Mimi nikajua Israel huwa inajibu mapigo muda huohuo. Leo ni siku ya nne

Iraq ya Saddam Hussein ilipoishambulia Israel, Waisrael wala hawakuhangaika kulipiza. Kwa kifupi, walimpuuza Saddam Hussein na Iraq yake.
 
Mimi ni muafrika wa Tz. Ungeniambia nisome kwa ajili ya Tz ningekuona unajielewa. Ila mwenzangu wewe naona ni Myahudi wa Haifa.
Unasoma kwa ajili ya Tanzania wakati Bakhresa,Mo Dewji na Murzah oil wanalipwa ruzuku kila kukicha. Watu wanalipwa ruzuku huku wafanyakazi wao hawana bima wala mafao . Serikali ipo wapi ?Unadhani serikali yako inakujali ? Serikali itaanza kukujali pale utakapowajali ndugu yangu amka. Mimi nikirudi nakuja kuwakamua vizuri walioalala. Narudi Feb 2026 kama utakuwa hauna kazi nitafute pm.
 
Strategic measured aproach!

Japo siamini katika hivi vita zaidi ya ujinga na kukurupukia imani kati yao!
 
Israel huwa hajibu kizembe, atajibu kwa hakika akilenga wahusika tu na mahali sahihi.
Viongozi wote wa Iran kwa sasa tumbo joto, na hakuna anayetamani kutoa pua yake nje ya Iran.
Kwahiyo wanasubiri hadi watoke nje ya Iran ndio walipize.
Basi ndio kama hivyo hatumuwezi tukubari tu Iran mbabe maana kasema tukijibu atatupiga mara 1000
 
Ukiwaingilia bila guard wana Gawa dozi wastani Kwa idadi.
Hapo lazima calculation zihusike
Israeli wametambua Washkaji siyo wanyonge hata kidoga.
 
Hiyo ni vita si video game. Nchi yoyote inayopigana vita haijibu hapo hapo inachukua mipangonna muda kuhakikisha watakapo jibu wanamuumiza adui
 
Tumia akili ww mtu anapofanya jambo ANAWASUBIRI SIKU YA IDI WAKIWA WAMEJAA SAFI KABISA MISIKITINI HAPO NDIPO ROKETI 777 ZITARUSHWA KATIKA MISIKITI 777 KWA MASAA 7 NA DK 7 KATIKA SECOND YA 7 ILI WAWAISHWE KWA MABIKIRA WAO hiyo IRANI KUPIGA KUUA KUKU NA KUHARIBU MAZINGIRA HATA WASIPOJIBU SAWA KWA SASA
 
Israel ya mchongo 🤣🤣
 
Sasa mkuu mbona Marekan harushi ndege zake na kupeleka wajeda ukrein, kwahio sio mbabe kwa Urusi?.
 
Jamaa una fix sana wewe
 
Inabidi jibu liwe chungu sio la kukulupuka kama Jibu la kwanza Ukungu ulivyoondoka na Mtu ndio Jibu Jingine linalokuja kwa stail nyingine
 
 
Sasa mkuu mbona Marekan harushi ndege zake na kupeleka wajeda ukrein, kwahio sio mbabe kwa Urusi?.

Marekan kwa ukraine sio sawa na marekan kwa israel...

Ingekuwa Urusi ameivamia Israel amin nakwambia US angeshaingia kitambo...

Interest za US kwa ukraine hazifikii ukubwa wa US kwa israel.. US kawekeza pakubwa sana pale Israel na lengo lake ni ili awe na Proxy Middle East.. kwa Europe ana proxy sehem nying tu..
 
Kuchelewa kujibu ndio hatari zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…