SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Nani aliyewalazimisha kuendelea na hiyo miradi? Walishikiwa Jambia?Kwa hasara izo hapo juu bila kukopa unadhani tutatoboa
hasara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani aliyewalazimisha kuendelea na hiyo miradi? Walishikiwa Jambia?Kwa hasara izo hapo juu bila kukopa unadhani tutatoboa
hasara
Marehemu hasemwi vibaya lkn yule jamaa alikua anakurupuka sana matokeo yake anamtesa mama Sasa na madeni na hasara alizotuachiaNdege hata mamako huyu nanunua! Moja imewasili juzi tu hapa.
Hiyo miradi itafeli sababu inaendeshwa na akili visoda!
Nitajie mradi mmoja tu wa selikali nje ya hii ya JPM unaoendeshwa kwa ufanisi?
Mnapambana na MAREHEMU, mlipambana naye akiwa hai akawashinda na Bado ANAWASHINDA AKIWA KABURINI1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema.
2. Madege:-
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya yametuingizia hasara ya mabilioni kama inavyoonekana hapa:-
View attachment 2953612
3. SGR: Hii ndiyo pasua kichwa kweli kweli. Imesababisha hasara ya mabilioni ya shilingi kama inavyoonekana hapo namba 2. Mpk sasa kipande cha Dar -Moro kinashindwa kuanza kufanya kazi kwasabb zifuatazo:-
a. Vichwa vilivyoletwa ni chakavu.
b. Spidi ya treni ni 160kmph, na umbali toka Dar mpk Moro ni km 300. Sasa kwa speed hiyo, treni ikienda bila kusimama itatumia saa 1 na dak 52 (sawa na masaa 2). Lkn kwa kuwa itakuwa inapakia na kushusha itatumia masaa 3 na kitu.
Sasa nani atapanda hiyo treni ? Ufanisi wake uko wapi?
4. Ujenzi wa makao makuu Dodoma.
Hivi Kuna kipya kimeongezeka ktk utoaji wa huduma kwa wananchi baada ya makao makuu kuhamia Dodoma. Faida gani imepatikana ambayo tungeikosa kama makao makuu yangerndelea kuwa Dar?. Ni uendawazimu tu.
Acha niishie hapa, msinichoshe mie!
Athiest wengi wametokea mazingira magumu hawajielewi 😀😀 tena wapumbavu..Badala ya kulaumu wazazi wao wanalaumu sehemu haziwahusuCCM wanashirikiana na viongozi wa dini kutawala.
tattizo tunafanya wizi hatukumbuki kama kuna kufa yeye alitegemea hayo mapesa yote angeyatumia hadi lini?Miradi ya upigaji... Alikuwa anakula 30% ya kila mradi aliokuwa anauanzisha..... Halafu akitoka hapo anaenda kugawa pesa mtaani huku akijifanya Mwema....baradhuliiiiiiiiiiiiiiiin aamiiiin
Leo viongozi waliouteuliwa wanaapishiwa wapi? Ni gharama kiasi gani zimetumika kuwasafirisha viongozi wa serikali kutoka Dom kuja Dar kwenye uapisho tu??kuhamia Dom namuunga mkono.
Asante mkuu, kila bidii inayotokana na taswira ya kiumbe hai huwa na maana kwa viumbe wengine ingalikuwa taswira hio ilikuwa binafsi lakini wanufaika hawaezi kosekana.Ununuzi wa ndege na kuhamia Dodoma ndiye miradi isiyokuwa na tija, SGR na bwawa la Nyerere ni miradi mizuri kama ingefanywa kwa utaratibu mzuri na ikapata watu sahihi wa ikasimamiwa vyema.
Kwenye umeme ungenyamaza kabisa,kipindi hiyo mwl nyerere haiwasha unakumbuka tulivyoteseka na mgao wa mpaka usiku wa manane?1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema.
2. Madege:-
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya yametuingizia hasara ya mabilioni kama inavyoonekana hapa:-
View attachment 2953612
3. SGR: Hii ndiyo pasua kichwa kweli kweli. Imesababisha hasara ya mabilioni ya shilingi kama inavyoonekana hapo namba 2. Mpk sasa kipande cha Dar -Moro kinashindwa kuanza kufanya kazi kwasabb zifuatazo:-
a. Vichwa vilivyoletwa ni chakavu.
b. Spidi ya treni ni 160kmph, na umbali toka Dar mpk Moro ni km 300. Sasa kwa speed hiyo, treni ikienda bila kusimama itatumia saa 1 na dak 52 (sawa na masaa 2). Lkn kwa kuwa itakuwa inapakia na kushusha itatumia masaa 3 na kitu.
Sasa nani atapanda hiyo treni ? Ufanisi wake uko wapi?
4. Ujenzi wa makao makuu Dodoma.
Hivi Kuna kipya kimeongezeka ktk utoaji wa huduma kwa wananchi baada ya makao makuu kuhamia Dodoma. Faida gani imepatikana ambayo tungeikosa kama makao makuu yangerndelea kuwa Dar?. Ni uendawazimu tu.
Acha niishie hapa, msinichoshe mie!
Hivi sasa wamezima hakuna uzalishaji. Bado unatesekea?Kwenye umeme ungenyamaza kabisa,kipindi hiyo mwl nyerere haiwasha unakumbuka tulivyoteseka na mgao wa mpaka usiku wa manane?
Nchi hii wajinga ni wengi. Wewe mwandishi wa Uzi huu ni ishara ya kwamba nchi yetu wajinga Bado ni wengi Sana. Na kama ulizaliwa na wazazi basi ni hasara kwao na hautawasaidia kamwe kama umeshindwa kutambua umhimu wa miradi aliyoanzisha hayati Magufuli. Umeshindwa kutambua kwamba Shida ni hakuna Rais mwenye uwezo wa kusimamia kwasasa. Mimi naona wewe Bora ujifie tu na matapeli wenzako nchi ipone1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema.
