Miradi yote mikubwa iliyoanzishwa kwa pupa na Hayati Magufuli sioni hata mmoja utakaokuwa na ufanisi

Mmesha jipromote, sasa mmeanza tena.

Utawala huu umefanya kitu gani chenye Ufanisi?

Kuangamiza Wamasai?

Kuuza Bandari?

Kukopa matrilioni ya fedha?

Teua Tengua?
Hiyo ya Wamasai itaenda na mama milele.
 
1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema.

2. Madege:-
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya yametuingizia hasara ya mabilioni kama inavyoonekana hapa:-

View attachment 2953612
3. SGR: Hii ndiyo pasua kichwa kweli kweli. Imesababisha hasara ya mabilioni ya shilingi kama inavyoonekana hapo namba 2. Mpk sasa kipande cha Dar -Moro kinashindwa kuanza kufanya kazi kwasabb zifuatazo:-
a. Vichwa vilivyoletwa ni chakavu.
b. Spidi ya treni ni 160kmph, na umbali toka Dar mpk Moro ni km 300. Sasa kwa speed hiyo, treni ikienda bila kusimama itatumia saa 1 na dak 52 (sawa na masaa 2). Lkn kwa kuwa itakuwa inapakia na kushusha itatumia masaa 3 na kitu.

Sasa nani atapanda hiyo treni ? Ufanisi wake uko wapi?

4. Ujenzi wa makao makuu Dodoma.

Hivi Kuna kipya kimeongezeka ktk utoaji wa huduma kwa wananchi baada ya makao makuu kuhamia Dodoma. Faida gani imepatikana ambayo tungeikosa kama makao makuu yangerndelea kuwa Dar?. Ni uendawazimu tu.

Acha niishie hapa, msinichoshe mie!
Ni beer gani unakunywa we ndugu?
Hapo hujagusa Ile airport ya chato, CRDB ya chato, bomoa bomoa Kimara.
 
Yaani miradi hii ni kama vile tumechimba shimo la kufukia hela
 
Jenga hoja acha porojo. Hapa tunajadili ufanisi, hatuongelei Nia ya ujenzi.

Swali ni:-- je, miradi hii, pamoja na kutumia matrilioni ya shilingi, Inaleta tija gani?
Bora amefanya imeonekana , kuliko ambao hawakufanya na hela wakahifadhi kwenye akaunti zao binafsi, huku wakihadaa watu kwa ajira za mishahara midogo.

Siku zote miradi mikubwa faida yake ni ya muda mrefu, Huwezi kumlaumu Magufuri kama walioachiwa waendeleze wanahujumu hio miradi,shida kubwa ya viongozi wa Kiafrika ni Ufisadi , poor Creativity na Efficiency ndogo na haya yote huchangizwa na poor constitutional framework.
 
Magufuli anahusika vipi Unafahamu vituo vya train Moshi na Arusha vilikuwa vinaanza kugeuka machaka ya kwenda kugongea machangudoa usiku.

Mombo watu walikuwa washajenga kwenye njia ya reli, bila ya Magufuli miaka 10 ijayo serikali ingekuwa inafikiria kupeleka reli mikoa ya kaskizini ingebidi watafute njia mpya kwa gharama ya matrillioni.

Ndege ATCL walikuwa wanaenda kukodisha ATR models ambazo ni popular East Europe, tena wanakodisha ndege zenye miaka zaidi ya 15 mpaka 20. Maana yake hizo ndege ni thamani yake ni residual value inaweza kuwa hata 10% ya bei ilipokuwa mpya ukiitaka.

Wao ATCL wanakodisha hizo ndege ambazo destiny zake ni kuelekea scrap metal bila ya wao kuzikodi kwa kuingia mikataba ya hire purchase ya kununulia Boeing mpya, liko moja lilianguka Kigoma kwa miujiza hakuna mtu aliepoteza maisha. Salaleh lakini hii nchi ina watu wazimu huko serikalini.

Tanoil umesoma report ya CAG ya mwaka jana ni wazimu wananunua mafuta kwa bei kubwa wanauza kwa bei ndogo.

