bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 8,094
- 7,853
Usijidanganye yalikuwepo tangu zamani lakini yalikuwa yanafichwa.Mbona siku hizi watoto wa kiume wanakuwa laini laini sana.....yaani mkuu unataka kujitoa uhai kwa jambo dogo kama hili......hebu ushike moyo wako kama mwanaume bhana
wacheni utani kwa kitu serious kama msongo wa mawazo.Bora ujiue Ili tupunguze wapumbavu
Kama Mwashambwa yeye hasemi kabisa🤔Hongera kwa kupaza sauti!
Wanaume wengi wanaonewa hadi makwenzi wanapigwa ila wanaona aibu kusema.
Kwahiyo kumtoa mtoto shule ndio anakunyanysa? Wewe ni mwalimu na unashindwa kujieleza?Naomba jamii Forum iwe msaada kwangu.Huyu ni mwalimu mwenzangu yupo Babati Manyara.Nimejitoa kumpeleka mwanangu shule ya bweni kamtoa. NATAMANI KUJIUA ila naombeni mnisaidie.Shule ni Ngolei Primary School
Mjeda anaweza fanyiwa kitu mbaya anytime, sometimes power is powerless .aisee ni kweli bhana angalia mjeda anamchapia mwanetu. Dah! So sad
Lakini mimi sikusema kuwa yalikuwa hamnaUsijidanganye yalikuwepo tangu zamani lakini yalikuwa yanafichwa.
Bhas ukoo wenu una asili ya kujinyonga nilitaka kyshangaa ili suala mbona dogo sa a kuna watu wana matatizo chungu mzima na wanakomas kuyasolve ila ww kimosa kdg unataka kujinyonga kumbe kwenu mna asili ya kujinyonga bhas kuna siku utajinyinga kweli trust meNaogopa mana baba yangu mdogo nilimuona amejiua 2000 kwa kujinyonga.Na huenda alikaa na matatizo yake bila kumwambia mtu.Sioni aibu kuweka shida yangu kwa waelewa.
Achana nae siyo mama yako aliyekuzaa. Mwanamke wa kunisumbua kichwa Duniani hapa ni mama yangu aliyenizaa ,achana na huyo umekutana naye ukubwani.Wengi wataniona mimi ni mjinga lakini mpaka naandika hapa najua jukwaa hili lina wajuzi wengi.
Ukobsawa kabisa haiwezekani mwanamke akufabye utake kujinyonga yaan huyu anafaa apelekwe kwa wataalam wa saikolojia huyu anaenda jinyonga kweli mana haimake sensekuna mtu alikuwa na watoto watatu na mke wa ndoa kwenda kuchake DNA wale watoto wote sio wake aligombana na mkewe akaropoka kwenda kuchake sio wake kweli na kashasomesha mpaka form three wengine wako form one but jamaa alipiga moyo konde na akaenddlea ku survive kaoa mwengine ss yy kaona ishu iyo kdg analalamika kujinyongaAchana nae siyo mama yako aliyekuzaa. Mwanamke wa kunisumbua kichwa Duniani hapa ni mama yangu aliyenizaa ,achana na huyo umekutana naye ukubwani.
Wanawake wengi unajisikia vibaya kwa hiyo mmoja,kwani ni mama yako,acha uzembe piga chini oa nyingine omba uhamisho zalisha watoto wengine,mwisho tafuta sana Hela maana kazi ya ualimu unayoifanya ndiyo inakusababisha kuwa mnyonge mpaka mkeo anakudharau anaona mjeda ni nafuu kuliko weweAsante mkuu,hakuna anayejua namna ninavyojisikia.Mungu ndie anayejua.
Anastahili kuwa Naibu Waziri mkuu baada ya 'October fest'.Wewe ni next level
Anachapa kazi sanaIli atudukue sio?
atakua anajiendekeza vibaya mkuu, kwenye maisha ukizidiwa mbinu unatafuta mbinu zingine pia - -- akubali hali halisiUkute mwanamke ni bonge la pisi la Kiiraki,jamaa moyo unamuuma mwanajeshi kujilia mali huku yeye akinyimwa mzigo ndani na anamsukiliza mwanajeshi kuliko mumewe,ukizungatia na mke ni mwalimu aloooh!
Kama ana ushahidi wa kuaminika aende nao kikosini ambako huyo askari anafanya kazi aombe kumuona mkuu wa kikosi (OC). Akiwa na vielelezo vyake. Kosa hilo kijeshi ni moja ya makosa makubwa ya kufukuzwa jeshi. Usiogope hao MP wa Quaoter guard. Maana wa naweza kukutisha ukakimbia.Wanawake wengi unajisikia vibaya kwa hiyo mmoja,kwani ni mama yako,acha uzembe piga chini oa nyingine omba uhamisho zalisha watoto wengine,mwisho tafuta sana Hela maana kazi ya ualimu unayoifanya ndiyo inakusababisha kuwa mnyonge mpaka mkeo anakudharau anaona mjeda ni nafuu kuliko wewe