Miradi yote mikubwa iliyoanzishwa kwa pupa na Hayati Magufuli sioni hata mmoja utakaokuwa na ufanisi

Ndege hata mamako huyu nanunua! Moja imewasili juzi tu hapa.

Hiyo miradi itafeli sababu inaendeshwa na akili visoda!

Nitajie mradi mmoja tu wa selikali nje ya hii ya JPM unaoendeshwa kwa ufanisi?
Marehemu hasemwi vibaya lkn yule jamaa alikua anakurupuka sana matokeo yake anamtesa mama Sasa na madeni na hasara alizotuachia
 
1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema.

2. Madege:-
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya yametuingizia hasara ya mabilioni kama inavyoonekana hapa:-

View attachment 2953612
3. SGR: Hii ndiyo pasua kichwa kweli kweli. Imesababisha hasara ya mabilioni ya shilingi kama inavyoonekana hapo namba 2. Mpk sasa kipande cha Dar -Moro kinashindwa kuanza kufanya kazi kwasabb zifuatazo:-
a. Vichwa vilivyoletwa ni chakavu.
b. Spidi ya treni ni 160kmph, na umbali toka Dar mpk Moro ni km 300. Sasa kwa speed hiyo, treni ikienda bila kusimama itatumia saa 1 na dak 52 (sawa na masaa 2). Lkn kwa kuwa itakuwa inapakia na kushusha itatumia masaa 3 na kitu.

Sasa nani atapanda hiyo treni ? Ufanisi wake uko wapi?

4. Ujenzi wa makao makuu Dodoma.

Hivi Kuna kipya kimeongezeka ktk utoaji wa huduma kwa wananchi baada ya makao makuu kuhamia Dodoma. Faida gani imepatikana ambayo tungeikosa kama makao makuu yangerndelea kuwa Dar?. Ni uendawazimu tu.

Acha niishie hapa, msinichoshe mie!
Mnapambana na MAREHEMU, mlipambana naye akiwa hai akawashinda na Bado ANAWASHINDA AKIWA KABURINI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ununuzi wa ndege na kuhamia Dodoma ndiye miradi isiyokuwa na tija, SGR na bwawa la Nyerere ni miradi mizuri kama ingefanywa kwa utaratibu mzuri na ikapata watu sahihi wa ikasimamiwa vyema.
Asante mkuu, kila bidii inayotokana na taswira ya kiumbe hai huwa na maana kwa viumbe wengine ingalikuwa taswira hio ilikuwa binafsi lakini wanufaika hawaezi kosekana.
 
1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema.

2. Madege:-
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya yametuingizia hasara ya mabilioni kama inavyoonekana hapa:-

View attachment 2953612
3. SGR: Hii ndiyo pasua kichwa kweli kweli. Imesababisha hasara ya mabilioni ya shilingi kama inavyoonekana hapo namba 2. Mpk sasa kipande cha Dar -Moro kinashindwa kuanza kufanya kazi kwasabb zifuatazo:-
a. Vichwa vilivyoletwa ni chakavu.
b. Spidi ya treni ni 160kmph, na umbali toka Dar mpk Moro ni km 300. Sasa kwa speed hiyo, treni ikienda bila kusimama itatumia saa 1 na dak 52 (sawa na masaa 2). Lkn kwa kuwa itakuwa inapakia na kushusha itatumia masaa 3 na kitu.

Sasa nani atapanda hiyo treni ? Ufanisi wake uko wapi?

4. Ujenzi wa makao makuu Dodoma.

Hivi Kuna kipya kimeongezeka ktk utoaji wa huduma kwa wananchi baada ya makao makuu kuhamia Dodoma. Faida gani imepatikana ambayo tungeikosa kama makao makuu yangerndelea kuwa Dar?. Ni uendawazimu tu.

Acha niishie hapa, msinichoshe mie!
Kwenye umeme ungenyamaza kabisa,kipindi hiyo mwl nyerere haiwasha unakumbuka tulivyoteseka na mgao wa mpaka usiku wa manane?
 
1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema.

2. Madege:-
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya yametuingizia hasara ya mabilioni kama inavyoonekana hapa:-

View attachment 2953612
3. SGR: Hii ndiyo pasua kichwa kweli kweli. Imesababisha hasara ya mabilioni ya shilingi kama inavyoonekana hapo namba 2. Mpk sasa kipande cha Dar -Moro kinashindwa kuanza kufanya kazi kwasabb zifuatazo:-
a. Vichwa vilivyoletwa ni chakavu.
b. Spidi ya treni ni 160kmph, na umbali toka Dar mpk Moro ni km 300. Sasa kwa speed hiyo, treni ikienda bila kusimama itatumia saa 1 na dak 52 (sawa na masaa 2). Lkn kwa kuwa itakuwa inapakia na kushusha itatumia masaa 3 na kitu.

Sasa nani atapanda hiyo treni ? Ufanisi wake uko wapi?

4. Ujenzi wa makao makuu Dodoma.

Hivi Kuna kipya kimeongezeka ktk utoaji wa huduma kwa wananchi baada ya makao makuu kuhamia Dodoma. Faida gani imepatikana ambayo tungeikosa kama makao makuu yangerndelea kuwa Dar?. Ni uendawazimu tu.

