std7
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,293
- 3,928
Hiyo ya Wamasai itaenda na mama milele.Mmesha jipromote, sasa mmeanza tena.
Utawala huu umefanya kitu gani chenye Ufanisi?
Kuangamiza Wamasai?
Kuuza Bandari?
Kukopa matrilioni ya fedha?
Teua Tengua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ya Wamasai itaenda na mama milele.Mmesha jipromote, sasa mmeanza tena.
Utawala huu umefanya kitu gani chenye Ufanisi?
Kuangamiza Wamasai?
Kuuza Bandari?
Kukopa matrilioni ya fedha?
Teua Tengua?
Viongozi wa dini ni Makada wa CCMCCM wanashirikiana na viongozi wa dini kutawala.
Ni beer gani unakunywa we ndugu?1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema.
2. Madege:-
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya yametuingizia hasara ya mabilioni kama inavyoonekana hapa:-
View attachment 2953612
3. SGR: Hii ndiyo pasua kichwa kweli kweli. Imesababisha hasara ya mabilioni ya shilingi kama inavyoonekana hapo namba 2. Mpk sasa kipande cha Dar -Moro kinashindwa kuanza kufanya kazi kwasabb zifuatazo:-
a. Vichwa vilivyoletwa ni chakavu.
b. Spidi ya treni ni 160kmph, na umbali toka Dar mpk Moro ni km 300. Sasa kwa speed hiyo, treni ikienda bila kusimama itatumia saa 1 na dak 52 (sawa na masaa 2). Lkn kwa kuwa itakuwa inapakia na kushusha itatumia masaa 3 na kitu.
Sasa nani atapanda hiyo treni ? Ufanisi wake uko wapi?
4. Ujenzi wa makao makuu Dodoma.
Hivi Kuna kipya kimeongezeka ktk utoaji wa huduma kwa wananchi baada ya makao makuu kuhamia Dodoma. Faida gani imepatikana ambayo tungeikosa kama makao makuu yangerndelea kuwa Dar?. Ni uendawazimu tu.
Acha niishie hapa, msinichoshe mie!
Yaani miradi hii ni kama vile tumechimba shimo la kufukia helaNi beer gani unakunywa we ndugu?
Hapo hujagusa Ile airport ya chato, CRDB ya chato, bomoa bomoa Kimara.
Bora amefanya imeonekana , kuliko ambao hawakufanya na hela wakahifadhi kwenye akaunti zao binafsi, huku wakihadaa watu kwa ajira za mishahara midogo.Jenga hoja acha porojo. Hapa tunajadili ufanisi, hatuongelei Nia ya ujenzi.
Swali ni:-- je, miradi hii, pamoja na kutumia matrilioni ya shilingi, Inaleta tija gani?
Hata hauoni aibu kuzungumza huu ujinga?Mama kajenga vituo cha afya kila wilaya hapa kwa fedha za uviko.
. Pia amemtua mama ndogo kichwani. Unasemaje juu ya haya?
Hawa watu wanaishi kwenye dunia yao ratio ya kukopa ya miaka mitatu ya Samia na miaka sita ya Magufuli.Hata hauoni aibu kuzungumza huu ujinga?
Hili daraja la Busisi ndiyo kimeo kweli kweli. Yaani mabilioni yametumika kujenga daraja linaloenda ukweni kwa jiwe tu??! Jiwe alikuwa mjinga sanaDaraja la busisi
Ungekuwa mfanyabiashara ndio ungejua thamani yake ni kiasi gani cha gharama za usafiri unaokoa per mileage kwenye mafuta na direct benefits za kibiashara kwenye maeneo mengine.Hili daraja la Busisi ndiyo kimeo kweli kweli. Yaani mabilioni yametumika kujenga daraja linaloenda ukweni kwa jiwe tu??! Jiwe alikuwa mjinga sana
Siku nyingine usipende kutumia kiungo kilichoumbwa kwa ajili ya kukalia ukakitumia kufikiria. Haya ndiyo madhara yake!1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema.
2. Madege:-
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya yametuingizia hasara ya mabilioni kama inavyoonekana hapa:-
View attachment 2953612
3. SGR: Hii ndiyo pasua kichwa kweli kweli. Imesababisha hasara ya mabilioni ya shilingi kama inavyoonekana hapo namba 2. Mpk sasa kipande cha Dar -Moro kinashindwa kuanza kufanya kazi kwasabb zifuatazo:-
a. Vichwa vilivyoletwa ni chakavu.
b. Spidi ya treni ni 160kmph, na umbali toka Dar mpk Moro ni km 300. Sasa kwa speed hiyo, treni ikienda bila kusimama itatumia saa 1 na dak 52 (sawa na masaa 2). Lkn kwa kuwa itakuwa inapakia na kushusha itatumia masaa 3 na kitu.
Sasa nani atapanda hiyo treni ? Ufanisi wake uko wapi?
4. Ujenzi wa makao makuu Dodoma.
Hivi Kuna kipya kimeongezeka ktk utoaji wa huduma kwa wananchi baada ya makao makuu kuhamia Dodoma. Faida gani imepatikana ambayo tungeikosa kama makao makuu yangerndelea kuwa Dar?. Ni uendawazimu tu.
Acha niishie hapa, msinichoshe mie!
Nadhani mjinga ni wewe. Kwa hiyo ulitaka pesa za hilo daraja mgawane machawa mkazurure ziara za dubai sweden mnunue saa za milioni 100 inayobaki mle kwa urefu wa kamba 😀Hili daraja la Busisi ndiyo kimeo kweli kweli. Yaani mabilioni yametumika kujenga daraja linaloenda ukweni kwa jiwe tu??! Jiwe alikuwa mjinga sana
Soma comments uone wenye akili walivyonielewa na kuzikubali hojaSiku nyingine usipende kutumia kiungo kilichoumbwa kwa ajili ya kukalia ukakitumia kufikiria. Haya ndiyo madhara yake!
Rubbish.1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema.
2. Madege:-
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya yametuingizia hasara ya mabilioni kama inavyoonekana hapa:-
View attachment 2953612
3. SGR: Hii ndiyo pasua kichwa kweli kweli. Imesababisha hasara ya mabilioni ya shilingi kama inavyoonekana hapo namba 2. Mpk sasa kipande cha Dar -Moro kinashindwa kuanza kufanya kazi kwasabb zifuatazo:-
a. Vichwa vilivyoletwa ni chakavu.
b. Spidi ya treni ni 160kmph, na umbali toka Dar mpk Moro ni km 300. Sasa kwa speed hiyo, treni ikienda bila kusimama itatumia saa 1 na dak 52 (sawa na masaa 2). Lkn kwa kuwa itakuwa inapakia na kushusha itatumia masaa 3 na kitu.
Sasa nani atapanda hiyo treni ? Ufanisi wake uko wapi?
4. Ujenzi wa makao makuu Dodoma.
Hivi Kuna kipya kimeongezeka ktk utoaji wa huduma kwa wananchi baada ya makao makuu kuhamia Dodoma. Faida gani imepatikana ambayo tungeikosa kama makao makuu yangerndelea kuwa Dar?. Ni uendawazimu tu.
Acha niishie hapa, msinichoshe mie!
It is rubbish to only those with mental disorderRubbish.
Kekundu kekundu🤣🤣🤣1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema.