Mishahara imechelewa kutoka June 2024, watumishi wa Umma wana maisha magumu sana

Status
Not open for further replies.
Mbona sisi huku privatw hatuulizani?
Kila mmoja anajipatia msg zake kwenye simu yake.
 
Watu wanakopa Hadi ATM card zinawekwa rehani hivyo huduma za mobile bank zinakuwa blocked Hela ikiingia lazima ujipeleke mwenyew machinjioni baada ya kupewa taarifa na watu ndio upewe chako. Tembea uyaone so sad poor civil severnts
Kumbe naafuu kwa sisi wa binafsi🤗.Basi hamieni huku.
 
Hakuna watu wa hovyo kama watumishi wa UUMA. lakini kwa upande mwingine ukilianzisha wanakupoteza..... mpaka ukombozi utoke kuleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hii Dunia inashangaza sana. Kwa mfano mshahara ukitoka tu utasikia Mwashambwa anamsifia mama Samia, utamsikia MAMA SAMIA ANAWAJALI SANA WATUMISHI AMEWAPA MISHAHARA YAO. TUNAMPONGEZA MAMA SAMIA AMETOA PESA
 
Wivu unakusumbua,
 
Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma
Hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka.

Hili ni tatizo ,na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni.
Wakanunue nini wakati wafanyabishara wamegoma wacha serikali ikae na hela zake huko uliko. Mgome na nanyi wa mabasi pia si mmegeuza nchi hii yenu pekee yenu na ninyi ndio muhimu. Tulidishe maduka ya mitaa, vijiji na kitongoji
 
Kuwekeza sio kupata
 
Sasa kila mtu akifanya hivyo, nani atakua mnunuzi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumekuchaaaaa!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…