Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza rais Samia

Hakuna mtu punguani aliyekuwa na uwezo wa kutuokoa na hili zimwi na hakufanya wajibu wake kama Mabeyo. Yule mpuuzi ni mjinga asiyejua nini maana ya uzalendo. Alishindwaje kupindua serikali na kuhakikisha watanganyika wanaongoza nchi Yao kwa maslahi ya vizazi vijavyo kama magufuli, majaliwa na kina kabudi walivyofanya? Yani Mabeyo hata kama katiba imesema ujinga yeye anaufuata huo upuuzi kisa katiba imesema! Mimi nisingewafikisha hapo watanganyika wenzangu asilani
 
Swali ni wangapi wanaweza kuwa kama wewe? Ni madiwani wawili tu walikataa udiwani baada kushuhudia uchakachuaji ili kuwapendelea! Rais Shein kule Zenj 2015 alikubali maalimu aapishwe akili ndogo Kikwete akamkwapua uadilifu kwa kuchakachua kwa nguvu! It is about integrity!!
 
Katiba ndio ilimuweka mzee, hata kama humkubali , iko hivi kama rais akitokea bara basi makamu atatokea kisiwa.

Kutokana na vuguvugu la kisiasa kwa kipindi kile, ilibidi watu wa chama waangalie ni namna gani ya kutuwin watanzania.

Sasa kwa kuwa wapiga kura wengi ni wanawake, ikaja agenda ya kuleta mgombea mwenza awe mwanamke ili kuwin kura nyingi za wanawake(maana ndio wapiga kura).

Sasa kuzoom upande wa pili kisiwa, dodo likamdondokea mazeri(Huyu mama, Mungu kampa bahati ya mtende, Mwenyezi Mungu ambariki tena na tena)

Na kwa kuwa kazi(majukumu) za umakamu huwa zinajulikana ni mbili tu,
1) Kupanda maua
2) kuzindua majengo
(Hii kazi hata wewe mtoa mada unaiweza)


Ikawa ndo vile tena, ukipanga jambo, mwenyezi Mungu nae anapanga lake, na kwa kuwa sheria ni msomeno kinywe kikombe cha uchungu taratiiiibu, muda wake ukiisha utachagua mwingine.

Mie sio mpenzi wa siasa, ila mama amejitahidi sana asee!!!

Safari za Dodoma siku hizi ni kama unaenda hapo kkoo tu.
 
Tanzania hatuna mgombea binafsi. Nilitegemea kama kulaumu ulaumu waliomwezesha kufika hapo. Labda kuna uwezo wanauona ambao wewe hujaweza kuutambua.
 
Wenyekiti wa vyama wapo wengi. Weka ushahidi wa uyasemayo, la sivyo unabaki kuwa ni uzushi wako tu.
 
Kiongozi, hii mada ilikuwa kama ‘poser’ tu kwa upande wa mwanzilishi.

Shida ni hiyo title iliyowekwa na moderator mmoja mchawi kama ‘leading statement’.

Vinginevyo asubuhi njema
 
Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza raisi Samia.

Bora nikalime huko, kuliko kupokea orders kutoka kwake.

Hana uwezo hata chembe.

That says a lot ueledi wa civil services,

It’s a shitty county (ndio uhalisia).
Umsikilize au usimsikilize haikusaidii kitu ila kama wewe ni mtumishi au Waziri lazima utatekeleza orders zake utake au usitake.

Mwisho mtu asiye na uwezo angeshindwa kuihimili Nchi vinginevyo ni shida zako binafsi.

Bad news kwako Mr uwezo ni kwamba Samia yupo Hadi 2030 na huna uwezo wa kumtoa Wala kumfanya chochote 😆😆😆😆
 
Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza raisi Samia.

Bora nikalime huko, kuliko kupokea orders kutoka kwake.

Hana uwezo hata chembe.

That says a lot ueledi wa civil services,

It’s a shitty county (ndio uhalisia).
Acha mihemko si kila usichokielewa wewe na wenzako hawakielewi muache mama aupige mwingi
 
Ra
Rafu za uteuzi wa Mgombea Urais 2015. Baada ya Magufuli kupita na akataka Hussein Mwinyi awe Makamu akachomekewa Mwanamke kama alivyochomekewa Samwel Sitta kwenye Uspika. Mcheza michezo hiyo anajulikana na huenda akaendelea kucheza ili mradi ananufaika nayo.
 
Ana shida gani Samia?

Mbona mimi nampenda sana na natamani aendelee zaidi
 
Hatari sana
 
Katiba ya Tanzania inampa uhuru mkubwa mno Rais. Hakuna raia wa Tanzania anayeweza mtishia Rais au kumkwamisha, Rais akikwama ujue ni suala la uwezo wake mdogo.
 
Samia amekufanya nini bro!?
 
Bado hujaeleweka, kwa mfano ameshindwa kuongoza nini?

Mbona Uchumi unakuwa, Mikopo kwa Wanafunzi wa level zote Diploma & Degree ipo, Mikopo kwa Wakulima inapatikana, Miradi mikubwa inaendelea kutekelezwa

Umeona kuna Mkwamo wapi?
mfumuko wa bei,
kuzibiti/kupunguza matumizi ya serikali.
kutapanya maliasili [bandari,mbuga wanyama vitalu] kwa magabacholi wa uarabuni [wajomba]
 
Haya bhana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…