Ni sahihi sana tu mkuu, tena ilitakiwa hata balozi awe ameshatimuliwa kufika muda huu,....hawa watu wamekuwa wakiwaonea sana hata madereva wa malori ya Tanzania,...muda si mrefu walizuia bodaboda wa bongo kugusa kwao ilihari wao wanafika huku bila wasiwasi wowote,....hao mbwa sio wa kuwahurumia mkuu,....ni WASHENZI sanaNa kwa sababu ya yote haya kuwaambia msipitishe vitu vyenu kwenye bandari yetu mkitaka kuvipeleka nje unaona ni sahihi? Tumetangaza vita na Malawi?
Hebu niambie unaona ni jambo la akili kumwambia Malawi umekataa kununua mchele wetu basi ukiagiza mbolea toka nje usipitishe Tanzania?
Anaipika ili iive, ikishaiva anaipoza ili anywe.WEWE HUSHANGAI MTU ANACHEMSHA CHAI THEN ANAIPOZA ILI ANYWE🤔
Acha uongo. Tanzania lini imekuwa ikitoa msaada wa chakula kwa Malawi? Wewe ukienda kununua mchele dukani mwenye duka anakuwa ametoa msaada wa chakula kwa mkeo na watoto wako? Hivi nyie watu mna akili za shule zipi, chekechea?nimeishi mpakani na MALAWI kwa miaka mingi sana,....ni watu WAJINGA, WASHENZI, na WAPUMBAVU mnooo,....hao washenzi sio wa kuwahurumia hata kidogo,....pamoja na TANZANIA kutoa msaada mkubwa sana wa chakula Malawi lakini bado wamekuwa watu wenye visirani sana na watanzania bila sababu za msingi,......hao acha wapigwe pini tu 📌📍📍
Mkuu siku zote ukibip lazima utapigiwa tuMkuu anakosea kwa mfano Malawi anapitisha Mahindi na Mchele Tanzania yaende Kenya na Somali kwanini uwazuie?
Sasa Malawi wana bomba lao la Mafuta je napo anawazui wasilete mafuta yao nchini?
Hamna nchi ya kututisha hapa si malawi, zambia, msumbiji wala SAIpo,lakini ni katika kuwavutia watumie bandari yetu. Kumbuk sio lazima watumie bandari yetu. Malawi wanahitaji mkakati mdogo sana kujitoa kutumia bandari ya Dar es Salaam. Wanaweza hata kuamua mradi wa kimkakati wa kujenga barabara kuu kutoka Blantyre hadi Beira Mozambique, ambapo ni karibu sana ukilinganisha na kuja Dar. Wanasema tatizo ni rebels eneo hili. Wanaweza hata kuwa na joint military operation na Mozambique ili kuwasafisha rebels eneo hili.
Kama tuliweka mkakati wa TAZARA ili kuwapa Zambia access ya bandari ya Dar, unafikiri Malawi watashindwa mradi wa kimkakati wa kujipa access ya bandari za Mozambique? Infact wanaweza kumshukuru Bashe kwa kuwaamsha. Angalia ramani hapo chini
View attachment 3307414
Tumsifu Bashe anaposema na sii tusiruhusu rasilimali zetu zichezewe na malawiNdio nasema, ni watu wasioona mbali ndio wana mawazo kama hayo, ya ki-Trump. Kwa nini uwazuie katika mikakati yao ya kujitegemea kwa chakula? Mbona tunamshangilia Traole anaposema anataka Burkina Faso ijitegemee kwa chakula, na tunalaani Malawi wakichukua hatua hizo na kuwanyima access ya bandari yetu ili waendelee kututegemea kwa chakula? Sisi ni wanafiki sana basi. Traole safi sana, Malawi hapana, na tunaimba nyimbo za kujitegemea kwa chakula, eeeh!
