Mimi ni muhuni ila kwako nimetulia ILOVE YOU Marry


Una oa nampeleka nyumbani na uhuni wote hakufahamu mahaba wewe.. Hiyo fimbo yako unajivunia utakuwa labda hata haimpi raha anayotaka afike cloud 9

πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndiyo kaka me nimechukua hiyo Moja na nishaitambulisha kwa masela wa kitaa tunasubir siku niioe sauti πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Tukifunga ndoa ya kisela nitaishushia Uzi na mimi
Ndoa na nani Nywamwi255? Kama ni yeye itakuwa good maana yupo huku mkoa, nitakwenda kula ugali kwake shem langu.
 
Tunausubiri kwa hamu huo uzi πŸ˜„πŸ˜„
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nyamwi255 mbona huniambii sauti yako mahali sh ngap nikutumie uniozeshe kiongozi

Nakuahidi nitaitunza na kuilinda sana

dosho12 acha tumuoneshe Kijana Masikini kuwa SI wenyewe tumepagawa sana tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ si mlikuwa mnadhani najichetua bure, sasa mambo ni mpwito mpwito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…