Mimi baba wa watoto watatu ratiba yangu ya asubuhi na jioni

"Kijiwe cha vijana na wazee wa hovyo"🤣🤣
 
Safi sana masai dada mleta mada ataeleweka na wakubwa tu,hawa vijana ndio watakao mponda tena bila hata ya wao kuweka ratiba zao ili na wao tuwasome.
Yaani ni ngumu uleee wanao hivyo alafu baadae wakukatae,,wasiwe na upendo na wewe uzeeni...
Kuna tatizo kubwa bongo wababa wengi huko mbeleni watoto hawawajali kwasabbu hawana kumbukumbuku za upendo na good memories kama hizi....yaani hana cha kukumbuka kizuri kitakachomfanya akutunze na wewe uzeeni...
Wababa wanachojua ni kutoa matumizi na ada za watoto...
Watoto hawajui hizo za pesa..wanahitaji muda wako kama anavyofanya mama yao...
Ni nadra mama watoto wamkatae huko mbele sio kwamba kwa sabbu ya kuzaa tu hapana....ni kwa sabbu ya muda unao spend na watoto katika maisha yao
Wewe kila siku unarudi uko tungi everyday ....mtoto anatengeneza kumbukumbu gani juu yako hapo mbele?
 

Sijaona muda wa kuzagamuana
 
Malengo yako ya kimaisha ni yapi?
Hujazaliwa kuishi hivyo kaka.
 
Safi sana, kuna jinga moja humu linajiita deepond,
Lenyewe likitoka kazini lazima lipite kwa mchepuko mamaj likapewe tako liache elfu 10.
Nafkiri watoto hata hawajui baba yao nani

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseee
 
Pitia kwa mganga atengue limbwata ulilolishwa.
 
Upo sahihi mkuu
 
Tunapaswa kubadilika, wanaume uzeeni huwa wanabaki wapweke sana. Watoto wote wanahamia kwa mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…