Mimi ni mwanaume ninayeonewa na mke wangu, Dkt. Gwajma nisaidie

Dkt. Dorothy akusaidie nini mkuu?
Mafunzo ya kuwasaidia wanaume yanapotoka hapa huwa mnakuwa wapi?
Achana na huyo mwanamke na ufungue ukurasa mpya
Kuna watu wanakupenda na kukutegemea kiasi ukifa leo ndio watakaoumia sana
Kubali ulikosea kuwa na huyo mwanamke achana nae na endelea kutunza mtoto wako
Mwanamke akishakusaliti kingono ni sawa na mbwa mwenye kichaa suluhisho ni kifo yaani achana na huyo mwanamke
Kwani huyo mwanamke ulitongozewa au ulipewa bure, shabash
Umelogwa????
 
Sasa mkuu waziri hawezi kulazimisha mke wako akupende wala kuzuia mwanajeshi asimle mkeo.

Mwenye uwezo wa yote hayo ni wewe kwa kumpiga chini mkeo
Ameona ni pahala panafaa.Bora yeye amefikia huko amekuja humu.Tusimame naye pamoja.
Kwa alipofikia tungesikia mtu kachinja hapo Babati..simple simple.
 
Mkuu mtie moyo jamaa.Ushauri mzuri ila kwa jamaa utafanya kazi baadae..tumtoe kwa hapo.
 
Hujambo? Nipo, sms 0765 345777 tafadhali utanipata moja kwa moja, sema tu anxiety JF, nitakutambua au pia PM. Karibu.
Haya kajilize upoteze muda wako wakati kuna mwanamke fulani mwenye hadhi na utulivu anakusubiri upate akili ukutane nae
Au huyo demu ndio alikutoa bikira???
Acha ulembukeni wa ****
 
Mkuu mtie moyo jamaa.Ushauri mzuri ila kwa jamaa utafanya kazi baadae..tumtoe kwa hapo.
Mkuu wanaume tunapeana makavu tu hakuna kubembelezana
Maisha ya mwanaume ni kuchagama , kugangamala na kusonga mbele kwa nguvu zote yaani akili na mwili
 
Huwa ninapata hasira mwanaume asipojielewa kwani hata mimi nilipitia haya lakini sasa nimekuwa na nimejitambua sana
Hakuna mwanamke anayenieleza chochote cha kuharibu future yangu
Nina wake watano ,5 na wote wametulia wakinihudumia kuliko mfalme mswati
Mwanaume usiwe na mwanamke mmoja utakuja kufa bila kutarajia
 
Pole ki
Pole kijana, tafuta bini uoe, sahahu kuhusu mtoto na MKE, anza upya.
Unangangania mtoto, akikiambia sio wako utasema nini?
 
Wanajf mnashangaza mnamjibu jamaa alichoandika kimeeleweka kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…