Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza rais Samia

Bora kutega sikio kwenye shimo la choo kusikiliza inzi wakigombea mafii kuliko kumsikiliza huyo bushiri
Ndio shida yetu, tunadhani tunaweza geuza mkaa kuwa almasi.

Huyo mama anakaka kwenye baraza la mawaziri (probably, yeye ndio mwenye uwezo mdogo) kwenye mkutano. Ana washauri wataalamu ambao wana kazi ya coaching,

Ili kuona uwezo wake ni kumuacha a free-flow; sijawahi kukutana nae. Lakini uwezo wake ni mdogo sana.

Ndio ukweli
 
Kanuni ya kiuongozi inasema wapumbavu uchaguana wao kwa wao na wenye akili uchaguana wao kwa wao..


hivyo nchi ikiwa na rais mpumbavu basi uchagua wapumbavu wenzie kuongoza na kumshauri ...pia nchi ikiwa na rais mwenye akili uchagua wenye akili kuongoza na kumshauri .....SASA MSHAURI WA RAIS WAKO MMOJAWAPO NI MWIGURU CHEMBA YA MAVII.... UNATEGEMEA NINI ?
 
Kama kweli Nchi hii kuna wazalendo wa kweli na wana uchungu wa Nchi hii na wanataka kukumbukwa katika historia ya Nchi hii, hata kama ni CCM wenyewe, watuletee mgombea mwingine wa Urais mwaka 2025.
Mama apumzike na apewe heshima yake yote kama Rais mstaafu.
 
Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza raisi Samia.

Bora nikalime huko, kuliko kupokea orders kutoka kwake.

Hana uwezo hata chembe.

That says a lot ueledi wa civil services,

It’s a shitty county (ndio uhalisia).
Kwa katiba yetu ni sawa na power struggle za Europęan monarchy. Unakuta mtoto anarithi kwa tamaduni au mtu wa mbali anautwaa ufalme kwa kanuni.

Waelevu wanaona isiwe tabu vita, kumtoa huyu mtu.

Muwe wakweli raisi Samia hana uwezo kabisa.
Wewe ndiyo una uwezo, au siyo?
Mwaka 2022 nilishituka Sana kusikia kutoka kwa mmojawapo wa Vigogo wa Chama Chao akitamka kwamba "Mwenyekiti wa chama tuliyenaye Sasa Hana mvuto wa kisiasa."
Nilishituka Sana kusikia kauli hii kutoka kwa mtu wa kaliba ile, kwa sababu sikutegemea kabisa kwa mtu huyo kwamba angeweza kutamka maneno haya kutokana na yeye kuwa 'kada kindakindaki' wa hicho chama chao.
 
Civil servants wetu ni uwezo mdogo kupindukia.
Nina marafiki ambao ni watumishi wa umma, yaani mpaka naona aibu mimi kuwa ni rafiki zangu.
 
Nina shemeji yangu ni mwenyekiti wa CCM wa mkoa fulani,anasema wazi CCM "ilipatwa" na Tanzania "ilipatikana" kuwa na mwenyekiti na rais huyu.
 
Samiah sio wa kumshambulia hivi!

Samiah ni zao la mfumo wetu mbovu na katiba mbovu!

Ameonyesha uwezo wake ndio huo aliojaaliwa na Muumba!Sasa atafanyaje zaidi!!?

Mfumo ndio utakua umepatia au kukosea!
Umeandika jambo la msingi sana ndugu.
Tanzania hatuna tabia ya kuwa na "succession plan" kuanzia ngazi ya familia mpaka taifa.

Huo mfumo ndio hauna kabisa mipango.
 
TANROAD iko hoi mda wowote inakata moto
 
BRIGHTEST!

... ama mambo ya 'Twist of Faith'--kwa umma wenyewe, tena moja kwa moja.

Tujifunze 'Sala na Kazi'...

Kila mtu abebe mzigo wake!.

Hmmm
+++++++

View: https://www.youtube.com/watch?v=8yX5EcODDLI
 
Mwisho wa siku hii mada ilikuwa ni “Tafakuri” kama kichwa cha habari.

Sema sasa kuna mod mchawi aliebadili kichwa cha habari na kuweka maneno yake.

Vinginevyo ‘bi-tozo’ mie nakupenda mengine ni uchonganishi wa JF.

Kwetu kumekucha 👋👋👋 sijapata kuona kumbe kuna mods wagombanishi humu salaleh.
 
Samiah sio wa kumshambulia hivi!

Samiah ni zao la mfumo wetu mbovu na katiba mbovu!

Ameonyesha uwezo wake ndio huo aliojaaliwa na Muumba!Sasa atafanyaje zaidi!!?

Mfumo ndio utakua umepatia au kukosea!
Umeandika jambo la msingi sana ndugu.
Tanzania hatuna tabia ya kuwa na "succession plan" kuanzia ngazi ya familia mpaka taifa.

Huo mfumo ndio hauna kabisa mipango.
"Hana mvuto wa kisiasa."
sio mvuto, uwezo hana.
 
Kiongozi yeyote huwa hazaliwi na kuwa kuwa kiongozi...

Mtu yeyote huwa hazaliwi na kuwa kwenye kada aliyopo akiwa ameshapevuka...

Sisi sote tunazaliwa, tunakuzwa na walio wakubwa wetu, wakati fulani nasi tunakuwa wakubwa na kubebeshwa ama kubeba majukumu...

Shida huanza katika msingi ambao ni makuzi na malezi, Waafrika tangu wakiwa wadogo wanakuwa wameandaliwa kushindwa kwa sababu katika hali ya utoto hakukiwa na makuzi ya kuja kuwa kinara wa kuyakabili maisha na changamoto zake...

Ili tuweze kufika salama tuendako, tupambane kwanza na UJINGA...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…