Mimi ni muislamu, ila Sheria ya kuoa binti wa miaka 9 katika uislamu inanifanya niwe na mashaka na Imani yangu

😂😂Ukweli utakuweka huru chief,fimbo ya kuniita mimi kafiri haibadilishi ukweli. Wewe jiulize swali muhimu moja tu,kama Quran ni moja tu neno kwa neno mpaka nukta dunia nzima. Kwanini hii Hafs inayotumika bongo mpaka Saudi Arabia hairuhusiwi Morocco, Libya na Tunisia?

Nakupa kidogo maarifa kafiri mimi,waislam hamkuwahi kubwa na Quran (kitabu) kimoja mpaka mwaka 1924. Hiyo Hafs Quran unayoisifia sana imechapwa kwa mara ya kwanza mwaka 1924 nchini Misri.

Mfalme wa Misri alitoa amri kwa Al Azhar university waandae copy moja ambayo ingetumika nchi nzima. Baada ya Al Azhar university kuja na hiyo compilation (Hafs) mfalme Fuad wa kwanza alitoa amri Quran zote ambazo sio Hafs ziharibiwe. Kuna Quran zilichomwa moto,kuna nyingine zilizamishwa mto Nile.

Mwaka 1985 ndipo nchi ya Saudi Arabia ilirasmisha Hafs Quran kama Quran rasmi kwa waislam wote. Bahati mbaya kwa wakati huo nchi kama Tunisia, Libya na Morocco
Tayari walikua na Quran zao ambazo ni Qaloon , Warsh na nyinginezo.

Nenda kajifunzw historia ya dini yako,historia halisi sio ile ya walimu wa madrasa chief 🥂.
 
Dini imekupa upofu wee kafiri!
 
Sasa Kama Unakubali Kijamii Nyakati Hizo Ilikuwa Ni Sawa Nyinyi Mlitaka Mtume Asioe? Hata Sasa Ukiwaleta Watu Wa Nyakati Hizo Ukawapa Story Za Wakati Huu Wao Watatuona Hatuko Sawa Kulingana Na Ustaarabu Wao.
Kwa hili mtume wako hasacidhiki,ni mbakaji!
 
Nieonyeshe sasahivi nani kama bint wa miaka 6 au 9,
 
Mungu haimkatai hata kidogo ila hilo jina ndio kwenye sayansi halipo,hata hicho kifaa unachotumia kuingia jamii forum ni sayansi
We Umeng'ang'ana Sayansi Sayansi Kabla Ya Hiyo Sayansi Watu Walikuwa Hawagegedani? walikuwa Hawali Chakula? Hawapumui?Chanzo Cha Kila Kitu Unachokiona Ni Mungu Hata Aliyegundua Simu Au Kompyuta Nae Pia Aliumbwa Akapewa Hiyo Elimu

Tatizo La Makafiri Mna Akili Za Kuvalia Suti Na kula Nguruwe.
 
Kaoshe KitendeA Kazi Uingie Road Mida Ndo Hii.
 
Leta Sahih Al-Bukhari original ambayo wewe unaona haija editiwa na wakirsto, alaf tusome yaliyomo humo ndani kama yana utofauti wowote.

Let's do this....
Kwa Kukusaidia Ndugu Kafiri.
Maisha Ya Mtume Ni Quran Na Quran Ndo Maisha Ya Mtume Kwa Hiyo Wafuasi Wake TumeambiwA Tukitaka Kujua Maisha Yake Ipo Ndani Ya Quran.

Na Kila Mnapotukana Ndo Anazidi Kupata Wafuasi Ulaya Baada Ya Miaka Kadhaa Makanisa Yatabaki Magofu .
 
Hizo Ni Stori Kutoka Kwa Mayahudi Ambao Ni Miongoni Mwa Makafiri Kama Wewe Ushahidi Wa Haya Ni Mashindano Ya Quran Washiriki Wanatoka Kwenye Nchi Zote Hata Hizo Ulizosema Kwamba Wana Quran Yao .
 
Mimi kafiri nina akili ya kuvaa suti kali na kula kitimoto rosti na wewe mtoto wa mudi una akili ya kuvaa kanzu za warabu na kugegeda vitoto vya miaka sita ok kila kitu kina chanzo chake na chanzo cha Allah ni nini
 
Kwa hili mtume wako hasacidhiki,ni mbakaji!
Asafishike Kwa Nani Mbona Unapenda Kujifurahisha.Yaani We Unanuka Mavi Unanuka Umasikini Ndo Huyo Mtume Asafishike Kwako ?Huyo Mtume Ana Wafuasi Ambao Wamekuzidi Kila Kitu Tena Sio Wewe Mpaka Kabila Lenu Lote.
 
Mimi kafiri nina akili ya kuvaa suti kali na kula kitimoto rosti na wewe mtoto wa mudi una akili ya kuvaa kanzu za warabu na kugegeda vitoto vya miaka sita ok kila kitu kina chanzo chake na chanzo cha Allah ni nini
Najadiriana Na Mtu Ambaye Sio Size Yangu Kiakili We Endelea Kula Kitimoto Na Makafiri Wenzio.
 
Najadiriana Na Mtu Ambaye Sio Size Yangu Kiakili We Endelea Kula Kitimoto Na Makafiri Wenzio.
Wewe mwenye akili ndio unaamimi yule aliyeoa mtoto wa miaka 6 alienda mwezini akaugawa katikati ,na bado unasema una akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…