Israel hajatwangwa mara mbili na ameufyata?Jamaa una tuhadithi tuzuri kweli.Unaweza kutunga kitabu uuze?ππππ
Wenzako wanaokufa, wewe tunashabikia Israel mara Syria mara Iran. Unakula ugali na maharage unashiba, wenzako hata muda wa kuchimba kaburi wazike wafu wao hawana, kwa kuogopa mabomu. Kwani ukiwa mdini unakosa huruma na utu ?Nilivyoizoea Israeli kule Syria inavyowatandika , nikajua hii ya kushambuliwa na Iran isingepita hata masaa mawili ingejibu , LAKINI LEO NI SIKU YA NNE.
Kwa maoni yangu ninaamini Israeli italipiza kisasi tena huenda itapiga mapigo makali sana. Sema ninaona hii tayari ni WEAKNESS imeonekana kwa jeshi la Israeli kuwa kumbe halipo tayari muda wote kwa asilimia 100% kama wengi tulivyokuwa tunaamini.
Na kumbe huyo Iran angekuwa ameamua kuingia mazima kupiga Israeli mfululizo kwa siku 7 ingekuaje MAANA KAMA VIMERUSHWA VIKOMBORA VIDOGO TU HALAFU NDIO ANAJIPANGA WEEE NA KUJIKUSANYA KULIPA KISASI.
Mimi msimamo wangu kuhusu hawa Mazayuni niliwahi kuutoa humu Pasco - Unawezaje kusema maneno kama haya ?Nilivyoizoea Israeli kule Syria inavyowatandika , nikajua hii ya kushambuliwa na Iran isingepita hata masaa mawili ingejibu , LAKINI LEO NI SIKU YA NNE.
Kwa maoni yangu ninaamini Israeli italipiza kisasi tena huenda itapiga mapigo makali sana. Sema ninaona hii tayari ni WEAKNESS imeonekana kwa jeshi la Israeli kuwa kumbe halipo tayari muda wote kwa asilimia 100% kama wengi tulivyokuwa tunaamini.
Na kumbe huyo Iran angekuwa ameamua kuingia mazima kupiga Israeli mfululizo kwa siku 7 ingekuaje MAANA KAMA VIMERUSHWA VIKOMBORA VIDOGO TU HALAFU NDIO ANAJIPANGA WEEE NA KUJIKUSANYA KULIPA KISASI.
Amka katafute kazi kijana asbh asbh una waza ya israel unazani vita ni kukurupuka tu?Nilivyoizoea Israeli kule Syria inavyowatandika , nikajua hii ya kushambuliwa na Iran isingepita hata masaa mawili ingejibu , LAKINI LEO NI SIKU YA NNE.
Kwa maoni yangu ninaamini Israeli italipiza kisasi tena huenda itapiga mapigo makali sana. Sema ninaona hii tayari ni WEAKNESS imeonekana kwa jeshi la Israeli kuwa kumbe halipo tayari muda wote kwa asilimia 100% kama wengi tulivyokuwa tunaamini.
Na kumbe huyo Iran angekuwa ameamua kuingia mazima kupiga Israeli mfululizo kwa siku 7 ingekuaje MAANA KAMA VIMERUSHWA VIKOMBORA VIDOGO TU HALAFU NDIO ANAJIPANGA WEEE NA KUJIKUSANYA KULIPA KISASI.
Wanarusha vifashifashi/fataki vinatua vichakani?Jamaa yangu tulia.π€£π€£π€£π€£Israel hajatwangwa mara mbili na ameufyata?
Mwenzake Iran ameonesha makombora yake hayazuiliki na mfumo wowote wa ulinzi ndiyo maana yamepenya kiutahisi hadi ardhi ya Mazayuni.
Aise hapa kweli nimeamini naongea na mtu ambaye akili zake zimeshikwa na mwingine.Wanarusha vifashifashi/fataki vinatua vichakani?Jamaa yangu tulia.π€£π€£π€£π€£
Watu wapo hapo toka mwaka 1947. Wapalestina waarabu wenzao wana mafuta bado wanalindwa na Marekani. Wanashindwa nini kuwasadia wapalestina na wana hela za mafuta. Mtu anaeswali swala tano na kupiga rakaa ni kondoo aisee.Kweli nyie makondoo kazi yenu ni kuswagwa tu hata hamuelewi mnapoelekea.