Ni hivi hiyo nchi inachezewa sana ndio maana watu wanapenda raisi aina ya Samia. Kufeli kwa hizo taasisi ni management incompetencies nothing else na serikali kuchukua ndege za ATCL hovyo that is not to dismiss uwezo mdogo wa bwana Matindi.

Kwa nchi zilizoendelea ukilinganisha na uongozi wa Magufuli ule mnaoita udikteta you ain’t seen nothing yet, Magufuli was soft hata ukilinganisha na serikali zinazoongozwa na vyama vya liberal parties kwa nchi zilizoendelea. Shida ni akili za watanzania hazipo kimaendeleo many people don’t understand their boundaries in life.

Tanzania bila ya kuja mtu wa kubadili fikra za watu wake, maendeleo ya haraka sahau. Hakuna nchi inayoweza endelea kwa fikra za watu Tanzania never ever. Binafsi naona Magufuli alikuwa bado soft.
 
Bora hiyo imeanzishwa ni vile tu imekosa usimamizi mzuri, vipi awamu hii imeanzisha nini? Ulambaji sukari? Alafu si kweli miradi ya awamu ya 5 haifanyi vizuri mf. Daraja la Nyerere, Daraja la Tanzanite, Magufuli bus terminal, Kijazi interchange, terminal 3 airport, MV Magufuli hapa kazi tu (Mwanza) Daraja la busisi n.k yote hiyo inafanya vyema sana.
 
Si bora na yeye amefanya kitu hao wengine wamefanya nini?
 
Hata hauoni aibu kuzungumza huu ujinga?
Hawa watu wanaishi kwenye dunia yao ratio ya kukopa ya miaka mitatu ya Samia na miaka sita ya Magufuli.

Samia 2: Magufuli 1

Hela ya Samia ilipoenda god knows.

Huko TPA mwenzake kaondoka keshafanya kazi kubwa kuongeza kina cha kuleta meli kubwa na Cranes za kisasa. Yeye kaenda kuwapa DP World waje kunufaika na huo uwekezaji wa awali kwa miaka 30.

Ndio DP world wanaenda kuongeza tija bandarini kwa sababu strategically wapo vizuri huo uwekezaji wao ni kuboresha logistic tells you wapo vizuri kwenye hiyo shughuli lakini kazi kubwa ilishafanywa na Magufuli. DPW watupe uzoefu tu na uwekezaji wao wameenda kupewa bandari miaka 30 haki ya mungu.
 
Daraja la busisi
Hili daraja la Busisi ndiyo kimeo kweli kweli. Yaani mabilioni yametumika kujenga daraja linaloenda ukweni kwa jiwe tu??! Jiwe alikuwa mjinga sana
 
Ungekuwa mfanyabiashara ndio ungejua thamani yake ni kiasi gani cha gharama za usafiri unaokoa per mileage kwenye mafuta na direct benefits za kibiashara kwenye maeneo mengine.

Bado umuhimu wake as a ‘public good’ kwa jamii ya watu wanaoishi maeneo hayo tunaambiwa huo mto kila mwaka lazima uuwe watu si chini ya 10.
 
1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema.

2. Madege:-
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya yametuingizia hasara ya mabilioni kama inavyoonekana hapa:-

View attachment 2953612
3. SGR: Hii ndiyo pasua kichwa kweli kweli. Imesababisha hasara ya mabilioni ya shilingi kama inavyoonekana hapo namba 2. Mpk sasa kipande cha Dar -Moro kinashindwa kuanza kufanya kazi kwasabb zifuatazo:-
a. Vichwa vilivyoletwa ni chakavu.
b. Spidi ya treni ni 160kmph, na umbali toka Dar mpk Moro ni km 300. Sasa kwa speed hiyo, treni ikienda bila kusimama itatumia saa 1 na dak 52 (sawa na masaa 2). Lkn kwa kuwa itakuwa inapakia na kushusha itatumia masaa 3 na kitu.

Sasa nani atapanda hiyo treni ? Ufanisi wake uko wapi?

4. Ujenzi wa makao makuu Dodoma.

Hivi Kuna kipya kimeongezeka ktk utoaji wa huduma kwa wananchi baada ya makao makuu kuhamia Dodoma. Faida gani imepatikana ambayo tungeikosa kama makao makuu yangerndelea kuwa Dar?. Ni uendawazimu tu.

