LGE2024 Mimi na familia yangu tumeshajiandikisha kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Leo tarehe 11 Oktoba, 2024 mimi na mume wangu Advocate Gwajima na watoto wetu wenye umri wa miaka 18 na kuendelea, tumefika kituo cha Serikali ya Mtaa wetu wa Salasala, Kata ya Wazo kujiandikisha na kuboresha taarifa zetu kwenye daftari la mpiga kura wa serikali za mitaa kama maandalizi kuelekea kupiga kura ya uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa utakaofanyika 27 Novemba, 2024 nchini kote.

Hatua hii ni kufuatia uzinduzi rasmi kitaifa wa kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura wa serikali za mitaa uliofanywa tarehe 11 Oktoba , 2024 huko Chamwino, Dodoma na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan.

PONGEZI kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wetu wa Salasala, Kata ya Wazo Ndugu Robert Ally Massawe kwa maandalizi mazuri ya utaratibu wa kujiandikisha na wepesi na umahiri wa maafisa waandikishaji kwenye kutoa huduma husika.

Mimi na familia yangu tunawahamasisha watanzania wote wenye sifa ya kupiga kura kujitokeza kwa wingi kwenda kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwenye serikali za mitaa yao zoezi litakalofanyika kuanzia tarehe 11-20 Oktoba, 2024.

Viongozi wenye sifa za kutumikia jamii ni matokeo ya kura yako mtanzania mwenye sifa ya kupiga kura hivyo, jitokeze jiandikishe. Mimi na familia yangu, tayari tumetimiza wajibu wetu.

Tunawatakia uandikishaji na uboreshaji mwema wa taarifa zenu kwenye daftari husika.

MWISHO.

View attachment 3121584View attachment 3121585View attachment 3121586View attachment 3121587View attachment 3121588View attachment 3121589
View attachment 3121590
Tusidanganyane, nyie mmeboresha taarifa zipi zaidi ya kuandikisha jina lako na umri basi. Mimi mtaani kwangu wanaandika jina na umri tu, hakuna taarifa za ziada wanazochukua. Machawa msituchanganye wananchi tuone kuwa tulichoandikishwa si sahihi.
 
Watu wamekata tamaa na chaguzi za dhuruma
Ndo maana vituoni vya kujiandikisha hakuna watu
Watu kama wameususia uchaguzi
 
Attachments

  • Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1.png
    Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1.png
    420.8 KB · Views: 2
Chama chako ccm huwa kinavuruga uchaguzi ili kishinde.Wewe jiandikishe,nenda kapige kura.
Leo tarehe 11 Oktoba, 2024 mimi na mume wangu Advocate Gwajima na watoto wetu wenye umri wa miaka 18 na kuendelea, tumefika kituo cha Serikali ya Mtaa wetu wa Salasala, Kata ya Wazo kujiandikisha na kuboresha taarifa zetu kwenye daftari la mpiga kura wa serikali za mitaa kama maandalizi kuelekea kupiga kura ya uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa utakaofanyika 27 Novemba, 2024 nchini kote.

Hatua hii ni kufuatia uzinduzi rasmi kitaifa wa kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura wa serikali za mitaa uliofanywa tarehe 11 Oktoba , 2024 huko Chamwino, Dodoma na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan.

PONGEZI kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wetu wa Salasala, Kata ya Wazo Ndugu Robert Ally Massawe kwa maandalizi mazuri ya utaratibu wa kujiandikisha na wepesi na umahiri wa maafisa waandikishaji kwenye kutoa huduma husika.

Mimi na familia yangu tunawahamasisha watanzania wote wenye sifa ya kupiga kura kujitokeza kwa wingi kwenda kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwenye serikali za mitaa yao zoezi litakalofanyika kuanzia tarehe 11-20 Oktoba, 2024.

Viongozi wenye sifa za kutumikia jamii ni matokeo ya kura yako mtanzania mwenye sifa ya kupiga kura hivyo, jitokeze jiandikishe. Mimi na familia yangu, tayari tumetimiza wajibu wetu.