Angezuia nao kuuza bidhaa Tanzania. Bandari hawaitumii bure... Tanzania inahitaji nchi kibao zitumie bandari yetu. Sasa tukianza itumie kama fimbo watu watatafuta alternative.Binafsi Mimi naona Bashe Yuko sawa
Haiwezekani Malawi anufaike na rasimali zetu kama bandari, miundo mbinu na soko halafu sisi atunyime soko la bidhaa na njia za kusafirisha bidhaa za TANZANIA kwenda kusaini mwa Africa
Huyo tunakufa nae kila mtu abakinna chake
a) Malawi buys $48 million Grain from UAE per year. Tanzania next door produces GrainMnawajua Wamalawi na Wazambia au mnawasikia Bashe upo sahihi sana ndio vita ya kiuchumi inavyopigana hivyo Hao wamalawi wamesumbua sana kutoa karanga na mahindi kutoka kwao miaka nenda rudi Kuja Tanzania na Kenya ila kupeleka SA hakuna tatizo wala vibali vingi
Kasome pia kuwa mwaka 2023 Tanzania iliimport mchele wenye thamni ys usd 83 milioni. Huu ni zaidi ya malawi. Sasa kama wazalishaji tuna import kwanini ushangae malawi kuimport?a) Malawi buys $48 million Grain from UAE per year. Tanzania next door produces Grain
b) Angola buys $57 million Fish from Argentina per year. Namibia next door is largest fish producer
We can have $32 billion rotating SADC economies per year. But we don’t trust each other !!!
SHIFTA kisha haribu mabilioni ya shilingi kwenye mashamba ya vijana alioanzisha bila upembuzi yakinifu, sasa anatafuta njia ya kutokea ili asiwajibike. Hizo hela walizozichoma Samia alikwenda kukopa African Development Bank na ni Sehemu ya deni letu la nje.Mihemko tu inamsumbua Bashe.
Bashe yuko sahihi...hio ndio vita ya kiuchumi. Win win situation. Hawezekqni wewe ufaidikee kwangu...alafu wewe utaki mimi nifaidikee. Bashe ongeza moto wale jamaa ni landlocked country. Mbaka wasema maji ni mmaaaTanzania inaonekana hatuna sera ya mambo ya nje, tupo tupo tu. Lakini hata hivyo, kauli za Bashe kwa Malawi juu ya Malawi kuzuia uingizaji wa bidhaa za kilimo sio ya kiungwana, na haiakisi -Utanzania tulio nao.
Tukio liko hivi, katika kudhibiti matumizi ya fedha za kigeni na kukuza kilimo ndani ya nchi, Malawi imepiga marufuku uingizaji wa bidhaa za kilimo ambazo zinaweza kuzalishwa Malawi. Bidhaa hizi ni pamoja na mchele, unga, tangawizi, maji ya kunywa ya chupa, nk, ambavyo vingi vinatoka Tanzania.
Bashe, waziri wa Kilimo, amewajibu Malawi kwamba kwa kuwa wamefanya hivyo basi na Tanzania inazuia bidhaa zote za kilimo toka Malawi kuingia Tanzania.
Sasa kama Bashe angeishia hapo isingekuwa Tatizo, kwa kuwa angeweza kusema ni reciprocal arrangement, na sie tunalinda bidhaa za ndani na kukuza kilimo ndani ya nchi. Hata hivo lazima utumie busara, ili usiumize wananchi kwa mihemuko ya kulipiza kisasi
Lakini Bashe kaenda mbali zaidi, akasema,
2.Mizigo ya bidhaa za kilimo kutoka Malawi na Afrika Kusini haitaruhusiwa kupita ndani ya mipaka ya Tanzania, kuelekea bandari ya Dar es Salaam au nchi nyingine yoyote, hadi zuio hilo litakapoondolewa.
3.Usafirishaji wa mbolea kwenda Malawi utasitishwa, ikiwa ni sehemu ya hatua za kulinda maslahi ya wakulima na wafanyabiashara wa Kitanzania.
Sasa najiuliza
Ikumbukwe kwamba, Malawi imezuia uingizaji wa bidhaa za kilimo sio tu toka Tanzania, bali kwa nchi zote kutia ndani South Afrika, Zimbabwe nk. Sasa kwa nini tunawaingilia? Kwa mfano, sisi Tanzania tunaruhusu uingizaji wa maji ya kunywa ya chupa? Kama hapana, kwa nini?
