye tu Miloud anatutoshaNaombea sana Gamondi arudi lakini nadhani atakuwa aliachana vibaya na viongozi
Me kwakweli nitaheshimu maaamzi ya viongozi wetuHuyu ngumu kurudi waliachana kwa ugomvi sana ni ngumu sana tufanye tu Miloud anatutosha
Hakuna namna ya kuja na mwengine zaidi kuanza upya tena tumeshachelewa
Ismailia wana pesa mkuuHivi kati ya Yanga na Ismaily ni nani mwenye msuli wa ushawishi kwasasa? Ismaily inayopambana isishuke daraja iweze kuizidi Yanga iliyojijenga kwa kugombea mataji ya ndani na huku ikiwa na uhakika wa kucheza klabu bingwa Africa ndio ishindwe na Ismaily iliyojichokea? Wangekuwa na pesa ya ku battle au project ya maana kama Yanga basi tungeona wamefanya usajili mkubwa wa wachezaji lakini hakuna. Viongozi waliishi kwa mazoea kuwa, ujeuri na kuamini kuwa tutapata kocha mzuri kuliko Miloud hivyo hawakuona ulazima wa kumbakisha.
Alex ngai mjumbe wa bodi amesema safari hii wanaleta kocha mkubwa mwenye CV kubwa na uzoefu wa African Football na ameshafundisha team kubwa kadhaaHersi tuletee Miloud usilete mambo mengi.
Yule jamaa alikuwa safi. Arudi tu.Naombea sana Gamondi arudi lakini nadhani atakuwa aliachana vibaya na viongozi
Gamondi ana egoYule jamaa alikuwa safi. Arudi tu.
Kwasasa hawana mkuu, fanya utafiti wako vizuriIsmailia wana pesa mkuu
Za ndaani kabisa zinasema Nabi ndiye anayepigiwa chapuo. Ingawa katika uhalisia, ni Miloud Hamdi ndiye aliyefanikiwa msimu uliopita kuleta utulivu ndani ya timu baada ya kukumbwa na dhoruba kali wakati ligi inaendelea.Nabii atulie kwanza