HOJA Mimi ni mwajiriwa Serikalini. Nilikopa, ila nimefeli malengo nahisi ninaenda kupotea

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Biashara inahitaji consistency , patient , Focus na Displine

Sasa wewe umeajiriwa je unapata muda wa kutosha wa kuendesha biashara yako?

Na umesema umeanza pombe

Je kwa hizo hela ndogo mil 12 au 8 ndo unataka uelewe

Jaribu kuachana na mikopo pia acha pombe au punguza

Jipe muda

Mwisho don't blame ur wife

Ukitaka kufanikiwa in business go all in

Usitegemee watu wakufanikishe ktk biashara that's impossible.
 
Pole sana mkuu
 
Pole kwa kuwa na mke mjinga sana kama wa kwangu!..
Katika mil.8 tumia 1.5ml,tengeneza saloon ya nywele kinyozi.....itakayokupa walau 15,000/- pday!
 
Kama umeshajitambua kuwa ulevi utakupoteza badilika

Ingekuwa hujajitambua ndio kungekuwa tatizo na tungekushauri...maamuzi ni yako

Wacha Pombe,pambania familia
Pombe anaisingizia tu, pombe haiiti mtu. Na sio kweli kua pesa yote anaimalizia kwenye urabu ila ni vile tu anaitaja mupate sehemu ya kupeleka lawama na matusi.

Kiongozi wetu hapa ana tatizo la kukurupuka.
 
Mnawaonea hao wake zenu, ninyi mbona mmeajiliwa na hamjajiajili ila mnataka wale zenu ndo wajiajili mkidhani ni rahisi eeeh
Hivi mfano mimi nilimfingulia duka la 4ml,viti ili auze pia vinywaji,kama bia soda nk,baada ya miezi sita hata vile biti na meza vikawa ameuza 😊
#Mkuu this my truly story!
 
Mkuu mi nina ushauri kwako..

Kama huna option ya kubadili ajira yako labda kwenda sekta binafsi yaani kwamba unategemea kufia serikalini basi fanya haya...

weka mpango wako wa miaka 5, punguza matumizi yasiyo ya lazima kama kupiga manyanga na kutapanya pesa hovyo yaani kua bahili.

Usikurupuke kukopa kisa huna pesa ya kutumia, jinyime.
Kwa sasa acha kukopa kabisa, bajeti hiyo laki mbili yako utoboe mwezi bila madeni kabisa.

Usikimbilie kuanzisha biashara kwa mikopo na huku hiyo biashara husimamii wewe.
Endelea kujifunza, save pesa yako, tunza kibunda kwa njia mbalimbali.

Ogopa kushindana na mtu, shindana na wewe mwenyewe.

NB. Mke hana kosa, wewe ndo kichwa, ulimkuta hana kitu, ulimuoa ili akuzalie , akupikie, akufulie na ule mbunye. Hayo majukumu mengine ni kumpa mzigo asiouweza labda umjenge kwanza kua hivyo sio kwa haraka namna hiyo.
 
Hivi mfano mimi nilimfingulia duka la 4ml,viti ili auze pia vinywaji,kama bia soda nk,baada ya miezi sita hata vile biti na meza vikawa ameuza 😊
#Mkuu this my truly story!
Mkuu usimlaumu kabisa, unakosea na kuongeza migogoro.

Sio kila mtu kazaliwa ili aje kua mfanyabiashara, usilazimishe.

Kuna wengine bila usimamizi ni bure kabisa, ukimuacha ajisimamie unaharibu tu.
Ukimpa mtaji wa namna hiyo mfanye awe kama mfanyakazi, fatilia hesabu zake, kama wewe una ABC za biashara basi mpe hints sio kumsubiri afeli uje kumlaumu.
 
Hiki kitu hua nakisema mara nyingi.

Kama biashara yako mtaji ni chini ya 20M hiyo biashara inahitaji uwepo wako kwa angalau 90% ukiweza uwepo uwe wa 100%

Hii ni kwakua Kwa mtaji kama huo ikitokea loss au kua unapigwa na anayesimamia impact unaifeel faster na kurecover itachukua muda.

Mkuu ulichukua 12M ikazingua.

Sasa hivi unachukua 8M.

Unamaanisha 8M ilikua inatosha ni wewe tu ulitaka 12M?

Sasa hii 8M unarudia biashara ileile au unahama? Self evaluation itasaidia kusurvive hii ngwe ya pili?

Posho zinaweza kuziba gap? If yes go for it
 
Kabisa aweke M- wekeza ila kwa hali yake ya kunywa pombe aweke UTT kule ni baada ya siku 3 ndo hela unatoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…