Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
-
- #101
Ndugu zangu,kufanya kipindi haimaanishi ndo ukweli hata mama tapeli wa tanga aliyelia mbele ya magu alikuwa anafanya vipindi ilhali tapeli!
baba wa taifa ilkuwa lazima yeye ndo alete uhuru hata hao wazee wako washinda na misuli kunywa kahawa wasingekuwa naye km mmunavyodaiAcha kashfa kwa taarìfa yako kama sio hawa wazee mnayemuita baba wa taifa msingemsikia
Sent using Jamii Forums mobile app
kusema tu hivyo huo ni mtazamo wake ,km wewe mtazamo wako kwamba unaonewa!Mzee Meko,
Marehemu Dr. Kyaruzi alimwambia Juma Mwapachukuwa, ''Kama si
mipango aloiyopanga baba yako (Hamza Mwapachu) na Abdul Sykes
Tanganyika isingepata uhuru mwaka wa 1961."
Mohamed Said: KUTOKA JF: PROF. HAROUB OTHMAN, MWALIMU NYERERE NA KUMBUKUMBU ZA ALI MUHSIN BARWANI
Harakati za 1905-1907 zilikua za kupigania uhuru wa makabila na sio uhuru wa taifa tulilonalo leo.Kila Mbongo,
Tukubaliane kuwa mapambano dhidi ya Wajerumani 1905 - 1907 ndiyo
harakati za kupigania uhuru.
Je, Kitali anaijua historia ya Sultani Abdulrauf Songea Mbano
aliyepigana na Wajerumani katika Vita Vya Maji Maji?
Hili swali nimemuuliza lakini hjaweza kutoa jibu.
Anaweza akaingia hapa kumjua shujaa huyu:
Mohamed Said: CHIEF ABDUL RAUF BIN SONGEA MMOJA WA MAJEMADARI WA VITA VYA MAJI MAJI NDIYO HUYU SONGEA MBANO?
Mbona maneno yako ni ukweli wa uwazi tu.....tatizo la mzee kutokubali ni nini?Mzee elewa nimesema hawa Watu hawakuwa na kitu cha kambana nacho walipokuwa wanataka kujitawala so kutumwa tu kuwashawish Watu waungane na nyie kutaka kujitawala hiyo Sio kupigania uhuru hiyo Ni kutafuta madaraka Kama vyama vyingine tu Ndio maana nikakwambia Huwez kuvaa vikoi halafu unaniambia unapigania uhuru. Nenda Kenya hapo wakuambie mai mai walivyopigania uhuru ndio utaelewa nisemacho.
Ni lile lililopo karibu na wizara ya ElimuHivi pale Ikulu "geti la nyuma" ni lipi?
Mbona mnatutenga jamani sie watu wa bara wenye kswahili chenye kukatakata...btw ukisoma kwa jicho la kujifunza hivi anavyoandika Mohamed Said ni historia tosha kuliko ile tuliosoma shuleni kwa ajili ya kujibu mtihani wa NECTASote tunaamini hivyo, hata Nyerere hakuwa Mzee wa Dar alikuja tu na kukuta harakati za kisiasa zipo na zinaendelea.
Unaweza ukatupa historia za wanaharakati wa nje ya Dar. Tutafurahi sana.
Sisi wa Dar tumejaaliwa na AlhamduliLlah tunae Mohamed Said aliyejaaliwa kutuandikia kuhusu wazee wetu wa Dar na kugusia harakati zao zilizowatoa nje ya Dar na hata nje ya Tanganyika.
Tutafurahi sana tukipata historia ya nje ya hapo. Na itakuwa ni rejea safi kabisa.
Huyu kitali anaonesha chuki yake wazi wazi juu ya imani flani ya kidini.ila tumia busara ndugu yangu katika kupinga hoja,fikiria itakuaje kama kila mmoja wetu hum atatumia kejeli na kashfa katika kuwasilisha mawazo yake??Kitali,
Tafadhali toa hoja bila kutukana na kejeli.