Tunawatakia uandikishaji na uboreshaji mwema wa taarifa zenu kwenye daftari husika.

MWISHO.

View attachment 3121584View attachment 3121585View attachment 3121586View attachment 3121587View attachment 3121588View attachment 3121589
View attachment 3121590
With all due respect Mh waziri,hii hoja yako ni yenye faida kwa mwanaccm tu.Kwa makusudi wenye mamlaka walivuruga uchaguzi wa 2019,na ule wa 2020.Labda mtu ajiandikishe kwa lengo la kupata ktambulisho tu,ila si lengo la kupiga kura.Unapigaje kura huku mamlaka zimeshapanga matokeo?.Ni ujinga na kupoteza muda.
 
Leo tarehe 11 Oktoba, 2024 mimi na mume wangu Advocate Gwajima na watoto wetu wenye umri wa miaka 18 na kuendelea, tumefika kituo cha Serikali ya Mtaa wetu wa Salasala, Kata ya Wazo kujiandikisha na kuboresha taarifa zetu kwenye daftari la mpiga kura wa serikali za mitaa kama maandalizi kuelekea kupiga kura ya uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa utakaofanyika 27 Novemba, 2024 nchini kote.

Hatua hii ni kufuatia uzinduzi rasmi kitaifa wa kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura wa serikali za mitaa uliofanywa tarehe 11 Oktoba , 2024 huko Chamwino, Dodoma na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan.

PONGEZI kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wetu wa Salasala, Kata ya Wazo Ndugu Robert Ally Massawe kwa maandalizi mazuri ya utaratibu wa kujiandikisha na wepesi na umahiri wa maafisa waandikishaji kwenye kutoa huduma husika.

Mimi na familia yangu tunawahamasisha watanzania wote wenye sifa ya kupiga kura kujitokeza kwa wingi kwenda kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwenye serikali za mitaa yao zoezi litakalofanyika kuanzia tarehe 11-20 Oktoba, 2024.

Viongozi wenye sifa za kutumikia jamii ni matokeo ya kura yako mtanzania mwenye sifa ya kupiga kura hivyo, jitokeze jiandikishe. Mimi na familia yangu, tayari tumetimiza wajibu wetu.

Tunawatakia uandikishaji na uboreshaji mwema wa taarifa zenu kwenye daftari husika.

MWISHO.

View attachment 3121584View attachment 3121585View attachment 3121586View attachment 3121587View attachment 3121588View attachment 3121589
View attachment 3121590
Ngoja na mimi nikajiandikishe hivyohivyo
 
Nimeona Post yako humu JF ukitujulisha kuwa umejiandikisha na umeboresha taarifa zako kwenye daftari la mpiga kura, ni jambo jema kutujulisha ila ninapenda nijue hizo taarifa ulizoziboresha ni za kwenye daftari lipi! Sisi huku kwetu daftari ni moja tu na tulichojiandikisha ni jina na umri tu. Kama wewe umeboresha na taarifa zako inamaana sisi tumefichwa mambo ya ziada ili uandikishaji wetu uwe batili kwa kutotimiza vigezo.
Natumai nitapata maelezo sahihi toka kwako waziri.
 
Hongera, mimi siwezi kujiandikisha wala kupoteza muda wangu kupiga kura. Nampango wa kuzamia Australia bongo bahati mbaya.
 
Nimeona Post yako humu JF ukitujulisha kuwa umejiandikisha na umeboresha taarifa zako kwenye daftari la mpiga kura, ni jambo jema kutujulisha ila ninapenda nijue hizo taarifa ulizoziboresha ni za kwenye daftari lipi! Sisi huku kwetu daftari ni moja tu na tulichojiandikisha ni jina na umri tu. Kama wewe umeboresha na taarifa zako inamaana sisi tumefichwa mambo ya ziada ili uandikishaji wetu uwe batili kwa kutotimiza vigezo.
Natumai nitapata maelezo sahihi toka kwako waziri.
IMG-20241011-WA0011.jpg
 
Wakina ChoiceVariable chiembe FaizaFoxy USSR jingalao et al watakupa maelezo ya kutosheleza
 
Mimi binafsi sijawahi na wala sitothubutu kupigia mtu kura ili yeye apate kula.
 
