Namche Bazar
Senior Member
- Apr 8, 2019
- 183
- 303
Hili nalo ni tatizo kubwa sana. Yaani kila mtu ana mentality ya kuwa mchuuzi.Sisi watanzania huamini yeyote anaweza kufanya biashara
Walevi wapumbavu kweli sikubishii nimetapanya pesa nyingi sana katika uleviwacha pombe mara moja walevi ni wapumbavu
Waalimu wamewakosea nini, ama kwa aasababu ni wengi? Mishahara ya waalimu haina tofauti na kada zingine! Binafsi nawaheshimu sana waalimu, tuache hizi dharau za kijinga!Wewe ni mwalimu?
Invino veritasWalevi wapumbavu kweli sikubishii nimetapanya pesa nyingi sana katika ulevi
Bila sisi kunywa pombe unadhani mtaani kwenu kungekuwa kuna lami??wacha pombe mara moja walevi ni wapumbavu
Nilianza kazi na mshahara kama huo, niliishi kwa hizo posho, japo hazikuwa nyingi, huku nikilinda mshahara. Niliishi katika hali ya kawaida kabisa, na niliweza kufanya uwekezaji kwa kiasi chake. Labda tofauti ni kuwa, mimi nilioa baada ya kujipata.Mimi ni muajiriwa serikali nina mwaka wa 3 sasa.
Nimefeli maisha ila sijakata tamaa.
Niliajiriwa na Take Home ya Laki 7 kwa Msukumo wa maisha maana nilikaa muda mwingi mtaani mara baada ya kuthibitishwa nilikopa bank million 12 kwa miaka 5 nikitarajia nitafanya biashara na kiuhalisia nilifanya biashara na kilimo ila zimefeli zote japo kwa kufanya self evaluation ni uzembe wangu binafsi nimeona.
Nimebaki na Take Home ya Laki 4 nina familia ya mke na mtoto 1 ninapambana kibishi japo kibayq zaidi nimepata mwanamke asiye mpambanaji japo ili sio la kulaumu hapo uzembe ni wangu pia.
Kwanini nimekuja kwenu.
Mimi nimeshafanya self evaluation nimeona kabisa nimefeli maisha na nisipokuwa makini naenda kupotea.
Nimeanza kuwa mlevi mtu nisiyejijali kibaya zaidi nimeingia kwenye madeni hadi haya ya kausha damu.
Ninapoongea hapa mwezi huu mshahara napata laki 2 maana nalipa madeni.
Sasa wakuu naomba kwa ukali au hekima karibuni kunishauri.
Nimemtoa mke wangu maana naona kama mzigo sio mtu anayependa kujishughulisha hapa nilishamfungulia biashara pia kwenye huo mkopo na aliua.
Leo nimekaa nimeona nikope kama million 8 nijilipue tena kwenye biashara.
Nitabaki na take home ya laki 3 ndani ya miaka 4 iliyobaki kadi ni muachie yeye adili na chakula.
Mimi huu mkopo wa million 8 nife nao kama nitafeli nifeli tu.
Kiuhalisia sina option yoyote kwa sasa hata mkinishauri ni save nipate mtaji mtakuwa mnanionea bure.
Karibuni kwa ushauri wakuu.
min -mewacha pombe mara moja walevi ni wapumbavu
Duuhwacha pombe mara moja walevi ni wapumbavu
Sina cha kukushauri ila nitakupa mtazamo wangu:Mimi ni muajiriwa serikali nina mwaka wa 3 sasa.
Nimefeli maisha ila sijakata tamaa.
Niliajiriwa na Take Home ya Laki 7 kwa Msukumo wa maisha maana nilikaa muda mwingi mtaani mara baada ya kuthibitishwa nilikopa bank million 12 kwa miaka 5 nikitarajia nitafanya biashara na kiuhalisia nilifanya biashara na kilimo ila zimefeli zote japo kwa kufanya self evaluation ni uzembe wangu binafsi nimeona.
Nimebaki na Take Home ya Laki 4 nina familia ya mke na mtoto 1 ninapambana kibishi japo kibayq zaidi nimepata mwanamke asiye mpambanaji japo ili sio la kulaumu hapo uzembe ni wangu pia.
Kwanini nimekuja kwenu.
Mimi nimeshafanya self evaluation nimeona kabisa nimefeli maisha na nisipokuwa makini naenda kupotea.
Nimeanza kuwa mlevi mtu nisiyejijali kibaya zaidi nimeingia kwenye madeni hadi haya ya kausha damu.
Ninapoongea hapa mwezi huu mshahara napata laki 2 maana nalipa madeni.
Sasa wakuu naomba kwa ukali au hekima karibuni kunishauri.
Nimemtoa mke wangu maana naona kama mzigo sio mtu anayependa kujishughulisha hapa nilishamfungulia biashara pia kwenye huo mkopo na aliua.
Leo nimekaa nimeona nikope kama million 8 nijilipue tena kwenye biashara.
Nitabaki na take home ya laki 3 ndani ya miaka 4 iliyobaki kadi ni muachie yeye adili na chakula.
Mimi huu mkopo wa million 8 nife nao kama nitafeli nifeli tu.
Kiuhalisia sina option yoyote kwa sasa hata mkinishauri ni save nipate mtaji mtakuwa mnanionea bure.
Karibuni kwa ushauri wakuu.
hakuna mtu anaependa kuishi kwa mshahara wa halmashaur maana ni mdogo sana na hakuna posho. shda ni kuwa hatuna connections za kuhamia huko kwny taasisi. kama una connection pls tusaidie.Mtumishi wa umma ukipata check no emb usibweteke jitahid utoke huko halmashauri kwa namna yeyote ile, kuna taasisi nyingi tu wanavuta noti za kutosha sana yaan kwa mwez mtu hakos allowance more than 800K hapo bado mshahara. Tokeni kwenye TGS mtakufa njaa
je ukimkopesha huyo mtumishi afu akakugeuka na kukataa kulipa utafanyaje? mana huna kibali cha kukopesha huezi mshtaki popote. na mshahara ukiingia yeye anatoa kwa simu.Angalia mazingira yako maana yake watumishi wote mna shida tumia hio Kama fursa kopesha pesa watumishi wenzio kwa riba ya 10% =800,000 kwa mwezi
Save 500,000
Uje mwakan tena na mrejesho
NB:epuka pombe za stress & mrudishe mkeo mtunze apendeze
watumishi wengi wanapenda biashara kwa sababu kwny biashara there is leverage yaan biashara inaweza kuendelea ww ukiwa kazn kwako ( in bussiness you can use other people's time). sasa kwny ufundi ni lazma wewe uwepo hapo vinginevyo wale ulowaajiri watakuibia afu wanaenda fungua ofisi kama yako hapo hapo pembeni yako na wanaondoka na wateja wako. haya ukisema ufanye kilimo hyo ardhi unaipata wapi hapa dar?Hili nalo ni tatizo kubwa sana. Yaani kila mtu ana mentality ya kuwa mchuuzi.
Wengine tufikirie inshu nyingine zenye kipato cha maana kama Kilimo, Ufugaji, uvuvi, uzalishaji wa bidhaa, ufundi, uwekezaji masoko ya hisa na hatifungani n.k, sio lazima wote tuwe wachuuzi.
Pole lakini nina hiki cha kukwambiaMimi ni muajiriwa serikali nina mwaka wa 3 sasa.