Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Kasamia bhana hakana uwezo wa kuongoza lakin kamejitahid kwenye maendeleo ya nchi hii,nchi inaendelea vzur hakuna kilichoharibika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio shida yetu, tunadhani tunaweza geuza mkaa kuwa almasi.Bora kutega sikio kwenye shimo la choo kusikiliza inzi wakigombea mafii kuliko kumsikiliza huyo bushiri
Hayo ni maamuzi yenuKasamia bhana hakana uwezo wa kuongoza lakin kamejitahid kwenye maendeleo ya nchi hii,nchi inaendelea vzur hakuna kilichoharibika
Kanuni ya kiuongozi inasema wapumbavu uchaguana wao kwa wao na wenye akili uchaguana wao kwa wao..Ndio shida yetu, tunadhani tunaweza geuza mkaa kuwa almasi.
Huyo mama anakaka kwenye baraza la mawaziri (probably, yeye ndio mwenye uwezo mdogo) kwenye mkutano. Ana washauri wataalamu ambao wana kazi ya coaching,
Ili kuona uwezo wake ni kumuacha a free-flow; sijawahi kukutana nae. Lakini uwezo wake ni mdogo sana.
Ndio ukweli
Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza raisi Samia.
Bora nikalime huko, kuliko kupokea orders kutoka kwake.
Hana uwezo hata chembe.
That says a lot ueledi wa civil services,
It’s a shitty county (ndio uhalisia).
Kwa katiba yetu ni sawa na power struggle za Europęan monarchy. Unakuta mtoto anarithi kwa tamaduni au mtu wa mbali anautwaa ufalme kwa kanuni.
Waelevu wanaona isiwe tabu vita, kumtoa huyu mtu.
Muwe wakweli raisi Samia hana uwezo kabisa.
Wewe ndiyo una uwezo, au siyo?
Mkuu 'Mayor', wakati mwingine ni vizuri nawe uwe ni mkweli kwa nafsi yako.
Hivi kweli hujui Samia kafikaje hadi hapo alipofika? Unajuwa Tanzania kuna chama (cha siasa?), kinacho jitambulisha kuwa ni Chama Cha Mapinduzi (CCM)? Sasa anzia hapo kujuwa aliko tokea Samia na kufika hadi hapo alipo sasa. Usimlalamikie mtu mwingine kwa ujio wa Samia kwenye picha; ingawa Kikwete ndiye anaye julikana kuwa mtu wa mwanzo mwanzo kumpandisha kwenye 'pedestal.'
Mwaka 2022 nilishituka Sana kusikia kutoka kwa mmojawapo wa Vigogo wa Chama Chao akitamka kwamba "Mwenyekiti wa chama tuliyenaye Sasa Hana mvuto wa kisiasa."Katiba ni shida nakubali, lakini shida zaidi pia ni civil services.
Nchi inayojitambua haiwezi ongozwa na mtu kama Samia.
Ni vipi huyu mama, kaweza kupenya hadi kuwa makamu wa raisi; Samia uwezo wake ni mdogo mno (akili zake ni ndogo mno), huo ndio ukweli.
Raisi Samia, kafikaje kwenye radar ya ulinzi wa nchi kudhani anaweza kuwa makamu wa raisi.
This is not OK.
Civil servants wetu ni uwezo mdogo kupindukia.Kuna criteria’s za mtu ambae ni coachable kwa nafasi ya uraisi.
Samia ni un-coachable simply kwa sababu uwezo wake ni mdogo mno.
Tatizo unaliona lipo kwenye civil servants, wengi ni uwezo wao mdogo sana.
Asilimia kubwa ya senior civil servants wa TRA awaelewi hata sheria za kodi, leave alone the changes which comes with the new budget. But most don’t understand the accounting principles behind the VAT act.
Ni hivi, sasa kumuongelea huyo raisi wenu Ndio shida kabisa.
Ndio maana, sioni tatizo la Tanzania kama Samia; isipokuwa 90% ya senior civil servants hawana sifa ya nafasi walizonazo.
Na wengi hawajawahi ata kusoma vitabu vya siasa it’s obvious. I can’t waste my time to justify that kwa sababu hata kwenye hili jukwaa la siasa I can go as far as to say 99% ya wachangiaji hawajawahi kusoma kitabu cha siada at foundation level.
Ndio uhalisia
This sums your ignorance.Civil services includes vyombo vyote vya ulinzi.
Chura kiziwi hana points na ushawishi kwa watuKwa katiba yetu ni sawa na power struggle za Europęan monarchy. Unakuta mtoto anarithi kwa tamaduni au mtu wa mbali anautwaa ufalme kwa kanuni.
Waelevu wanaona isiwe tabu vita, kumtoa huyu mtu.
Muwe wakweli raisi Samia hana uwezo kabisa.
Nina shemeji yangu ni mwenyekiti wa CCM wa mkoa fulani,anasema wazi CCM "ilipatwa" na Tanzania "ilipatikana" kuwa na mwenyekiti na rais huyu.Mwaka 2022 nilishituka Sana kusikia kutoka kwa mmojawapo wa Vigogo wa Chama Chao akitamka kwamba "Mwenyekiti wa chama tuliyenaye Sasa Hana mvuto wa kisiasa."