Honger Mh kama uyo mtoto wako bado hajaolewa ikikupendez naomba niwe mkweo 😀
 
Mh Waziri najua huna namna ila ukweli unaujua.
Nikiri wazi mwaka 2015 nilisimama sana na JPM naomba niseme sana..na ni mtu ambae niliamini at least anaweza kupush baadhi ya vitu kwenye huu mfumo mbovu tulionao..nashukuru kafanya mambo mengi mazuri ila mambo mawili ambayo nilimdharau ni issue ya Covid-19 ambayo wewe binafsi pamoja na elimu yako ulifanya vituko sana huku ukiona watu wakiteketea ule ulikuwa ni Unyama sijui kama unajua.....la pili kuvuruga Uchaguzi wa 2020 hili liliathiri na litaathiri Taifa kwa kipindi kirefu sana...nikuhakikishie it is very Tough to fix
penda usipende...Muda utaongea.
Ni hayo tu.
 
Kuboresha na kuhakiki taarifa kama zipo na kwa usahihi. Kama ni kadi ya mpiga kura tunazo tangu zamani. Hivyo, tumehakiki na kuboresha. Ahsante kwa swali zuri.
Kweli kabisa uhakiki ni muhimu sana hata kama ulisha jiandikisha miaka ya nyuma,kuna kuhama makazi,vifo na menginiyo,hayo yote ufanyapo uhakika yatajulikana bayana!!
 
Wengine labda watufate nyumbani kwenda huko ni kuzuga tu,biashara hii ishaishaaa kitambo sana

Ova
Usikariri sana!,wwe nenda kajiandikishe na utanishukuru baadae ndg yangu!!
 
Leo tarehe 11 Oktoba, 2024 mimi na mume wangu Advocate Gwajima na watoto wetu wenye umri wa miaka 18 na kuendelea, tumefika kituo cha Serikali ya Mtaa wetu wa Salasala, Kata ya Wazo kujiandikisha na kuboresha taarifa zetu kwenye daftari la mpiga kura wa serikali za mitaa kama maandalizi kuelekea kupiga kura ya uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa utakaofanyika 27 Novemba, 2024 nchini kote.

Hatua hii ni kufuatia uzinduzi rasmi kitaifa wa kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura wa serikali za mitaa uliofanywa tarehe 11 Oktoba , 2024 huko Chamwino, Dodoma na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan.

PONGEZI kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wetu wa Salasala, Kata ya Wazo Ndugu Robert Ally Massawe kwa maandalizi mazuri ya utaratibu wa kujiandikisha na wepesi na umahiri wa maafisa waandikishaji kwenye kutoa huduma husika.

Mimi na familia yangu tunawahamasisha watanzania wote wenye sifa ya kupiga kura kujitokeza kwa wingi kwenda kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwenye serikali za mitaa yao zoezi litakalofanyika kuanzia tarehe 11-20 Oktoba, 2024.

Viongozi wenye sifa za kutumikia jamii ni matokeo ya kura yako mtanzania mwenye sifa ya kupiga kura hivyo, jitokeze jiandikishe. Mimi na familia yangu, tayari tumetimiza wajibu wetu.

Tunawatakia uandikishaji na uboreshaji mwema wa taarifa zenu kwenye daftari husika.

MWISHO.

View attachment 3121584View attachment 3121585View attachment 3121586View attachment 3121587View attachment 3121588View attachment 3121589
View attachment 3121590
Safi Sana
 
Back
Top Bottom