Yaani bado hutaki kuwa independent thinking unategemea mchungaji akudanganye kwamba Israel ana nguvu za kupimana na mbabe Iran?
Dunia imefunguka mkuu acha kuhadithiwa jionee mwenyewe. Hadi kufikia sasa amepata kigugumizi cha kujibu mapigo.
Kila wakiangalia ile video hawaamini kama wao ndo wameshambuliwa kiasi kila zile ngebe na ubabe wao zimeishaNilivyoizoea Israeli kule Syria inavyowatandika , nikajua hii ya kushambuliwa na Iran isingepita hata masaa mawili ingejibu , LAKINI LEO NI SIKU YA NNE.
Kwa maoni yangu ninaamini Israeli italipiza kisasi tena huenda itapiga mapigo makali sana. Sema ninaona hii tayari ni WEAKNESS imeonekana kwa jeshi la Israeli kuwa kumbe halipo tayari muda wote kwa asilimia 100% kama wengi tulivyokuwa tunaamini.
Na kumbe huyo Iran angekuwa ameamua kuingia mazima kupiga Israeli mfululizo kwa siku 7 ingekuaje MAANA KAMA VIMERUSHWA VIKOMBORA VIDOGO TU HALAFU NDIO ANAJIPANGA WEEE NA KUJIKUSANYA KULIPA KISASI.
Hili ndilo kosa lenu vijana. Wachungaji wameingiaje hapo mkuu?Kweli nyie makondoo kazi yenu ni kuswagwa tu hata hamuelewi mnapoelekea.
Yaani bado hutaki kuwa independent thinking unategemea mchungaji akudanganye kwamba Israel ana nguvu za kupimana na mbabe Iran?
Dunia imefunguka mkuu acha kuhadithiwa jionee mwenyewe. Hadi kufikia sasa amepata kigugumizi cha kujibu mapigo.
Kwa hiyo wewe ndiyo una-access na IDF?Ungetuambia umesoma habari siyo unalijua IDF.Aise hapa kweli nimeamini naongea na mtu ambaye akili zake zimeshikwa na mwingine.
Hujaona habari ya jeshi la IDF kukiri madhara makubwa yaliyotokana na makombora ya Iran dhidi ya kambi zake za kijeshi hasa kambi za jeshi la anga?
Yaani wataalamu wa jeshi la Israel wanakiri madhara makubwa yaliyotokea wewe usiye na access yoyote unasema hakuna madhara.
Napenda kuweka hoja mezani na mtu mwenye uelewa wa masuala mazima ya globe lakini nimegundua wewe hufuatilii mambo unasubiri uhadithiwe tu.
Ukiona post imekuwa 'liked' na Pascal Mayalla ujue ameielewa hata kama haipo kwenye upande wa msimamo wake sio mtu kama Moisemusajiografii anayeendeshwa na mhemko.Hana uwezo wa kujibizana na Iran ambaye kiuhalisia ndiye mbabe wa eneo lote la mashariki ya kati.
Iran kawapigisha magoti wote hapo middle east hakuna wa kujibizana naye moja kwa moja ni lazima wajiulize mara mbili mbili.
Nilivyoizoea Israeli kule Syria inavyowatandika , nikajua hii ya kushambuliwa na Iran isingepita hata masaa mawili ingejibu , LAKINI LEO NI SIKU YA NNE.
Kwa maoni yangu ninaamini Israeli italipiza kisasi tena huenda itapiga mapigo makali sana. Sema ninaona hii tayari ni WEAKNESS imeonekana kwa jeshi la Israeli kuwa kumbe halipo tayari muda wote kwa asilimia 100% kama wengi tulivyokuwa tunaamini.
Na kumbe huyo Iran angekuwa ameamua kuingia mazima kupiga Israeli mfululizo kwa siku 7 ingekuaje MAANA KAMA VIMERUSHWA VIKOMBORA VIDOGO TU HALAFU NDIO ANAJIPANGA WEEE NA KUJIKUSANYA KULIPA KISASI.
Kobazi mnajidanganyaArushe ata jiwe aone
Nikikumbuka mikwala ya netanyau kule UN, naishia kucheka sanaAcha ujingaujinga wewe chogo.Yani kwa ubongo wako unaona Irani anaweza kupambana na Israel?