Nilishituka Sana kusikia kauli hii kutoka kwa mtu wa kaliba ile, kwa sababu sikutegemea kabisa kwa mtu huyo kwamba angeweza kutamka maneno haya kutokana na yeye kuwa 'kada kindakindaki' wa hicho chama chao.
"Hana mvuto wa kisiasa."Nina shemeji yangu ni mwenyekiti wa CCM wa mkoa fulani,anasema wazi CCM "ilipatwa" na Tanzania "ilipatikana" kuwa na mwenyekiti na rais huyu.
Umeandika jambo la msingi sana ndugu.Samiah sio wa kumshambulia hivi!
Samiah ni zao la mfumo wetu mbovu na katiba mbovu!
Ameonyesha uwezo wake ndio huo aliojaaliwa na Muumba!Sasa atafanyaje zaidi!!?
Mfumo ndio utakua umepatia au kukosea!
TANROAD iko hoi mda wowote inakata motoUnderstand, that was a "tongue in chick" response; which incidentally is turning into reality for the majority of leaders in government!
Leo hii ukimwamsha usingizini kiongozi yeyote, hasa wa kuteuliwa; mawaziri wote; wakuu wote wa vitengo; mwambie akutajie maneno kumi tu kwa haraka haraka. Hukosi kusikia Samia, pochi la mama; Samia kajenga, n.k.,
Hii imekuwa kama nchi ya laana. Watu wazima akili zime waruka kichwani.
BRIGHTEST!Kafulila na kundi lake wamepewa udalali.
Nchi haina tena state crafters ambao ni nadra kuwapata na hata tukiwapata hawaishi muda mrefu.
Tusione nchi za wenzetu zipo kama zilivyo zimeundwa na state crafters.
Sasa utaniuliza statecraft ndo nini?
Ni uwezo wa mtu au watu wanoongoza kutengeneza stratejia kwa maslahi ya nchi ili nchi hiyo isimame kiuchumi, kidiplomasia na kijeshi katika eneo lake.
Hivyo ni ufundi wa kuunda taifa la namna hiyo na hujumuisha pamoja na yote watu muhimu wa Civil Service ambao nao pia ni lazima kuwe na stream nzuri inokwenda kadi vyuo vikuu kutafuta talents kwa ajili hiyo ya kusaidia statecraft process.
Graduate wa leo katika nchi ziliondelea azungumza lugha moja na kiongozi wa nchi kuhusu mazingira na diplomasia ya uchumi akiandaliwa kuwa kiongozi wa kesho.
Ni kazi ngumu ila hakuna mkate mgumu mbele ya chai.
HmmmRevolution pertains to Freedoms, Liberty takes revolutionary movement to ‘Evolutionary’ prospects of Being and Becoming. In this regard, Love-Beauty-Strength-Resolve are possible through ‘coded Christ Consciousness’--the Golden Consciousness. Thus, ‘JAH LOVE’ in Rasta Culture is possible intonation of senses and sensibilities for ‘coded Christ Consciousness’. With JAH LOVE, field influences are possible for transforming Fraternity to Oneness, Justice to Abundance, Peace to Harmony and Freedom to Liberty.
States of Liberty, Oneness, Abundance and Harmony are diagonal to Freedom, Fraternity, Justice and Peace… Through the cube of transformation in ‘NOWNESS’, the inverse of ‘INSIGHT’ and ‘TRIZANIUM’ can be deduced. In this regard, systems view and thinking is an ‘evolutionary’ process in sentience, conscience and consciousness. Thus the ‘DHAMMA’ of Buddha is simply transformation from one cube of Being unto the dynamic Cube-ing of ALL AND EVERYTHING—All forms and energetics being eternally self referring. Then again the Wheel of Dhamma having ‘Eight Spokes’ is akin to a Trizanium within the Trizanium… And this makes Buddhism the only ‘Godless religion’…
The diagonal inner and outer squares of freedom-fraternity-justice-peace and Liberty-Oneness-Abundance-Harmony constitute the 21st century ‘Dhamma Yantra’ – An instrument for arresting intelligible contexts of all religions and/or paths articulating ‘forms and energetics’. In this regard, it is the ‘inverse’ of Outer and Inner circles of the ‘All Seeing Eye’ along with its implied 3 freedom keys of Christ Consciousness, Islam and Dhammapada.
The implications of Dhammapada, Christ Consciousness and Islam are the functional secrets of ‘virtual cube, three dimensional perspectives of transforming cube and central dot of ‘Spin’--Spin for the Whole Mandala.
Spin is key to the Swastika, kundalini of transformation, consciousness intrigues of intention and attention.
Duh hilo lizee bado linajiita UVCCM, aisee ccm inakoelekea ni kuangamiza kabisa nchi.
Umeandika jambo la msingi sana ndugu.Samiah sio wa kumshambulia hivi!
Samiah ni zao la mfumo wetu mbovu na katiba mbovu!
Ameonyesha uwezo wake ndio huo aliojaaliwa na Muumba!Sasa atafanyaje zaidi!!?
Mfumo ndio utakua umepatia au kukosea!
sio mvuto, uwezo hana."Hana mvuto wa kisiasa."