Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
- #101
Ndugu zangu,kufanya kipindi haimaanishi ndo ukweli hata mama tapeli wa tanga aliyelia mbele ya magu alikuwa anafanya vipindi ilhali tapeli!
Nimesafiri kwingi nikihadhiri na kuandika na kuandikwa katika journals za Marekani na Uingereza. Oxford University Press, Nairobi na New York wote wamenipa kazi na wamechapa kazi zangu mbili 2007 na 2011. Niko katika Dictionary of African Biography mradi wa Harvard uliojumuisha wasomi karibia 500 dunia nzima na limechapwa kamusi la volume 6 na mimi nimo humo. I am not bragging ila nataka ujue kuwa hili somo nalifahamu na si hayo tu niko katika Cambridge Journal of African History.
Sent using Jamii Forums mobile app