ILLUMINATI RUMI
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 323
- 327
Imeniuma sana nimeenda benki nimekuta hola,nampigia jamaa huko wizarani anasema yupo kwenye kikao natamani kuhamia tamisemi,hii sio mara ya kwanza kutokea wenzetu wanatangulia kupata.Nimesikia kwa watumishi wa serikali kuu bado.
Wewe ni miongoni mwa baadhi ya waliopata kama hujapata itabaki kuwa storiHata NMB baadhi wamepata wengine bado mpaka Sasa hivi sijui shida ni nini
Kila bank wameshapataa mkuu nenda katoe mahelaa hayooWewe ni miongoni mwa baadhi ya waliopata kama hujapata itabaki kuwa stori
Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
Ushapata tayari 😅😅😅🤣Wewe ni miongoni mwa baadhi ya waliopata kama hujapata itabaki kuwa stori
Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
Kwako imeingia?Kila bank wameshapataa mkuu nenda katoe mahelaa hayoo
Serikali kuu bado labda kesho,oya siku ya leo imepita bila kupata mshahara
naona serikali imetusahau watumishi wake
Kesho saa sita kamili kila mmoja atakuwa amepataoya siku ya leo imepita bila kupata mshahara
naona serikali imetusahau watumishi wake
Wengine mpaka sasa mishahara bado.inaonekana serikali haina hela ya kulipa watumishi kwa mkupuo hali ni mbaya
Na wa mashirika pia.Nimesikia kwa watumishi wa serikali kuu bado.
Leo nako bado DahMwalimu Kalokola, huku akishushia kangala la mkopo akiwa na kishikwambi kapwani. Mwalimu huyu anasema walimu wana maisha magumu sana.
Mshahara ukichelewa kidogo tu na mikopo inaongezeka.
Walimu wengi walitarajia mishahara kutoka Jumamosi tar 21 lakini haijatoka.
Huenda ikatoka kesho tar 23. Lakini walimu wengi hawana kitu. Hivyo kesho watarundikana kwanza benki za NMB kuhakikisha wanatoa pesa kwanza ili walipe madeni na kuacha nyumba zao ziko salama. Hii itasababisha wasiende kufundisha kwanza.
Hii ya safari hii Kali!Leo nako bado Dah