Hatari ya matusi ni kuwa tutawakaribisha katika mjadala huu mabingwa
wa kutukana na mjadala utavurugika.
Mzee Said Chamwenyewe na mfano kama wake wakivaa kanzu na
kikoi na ndiyo waliojenga TANU na kuingiza wanachama wa mwanzo
kutoka Rufiji 1954 baada ya Msajili wa Vyama kukataa kuisajili kwa
kukosa wanachama.
Hiyo historia ya Uganda si sawa.
Soma kitabu cha Judith Listowel, ''The Making of Tanganyika,'' utajifunza
mengi.
Uongozi wa TAA kuanzia 1950 ulikuwa na vijana hawa wazeee
unaowazungumza wewe walikuwa wawili tu - Mufti Sheikh Hassan
bin Amir na Sheikh Said Chaurembo.
Waliobakia Abdul Sykes, Dr. Vedasto Kyaruzi, Hamza Mwapachu,
Stephen Mhando, Dossa Aziz, hawa walikuwa vijana.
Hawa ndiyo walikuwa wajumbe wa TAA Political Subcommittee kamati
iliyokuja kuunda TANU 1954.
Katika hawa hakuna yeyote aliyekuwa na mawasiliano na Nyerere akiwa
Uganda.
Kulia ni Sheikh Said Chaurembo
Kwa faida ya JF Nyerere aliunda chama gani kisha akawambia kina nani waje kukiendeleza?...
Kila Mbogo,Harakati za 1905-1907 zilikua za kupigania uhuru wa makabila na sio uhuru wa taifa tulilonalo leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakosea Sana kusema kuwa Eti umeandikia vyuo tofauti vingi dunian na umepewa kaz za vyuo vingi unaiandaa. Labda Mimi nikusaidie wazungu hawana tabia ya kupuuza vitu kila kitu wanakichukua hata upuuz na Ndio maana hata mashoga wamewaruhusu kufanya watakavyo ni free states zile so kupewa kaz na haO jamaa Usichukulie kuwa ni jambo kuubwa Sana ni kawaida ya mtu muelewa anajifunza kila kitu. Hiyo haimaanishi unachotaka tukielewe ni sahihi. Kwenda nje Sio big deal labda kwa hao wenye akili Kama hiz zako ndio ataona kitu kikuubwa. Kwanini hujatutajia vyuo vya Japan au China kuhtaji hizo kaz zako. Kwenda nje jaman ni Sawa na kutoka magomen na kwenda hapo masaki tu c zaid Mimi kila miez mawili niko nje cjaona jipya zaid ya kujua dunia Katika fikra mpya so kitu unachotakiwa kufanya muda huu ni kufundisha watoto wenu waondoe mentality hizo kichwan waweze kufanya kaz wapeleke watoto Shule ili wawe washiriki wa uchumi waache kuwa washangaa uchumi ukienda kwa wahangaikjiNdugu zangu,
Nimesafiri kwingi nikihadhiri na kuandika na kuandikwa katika journals za Marekani na Uingereza. Oxford University Press, Nairobi na New York wote wamenipa kazi na wamechapa kazi zangu mbili 2007 na 2011. Niko katika Dictionary of African Biography mradi wa Harvard uliojumuisha wasomi karibia 500 dunia nzima na limechapwa kamusi la volume 6 na mimi nimo humo. I am not bragging ila nataka ujue kuwa hili somo nalifahamu na si hayo tu niko katika Cambridge Journal of African History.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wewe kwenu wapi tueleze ili tuone mliacha lini kuvaa vipande vya kaniki.baba wa taifa ilkuwa lazima yeye ndo alete uhuru hata hao wazee wako washinda na misuli kunywa kahawa wasingekuwa naye km mmunavyodai