- Suala la Malawi kupitisha Mazao yake bandari ya Dar es Salaam kwenda nje linahusiana nini na wao kusema wanazuia kuagiza bidhaa za kilimo toka nje? Huku si kukomoana tu kwa makusudi?
- Usafirishaji wa mbolea kwenda Malawi utasitishwa, kwa nini? Mbolea inasafirishwa kwenda Malawi kama wanavyosafirisha bidhaa nyingine kwa kutumia bandari ya Tanzania, ambayo sisi tunataka waitumie kwa sababu ni huduma wanalipia. Sasa leo tunawakomoa Malawi kuwanyima matumizi ya bandari kwa sababu tu wanataka ku-promote uzalishaji wa kilimo ndani ya nchi yao?
Sasa unafanyaje uamuzi kwa Malawi, kwamba kama hununui mchele wetu wa Mbeya, basi ukiagiza mbolea toka nje usipitishe kwenye bandari yetu. Ni akili hiyo ya kiwango cha waziri?
Tunaposema Tanzania ina sera ya Ujamaa na Kujitegemea -japo sijui kama bado ipo - kujitegemea tuna maanisha nini? Tunawaadhibu Malawi kutimia bandari yetu kwa sababu wanataka kujitegemea katika bidhaa za kilimo? Mbona hata sisi Tanzania kuna wakati, ili kukuza sekta fulani fulani, tunadhibiti uingizaji wa bidhaa fulani toka nje, kwa iwe nongwa kwa Wamalawi?
Kwanza haya matamshi ya Bashe sio mambo ya wizara yake; wanaohusika ni Waziri wa Viwanda na Biashara na Waziri wa Mambo ya Nje, sasa kimbelembele cha nini, kumshawishi Raisi Samia kwamba yeye ni tough guy?
Mimi naona katika hili Bashe amekosa busara kabisa - ame-overreact. Raisi Samia awaombe msamaha Malawi kwa kauli hizi za Bashe. Labda pia maamuzi haya ya Bashe yatakuwa na baraka za Raisi Samia. Kama ni hivyo, hivi tuseme Tanzania tumekaa tukatafakari tukaona msimamo kama huu ni wa hekima kweli? Niiteni mhaini, lakini kuna maamuzi mengine mnafanya kama viongozi yatatutia aibu.
Kuna mizigo inatoka south africa inakuja tanzania kupitia tunduma, kua malawi ashindwe kutumia south africa!!? Si maamuzi tu na kuamua!!?Watumie wapi kwingine ? Hv raman ya Malawi huijui? Msumbiji kaskazin kunq vita na ndo njia fupi kwa Malawi
Pia kenya atazunguka sana , so Malawi hana namna labda aanze tumia ndege
Namuunga mikono Bashe kwenye hili , hakuna kucheka na Kima
MALAWI ilipokumbwa na dhoruba na kimbunga mwaka juzi ni nani alitoa msaada mkubwa wa chakula kuliko Tanzania, kwa nchi zinazoizunguka?.......kama wewe ni mmalawi tuliza matako,...pitishine mbolea kwenye bandari yenu,...bado mafuta nayo tutawapiga stop mbwa nyinyi,...Acha uongo. Tanzania lini imekuwa ikitoa msaada wa chakula kwa Malawi? Wewe ukienda kununua mchele dukani mwenye duka anakuwa ametoa msaada wa chakula kwa kwa mkeo na watoto wako? Hivi nyie watu mna akili za shule zipi, chekechea?
wa Malawi na Zambia hawafikirii kwa kutumia ubongo, nadhani kuna kiungo kingine wanachotumia kufikiri,......hawa watu ni watu wa shari shari tu ,..ni wavivu na wajinga ajabu,...spana waliyopigwa haiwatoshi mbwa hao....Mnawajua Wamalawi na Wazambia au mnawasikia Bashe upo sahihi sana ndio vita ya kiuchumi inavyopigana hivyo Hao wamalawi wamesumbua sana kutoa karanga na mahindi kutoka kwao miaka nenda rudi Kuja Tanzania na Kenya ila kupeleka SA hakuna tatizo wala vibali vingi