Mimi ni mwalimu wa science (Physics), ninaombeni kazi ndugu zangu

Asante sana
 
Mchambuzi wa Maisha ya watu umeshawasili
 
Kama una background nzuri economically + watu wa kuwategemea hautanielewa ila kama wewe ndie top perfomer na first born kwenu, utanielewa vizuri
 
Can you mentions the branches of phyics and their importance in our daily life. Kumbuka mimi ni la saba D.
12. Condensed Matter Physics
  • Definition: Condensed matter physics deals with the physical properties of solid and liquid matter, particularly at the atomic and molecular scale. It is concerned with the study of materials and their properties.
  • Key Topics:
- Crystallography
- Semiconductors
- Superconductivity and magnetism
- Nanomaterials and nanotechnology
- Applications: Material science, electronics, nanotechnology, and the development of new materials for various industries.

13. Plasma Physics
  • Definition: Plasma physics is the study of plasma, which is the fourth state of matter (besides solids, liquids, and gases). Plasma consists of charged particles such as ions and electrons.
  • Key Topics:
- Plasma confinement and fusion
- Electric and magnetic fields in plasma
- Space weather and solar physics
- Applications: Nuclear fusion research, space propulsion, and plasma-based technologies (e.g., plasma TVs, ion engines).


nakupa homework utafute branches zilizobaki
 
Nina uwezo mzuri wa kufundisha vidato vyote (form 1 mpaka form 6) na vyuo vya kati pia.
Aisee
Nimefundisha shule kadhaa za sekondari kabla ya kuingia mazima kwenye ujasirimali ambako pameenda isivyo.
Sasa kama una uwezo mzuri wa kufundisha physics na ulishafundisha shule kadhaa, kwanini usirudi huko huko kwenye shule husika maana wanakujua?!!

Mwalimu aliyethibitika kuwa mzuri ni vigumu kukataliwa
 
Umedesa kwenye AI apps wewe.
 
Mkuu ACHA kuwajibu hao jamaa!!

Naweza kukupa connection tatizo mshahara kama wa tempo vile!!labda kama ukipiga Tuition vile!!
 
Kwanini ukithrow mpira kwenye maji haudundi kama unavyodunda kwenye ardhi ?
Hii ikuoneshe ni jinsi gani huwezi kuikimbia physics kwenye maisha yako ya kila siku

Mpira kutokudunda ukitua kwenye maji unasababisha na vitu vingi

kuna fluid resistance ambayo husababisha molecules za maji zisiuruhusu mpira kuondoka kwenye surface ya maji, kuna surface tension ya maji kuna bouyant force na vitu vingine ambavyo havipo kwenye ground ya kawaida
Kuyajua zaidi nitafute kwa hiyo namba
 
H
Hongera sana mkuu kwa kuhitimu chuo. Utapata kazi, wakati ukifika utapata tu. Kahama -SHY kuna shule nyingi sana za private kajaribu kuomba Kwema Modern, Anderleck Ridges, Mhongolo Progressive, St John wa II, pia kwa Iringa jaribu kuomba ST Dominic Savio, Mungu akutangulie akutangulie sana. Pia kuwa na subira kila kitu kitakaa sawa.
 
Mkuu nilisha waaza hivi ila sielewi wanalipanaje na maboss wa magereji
 
Hatari sii mchezo.
Mie nikiwaza jamaa alivyokuwa anashusha namba za calculus, numerical analysis na hesabu za quantum mechanics alafu anasota ujue inauma sana.
Its painful sana,mi namwonea wivu pia,mi niliyajaribu hayo masomo lkn siku fanikiwa at high level,.,namba ilikuwa tamu sana,lkn najiuliza au jamaa kuna mahala alijikwaa nini!!!,maana naona kuna mengi angeweza fanya tokana na haya masomo kuwa hot cake katika nyanja nyingi,na kwenye uhasibu watu hawa huwa wanapeta sana kwasababu yakujua nambazi.
 
Connection kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…