Nnilitoka Kenya mwaka 1998 na kwa wakat ule nilikuwa nimekaa Kenya kwa miaka 8 so kilichotokea mwaka ule kulitokea vita. Watu wa pwan walitaka Watu wa bara warud bara wanadai Watu wa bara wamekuja pwan wamechukua kaz za Watu wa pwan so vijana wao hawapat kaz wakaunda kikundi chao cha kaya bombo wakaanzisha gasia. Sasa ukienda deep down hawa Watu na Watu wa tanga mjin na waswahili WA Zanzibar acha kidogo wapemba na wale Watu wa ujiji kigoma na Tabora mjin kidogo na Mtwara Lindi kidogo na hawa wenyeji wa pwan ni Aina moja ya watu. Hawapend kaz ngumu na wala hawana malengo makubwa. Na ni Watu ambao wamewekeza Sana midomon Sio kazin nimekaa Nnao nawajua vizur Sio Watu wa kuaminika na ukifanya nao kitu chochote jitahd uwe na mkataba wa sheria kabisa hawaaminiki. Niliishi Mombasa majengo king'oran
Nnilitoka Kenya mwaka 1998 na kwa wakat ule nilikuwa nimekaa Kenya kwa miaka 8 so kilichotokea mwaka ule kulitokea vita. Watu wa pwan walitaka Watu wa bara warud bara wanadai Watu wa bara wamekuja pwan wamechukua kaz za Watu wa pwan so vijana wao hawapat kaz wakaunda kikundi chao cha kaya bombo wakaanzisha gasia. Sasa ukienda deep down hawa Watu na Watu wa tanga mjin na waswahili WA Zanzibar acha kidogo wapemba na wale Watu wa ujiji kigoma na Tabora mjin kidogo na Mtwara Lindi kidogo na hawa wenyeji wa pwan ni Aina moja ya watu. Hawapend kaz ngumu na wala hawana malengo makubwa. Na ni Watu ambao wamewekeza Sana midomon Sio kazin nimekaa Nnao nawajua vizur Sio Watu wa kuaminika na ukifanya nao kitu chochote jitahd uwe na mkataba wa sheria kabisa hawaaminiki. Niliishi Mombasa majengo king'oran
Hivi kikichokuuma haswa nini? Umemtaja Mkwawa ukapewa dozi ndogo, hukurudia tena. Ukamtaja Songea ukijidai ilikuwa vita ya kikabila, ukapewa dozi kidogo kuulizwa unamjuwa Abdurauf Songea? Ukabana kimya hukujibu.Mzee unakosea Sana kusema Eti ninaa
Unakosea Sana kusema kuwa Eti umeandikia vyuo tofauti vingi dunian na umepewa kaz za vyuo vingi unaiandaa. Labda Mimi nikusaidie wazungu hawana tabia ya kupuuza vitu kila kitu wanakichukua hata upuuz na Ndio maana hata mashoga wamewaruhusu kufanya watakavyo ni free states zile so kupewa kaz na haO jamaa Usichukulie kuwa ni jambo kuubwa Sana ni kawaida ya mtu muelewa anajifunza kila kitu. Hiyo haimaanishi unachotaka tukielewe ni sahihi. Kwenda nje Sio big deal labda kwa hao wenye akili Kama hiz zako ndio ataona kitu kikuubwa. Kwanini hujatutajia vyuo vya Japan au China kuhtaji hizo kaz zako. Kwenda nje jaman ni Sawa na kutoka magomen na kwenda hapo masaki tu c zaid Mimi kila miez mawili niko nje cjaona jipya zaid ya kujua dunia Katika fikra mpya so kitu unachotakiwa kufanya muda huu ni kufundisha watoto wenu waondoe mentality hizo kichwan waweze kufanya kaz wapeleke watoto Shule ili wawe washiriki wa uchumi waache kuwa washangaa uchumi ukienda kwa wahangaikji