2. Madege:-
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya yametuingizia hasara ya mabilioni kama inavyoonekana hapa:-
View attachment 2953612
3. SGR: Hii ndiyo pasua kichwa kweli kweli. Imesababisha hasara ya mabilioni ya shilingi kama inavyoonekana hapo namba 2. Mpk sasa kipande cha Dar -Moro kinashindwa kuanza kufanya kazi kwasabb zifuatazo:-
a. Vichwa vilivyoletwa ni chakavu.
b. Spidi ya treni ni 160kmph, na umbali toka Dar mpk Moro ni km 300. Sasa kwa speed hiyo, treni ikienda bila kusimama itatumia saa 1 na dak 52 (sawa na masaa 2). Lkn kwa kuwa itakuwa inapakia na kushusha itatumia masaa 3 na kitu.
Sasa nani atapanda hiyo treni ? Ufanisi wake uko wapi?
4. Ujenzi wa makao makuu Dodoma.
Hivi Kuna kipya kimeongezeka ktk utoaji wa huduma kwa wananchi baada ya makao makuu kuhamia Dodoma. Faida gani imepatikana ambayo tungeikosa kama makao makuu yangerndelea kuwa Dar?. Ni uendawazimu tu.
Acha niishie hapa, msinichoshe mie!
Mama kajenga vituo cha afya kila wilaya hapa kwa fedha za uviko.Nitajie mradi mmoja tu wa selikali nje ya hii ya JPM unaoendeshwa kwa ufanisi?
Jenga hoja acha porojo. Hapa tunajadili ufanisi, hatuongelei Nia ya ujenzi.Nchi hii wajinga ni wengi. Wewe mwandishi wa Uzi huu ni ishara ya kwamba nchi yetu wajinga Bado ni wengi Sana. Na kama ulizaliwa na wazazi basi ni hasara kwao na hautawasaidia kamwe kama umeshindwa kutambua umhimu wa miradi aliyoanzisha hayati Magufuli. Umeshindwa kutambua kwamba Shida ni hakuna Rais mwenye uwezo wa kusimamia kwasasa. Mimi naona wewe Bora ujifie tu na matapeli wenzako nchi ipone
Kama wewe ulivyokua bado mninga Kama sisi maana hapo hakuna Cha maana ulichoandikaNchi hii wajinga ni wengi. Wewe mwandishi wa Uzi huu ni ishara ya kwamba nchi yetu wajinga Bado ni wengi Sana. Na kama ulizaliwa na wazazi basi ni hasara kwao na hautawasaidia kamwe kama umeshindwa kutambua umhimu wa miradi aliyoanzisha hayati Magufuli. Umeshindwa kutambua kwamba Shida ni hakuna Rais mwenye uwezo wa kusimamia kwasasa. Mimi naona wewe Bora ujifie tu na matapeli wenzako nchi ipone
Sio yeye tu wapo wapumbavu wengi tu nchi hii wakipata ka kitengo ka kuwawezesha kupata uhakika wa kula huwa wanajiona wamemaliza..... Jana nilienda pale chuo cha NIT Kuna jamaa yangu nilienda kumuona ambae tulisoma chuo Japo yeye kapata kitengo, sasa Kuna mwingine nae kaajiriwa kwa kumtangulia jamaa yangu japo na yeye tulisoma chuo kimoja, jamaa alikuwa ananiangalia kwa dharau sana kwa sababu anafahamu mimi sina kitengo hapa daressalam , sasa nikikumbuka ya Magufuri ya kuongezewa muda wa urais kutoka miaka mitano mpaka Saba huwa naishia kucheka😁😁😁😁tattizo tunafanya wizi hatukumbuki kama kuna kufa yeye alitegemea hayo mapesa yote angeyatumia hadi lini?
Utakuwa mpumbavu wa kiwango Cha juu sana kushangaza hasara ya ATCL wakati Kuna watu wanakata mitaa na dreamliner kila kukicha1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema.
2. Madege:-
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya yametuingizia hasara ya mabilioni kama inavyoonekana hapa:-
View attachment 2953612
3. SGR: Hii ndiyo pasua kichwa kweli kweli. Imesababisha hasara ya mabilioni ya shilingi kama inavyoonekana hapo namba 2. Mpk sasa kipande cha Dar -Moro kinashindwa kuanza kufanya kazi kwasabb zifuatazo:-
a. Vichwa vilivyoletwa ni chakavu.
b. Spidi ya treni ni 160kmph, na umbali toka Dar mpk Moro ni km 300. Sasa kwa speed hiyo, treni ikienda bila kusimama itatumia saa 1 na dak 52 (sawa na masaa 2). Lkn kwa kuwa itakuwa inapakia na kushusha itatumia masaa 3 na kitu.
Sasa nani atapanda hiyo treni ? Ufanisi wake uko wapi?
4. Ujenzi wa makao makuu Dodoma.
Hivi Kuna kipya kimeongezeka ktk utoaji wa huduma kwa wananchi baada ya makao makuu kuhamia Dodoma. Faida gani imepatikana ambayo tungeikosa kama makao makuu yangerndelea kuwa Dar?. Ni uendawazimu tu.
Acha niishie hapa, msinichoshe mie!
Kukataa haiwezekani tena, bora waikamilishe tuKuweni makini na matumizi yenu ya akili.
Mama yenu alikuwa na nafasi ya kukataa kila kitu kwakuwa aliowateua walipinga miradi yote tangu enzi za Chuma.
Mnataka tutoe maoni yetu ya kweli kabla hamjasajili vikundi?