Volodimiri Zelensiki
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 1,154
- 3,417
Hakuna mtu punguani aliyekuwa na uwezo wa kutuokoa na hili zimwi na hakufanya wajibu wake kama Mabeyo. Yule mpuuzi ni mjinga asiyejua nini maana ya uzalendo. Alishindwaje kupindua serikali na kuhakikisha watanganyika wanaongoza nchi Yao kwa maslahi ya vizazi vijavyo kama magufuli, majaliwa na kina kabudi walivyofanya? Yani Mabeyo hata kama katiba imesema ujinga yeye anaufuata huo upuuzi kisa katiba imesema! Mimi nisingewafikisha hapo watanganyika wenzangu asilani