Afrika Kusini walipoua na kuwachoma moto Waafrika wenzao kwa kuwa "wanawachukulia kazi zao" nao walikuwa watu wa Pwani wasiopenda kazi?Nnilitoka Kenya mwaka 1998 na kwa wakat ule nilikuwa nimekaa Kenya kwa miaka 8 so kilichotokea mwaka ule kulitokea vita. Watu wa pwan walitaka Watu wa bara warud bara wanadai Watu wa bara wamekuja pwan wamechukua kaz za Watu wa pwan so vijana wao hawapat kaz wakaunda kikundi chao cha kaya bombo wakaanzisha gasia. Sasa ukienda deep down hawa Watu na Watu wa tanga mjin na waswahili WA Zanzibar acha kidogo wapemba na wale Watu wa ujiji kigoma na Tabora mjin kidogo na Mtwara Lindi kidogo na hawa wenyeji wa pwan ni Aina moja ya watu. Hawapend kaz ngumu na wala hawana malengo makubwa. Na ni Watu ambao wamewekeza Sana midomon Sio kazin nimekaa Nnao nawajua vizur Sio Watu wa kuaminika na ukifanya nao kitu chochote jitahd uwe na mkataba wa sheria kabisa hawaaminiki. Niliishi Mombasa majengo king'oran
Cjakuelewa unalenga nini lakin nilichomkumbusha Huyu Mzee hiz ngano zake za wavivu waliopitwa na nyakati wanaojaribu kuwapa watoto wao ili kujibu kiu zao za nini kilitokea mpaka wao wako nje ya mfumo. Huyu Mzee anajua historia za kiislam tu na Sio za nchi ndio maana anakazana kutuaminisha waislam ndio walioleta uhuru. Na Mimi nimejibu kwa namna Ile Ile kuwa huyu ameathiriwa na ule ugonjwa ya jamii flan badala kupeleka watoto Shule Wamebaki kuwaadithia story walizofeli.Hivi kikichokuuma haswa nini, umemtaja Mkwawa ukapewa dozi mdogo, hukurudia tena. Ukamtaja Songea ukijidai iliiuwa vita ya kikabila, ukapewa dozi kidogo kuulizwa unamjuwa Abdurauf Songea? Ukabana kimya hukujibu.
Hapo umeambiwa watu wanaifahamu historia vilivyo na huna cha kuwafundisha wameenda mpaka ma vyuo vikuu ya nje huko, Unaijua na porojo kuwa eti "mimi kila miezi niko nje". Kuwa nne si tatizo, huko nne unaenda kufanya nini? Unaalikwa vyuo vikuu kuwasilisha mada zako? Kwa namna unavyNnashaka Hata kama corridor za chuo kikuu unazifahamu wacha kuwasilisha mada.
Afrika Kusini walipoua na kuwachoma moto Waafrika wenzao kwa kuwa "wanawachukulia kazi zao" nao walikuwa watu wa Pwani wasiopenda kazi?
Kitu usichokielewa ni usiku wa kiza. Katazame miji uliyoitaja yote ilivyoendelea na hata wewe ukahamia huko kwa kuwa ni wavivu? Au kuna fursa kwa kuwa wameweka mazingira ya uchumi kuwa sahali. Fikiri.
Kitali,Nnilitoka Kenya mwaka 1998 na kwa wakat ule nilikuwa nimekaa Kenya kwa miaka 8 so kilichotokea mwaka ule kulitokea vita. Watu wa pwan walitaka Watu wa bara warud bara wanadai Watu wa bara wamekuja pwan wamechukua kaz za Watu wa pwan so vijana wao hawapat kaz wakaunda kikundi chao cha kaya bombo wakaanzisha gasia. Sasa ukienda deep down hawa Watu na Watu wa tanga mjin na waswahili WA Zanzibar acha kidogo wapemba na wale Watu wa ujiji kigoma na Tabora mjin kidogo na Mtwara Lindi kidogo na hawa wenyeji wa pwan ni Aina moja ya watu. Hawapend kaz ngumu na wala hawana malengo makubwa. Na ni Watu ambao wamewekeza Sana midomon Sio kazin nimekaa Nnao nawajua vizur Sio Watu wa kuaminika na ukifanya nao kitu chochote jitahd uwe na mkataba wa sheria kabisa hawaaminiki. Niliishi Mombasa majengo king'oran