Acha niishie hapa, msinichoshe mie!
Siku nyingine usipende kutumia kiungo kilichoumbwa kwa ajili ya kukalia ukakitumia kufikiria. Haya ndiyo madhara yake!
 
Hili daraja la Busisi ndiyo kimeo kweli kweli. Yaani mabilioni yametumika kujenga daraja linaloenda ukweni kwa jiwe tu??! Jiwe alikuwa mjinga sana
Nadhani mjinga ni wewe. Kwa hiyo ulitaka pesa za hilo daraja mgawane machawa mkazurure ziara za dubai sweden mnunue saa za milioni 100 inayobaki mle kwa urefu wa kamba 😀
 
Siku nyingine usipende kutumia kiungo kilichoumbwa kwa ajili ya kukalia ukakitumia kufikiria. Haya ndiyo madhara yake!
Soma comments uone wenye akili walivyonielewa na kuzikubali hoja
 
1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema.

2. Madege:-
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya yametuingizia hasara ya mabilioni kama inavyoonekana hapa:-

View attachment 2953612
3. SGR: Hii ndiyo pasua kichwa kweli kweli. Imesababisha hasara ya mabilioni ya shilingi kama inavyoonekana hapo namba 2. Mpk sasa kipande cha Dar -Moro kinashindwa kuanza kufanya kazi kwasabb zifuatazo:-
a. Vichwa vilivyoletwa ni chakavu.
b. Spidi ya treni ni 160kmph, na umbali toka Dar mpk Moro ni km 300. Sasa kwa speed hiyo, treni ikienda bila kusimama itatumia saa 1 na dak 52 (sawa na masaa 2). Lkn kwa kuwa itakuwa inapakia na kushusha itatumia masaa 3 na kitu.

Sasa nani atapanda hiyo treni ? Ufanisi wake uko wapi?

4. Ujenzi wa makao makuu Dodoma.

Hivi Kuna kipya kimeongezeka ktk utoaji wa huduma kwa wananchi baada ya makao makuu kuhamia Dodoma. Faida gani imepatikana ambayo tungeikosa kama makao makuu yangerndelea kuwa Dar?. Ni uendawazimu tu.

Acha niishie hapa, msinichoshe mie!
Rubbish.
 
IMG_7346.jpeg

IMG_7347.jpeg

IMG_7348.jpeg

Aina ya ndege za ATCL kabla ya Magufuli emergency landing tairi chalii, bawa upside down.

Thanks god kwa umahiri wa rubani hii ajali akupoteza mtu maisha. Mmeletewa ndege za kisasa makelele wakati huko serikalini kutwa wanajazana kwenda nazo nje ya nchi chezea Dreamliners.
 
1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema.

2. Madege:-
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya yametuingizia hasara ya mabilioni kama inavyoonekana hapa:-

View attachment 2953612
3. SGR: Hii ndiyo pasua kichwa kweli kweli. Imesababisha hasara ya mabilioni ya shilingi kama inavyoonekana hapo namba 2. Mpk sasa kipande cha Dar -Moro kinashindwa kuanza kufanya kazi kwasabb zifuatazo:-
a. Vichwa vilivyoletwa ni chakavu.
b. Spidi ya treni ni 160kmph, na umbali toka Dar mpk Moro ni km 300. Sasa kwa speed hiyo, treni ikienda bila kusimama itatumia saa 1 na dak 52 (sawa na masaa 2). Lkn kwa kuwa itakuwa inapakia na kushusha itatumia masaa 3 na kitu.

Sasa nani atapanda hiyo treni ? Ufanisi wake uko wapi?

4. Ujenzi wa makao makuu Dodoma.

Hivi Kuna kipya kimeongezeka ktk utoaji wa huduma kwa wananchi baada ya makao makuu kuhamia Dodoma. Faida gani imepatikana ambayo tungeikosa kama makao makuu yangerndelea kuwa Dar?. Ni uendawazimu tu.

Acha niishie hapa, msinichoshe mie!
Kekundu kekundu🤣🤣🤣
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Back
Top Bottom