Acha niishie hapa, msinichoshe mie!
Nchi hii wajinga ni wengi. Wewe mwandishi wa Uzi huu ni ishara ya kwamba nchi yetu wajinga Bado ni wengi Sana. Na kama ulizaliwa na wazazi basi ni hasara kwao na hautawasaidia kamwe kama umeshindwa kutambua umhimu wa miradi aliyoanzisha hayati Magufuli. Umeshindwa kutambua kwamba Shida ni hakuna Rais mwenye uwezo wa kusimamia kwasasa. Mimi naona wewe Bora ujifie tu na matapeli wenzako nchi ipone
 
Jenga hoja acha porojo. Hapa tunajadili ufanisi, hatuongelei Nia ya ujenzi.

Swali ni:-- je, miradi hii, pamoja na kutumia matrilioni ya shilingi, Inaleta tija gani?
 
Nchi hii wajinga ni wengi. Wewe mwandishi wa Uzi huu ni ishara ya kwamba nchi yetu wajinga Bado ni wengi Sana. Na kama ulizaliwa na wazazi basi ni hasara kwao na hautawasaidia kamwe kama umeshindwa kutambua umhimu wa miradi aliyoanzisha hayati Magufuli. Umeshindwa kutambua kwamba Shida ni hakuna Rais mwenye uwezo wa kusimamia kwasasa. Mimi naona wewe Bora ujifie tu na matapeli wenzako nchi ipone
Kama wewe ulivyokua bado mninga Kama sisi maana hapo hakuna Cha maana ulichoandika
 
Mimi nipeni TANOIL na TRC mwone kama tutaingia hasara tena.
Unaingiaje hasara kwenye biashara ya vituo vya mafuta?
Unaingiaje hasara kwenye reli?

Endeleeni kula mitaji ambayo serikali inawekeza kwenye hizo taasisi maana hamna hasara.

Ingekua ni biashara zenu binafsi sidhani kama mngeingia hasara.
 
Baba akifa kisha akaacha Mali kwenye mikono ya watoto wapumbavu,atafilisikia akiwa kaburini.
 
tattizo tunafanya wizi hatukumbuki kama kuna kufa yeye alitegemea hayo mapesa yote angeyatumia hadi lini?
Sio yeye tu wapo wapumbavu wengi tu nchi hii wakipata ka kitengo ka kuwawezesha kupata uhakika wa kula huwa wanajiona wamemaliza..... Jana nilienda pale chuo cha NIT Kuna jamaa yangu nilienda kumuona ambae tulisoma chuo Japo yeye kapata kitengo, sasa Kuna mwingine nae kaajiriwa kwa kumtangulia jamaa yangu japo na yeye tulisoma chuo kimoja, jamaa alikuwa ananiangalia kwa dharau sana kwa sababu anafahamu mimi sina kitengo hapa daressalam , sasa nikikumbuka ya Magufuri ya kuongezewa muda wa urais kutoka miaka mitano mpaka Saba huwa naishia kucheka😁😁😁😁
 
1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema.

2. Madege:-
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya yametuingizia hasara ya mabilioni kama inavyoonekana hapa:-

View attachment 2953612
3. SGR: Hii ndiyo pasua kichwa kweli kweli. Imesababisha hasara ya mabilioni ya shilingi kama inavyoonekana hapo namba 2. Mpk sasa kipande cha Dar -Moro kinashindwa kuanza kufanya kazi kwasabb zifuatazo:-
a. Vichwa vilivyoletwa ni chakavu.
b. Spidi ya treni ni 160kmph, na umbali toka Dar mpk Moro ni km 300. Sasa kwa speed hiyo, treni ikienda bila kusimama itatumia saa 1 na dak 52 (sawa na masaa 2). Lkn kwa kuwa itakuwa inapakia na kushusha itatumia masaa 3 na kitu.

Sasa nani atapanda hiyo treni ? Ufanisi wake uko wapi?

4. Ujenzi wa makao makuu Dodoma.

Hivi Kuna kipya kimeongezeka ktk utoaji wa huduma kwa wananchi baada ya makao makuu kuhamia Dodoma. Faida gani imepatikana ambayo tungeikosa kama makao makuu yangerndelea kuwa Dar?. Ni uendawazimu tu.

Acha niishie hapa, msinichoshe mie!
Utakuwa mpumbavu wa kiwango Cha juu sana kushangaza hasara ya ATCL wakati Kuna watu wanakata mitaa na dreamliner kila kukicha
 
Kuweni makini na matumizi yenu ya akili.

Mama yenu alikuwa na nafasi ya kukataa kila kitu kwakuwa aliowateua walipinga miradi yote tangu enzi za Chuma.

Mnataka tutoe maoni yetu ya kweli kabla hamjasajili vikundi?
Kukataa haiwezekani tena, bora waikamilishe tu
 
Sawa miradi yote haina tija,

Tuelimishe mbadala wa Bwawa ungekuwa nini? Gesi ambayo imeshauzwa?

Mbadala wa Ndege ungekuwa nini? Kuendelea kuitegemea Kenya airways na Ethiopia kwa safari za kimataifa za abiria na mizigo?

Mbadala wa reli ya kisasa ungekuwa nini? Malori? Meli au bajaji?

Mbadala wa stendi za mabasi ungekuwa nini? Mabasi yangepaki kwenye viwanja vya mpira?

Mbadala wa hospital za kanda mbadala ungekuwa nini? Wananchi watumie miti shamba kujitibu?

Mbadala wa flyover ungekuwa nini? Madaraja ya chini ya ardhi?

Mnapokosoa basi mje na mbadala
 
Back
Top Bottom