Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

Nafurahi kuitwa hivyo maana ni Muda sana sijaitwa kijana! πŸ˜…πŸ˜…
Shukrani sana imenifanya nijisikie vizuri πŸ˜…πŸ˜…

Ila Huwezi kulia kila sehemu huku unavunja sheria na kanunia hio haikubaliki!
watu walipwe hela zao ndo uongelee kuheshimu sheria
 
me sipo kwa kaisarii jamaa angu nawasaidia waalimu hali mbayaa
Ooh Sawa Sasa walitakiwa wafate njia za kuomba ikiwezekana wafanye mgomo ila najua Wengi ni keyboard warrior Hawawezi kuthubutu kufnya hivyo
 
Ndio muonje kitu ambacho sekta binafsi huwa wanatia. Kule kuna muda hadi mwezi unavuka tena na siku 10 mbele.
Hahaaaaa ! Kwa kanjibai mshahara ni tarehe 40 ,na hapo una bahati [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] hujakatwa makato kwa kusingiziwa makosa au utoro
Ila wala hatulii [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2957][emoji2957]
Watumishi wa umma waache kudeka
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Your browser is not able to display this video.
 
Hiki ni kisingizio tu. Mfumo ungekuwa na shida, wafanyakaz wote wasingelipwa. Kwann kalipa wanajeshi kama shida ni mfumo? Wanajeshi wanapokelea dirishan mishahara?
 
Sema watumishi tutafute vyanzo vya mapato aisee tutakuja kudhalilika.
Sasa mkuu huo muda wa kuhudumia vyanzo vingine vya mapato utapata wapi kama siyo kumwibia mwajiri? halafu wafanyakazi mkikamata fursa zote hawa ambao hawana ajira wafanye nini? ni muhimu kugawana majukumu na riziki pia.......mfanyakazi afanye kazi, mfanya biashara afanye biashara, mkulima afanye kilimo nk.​
 
Wewe kama ni teacher na ungependa kuingiza extra income, njoo pm nikupe mchongo, Kwa siku unauwezo wa kuingiza 10000/= na kuendelea. Furusa zipo tatizo mmepewa vishikwambi Kila wakati mpo Facebook.
 
Wewe kama ni teacher na ungependa kuingiza extra income, njoo pm nikupe mchongo, Kwa siku unauwezo wa kuingiza 10000/= na kuendelea. Furusa zipo tatizo mmepewa vishikwambi Kila wakati mpo Facebook.
Maticha wengine huwa wanaingia na hivyo vishkwambi kwenye mabanda ya bia wanatamba navyo kwamba eti ni laki 8.
 
Upo sahihi, Customer Care ni pande zote mbili, mtumishi ana haki ya kupewa customer care nzuri na muajiri wake, mfano alipwe stahiki zake kama mshahara, malipo ya likizo, etc kwa wakati, na kama ikitokea tatizo apewe taarifa mapema. Lakini utakuwa Mtumishi wa umma Kuna baadhi Yao Toka aajiriwe hajawi kulipa pesa ya likizo, na hata waliposema mwezi JULAI mshahara mpya, hawakuongeza bado hawakutoa taarifa mpaka zilipopigwa kelele mitandaoni ndio taarifa ikatoka, ila mtumishi huyo huyo asipotoa HUDUMA nzuri kwa raia kelele zitapigwa nchi nzima, Why double standard??
 
Ni masikitiko.masuala yote ya kiutumish ethically mtumish hupaswi kuja huku .lazima uwe na siri.
 
This post should be in laminated room
 
Ni masikitiko.masuala yote ya kiutumish ethically mtumish hupaswi kuja huku .lazima uwe na siri.
Hiyo Siri haina mipaka? Kuna mtu kaweka nyaraka za serikali hapa? Mbona hiyo siri haikusemwa wakat halmashauri ilipotoa press release ya kumtaka kiongozi wa CWT arudi kituo chake cha kazi?

Hakuna Siri kwenye kushindwa kulipa mishahara.
 
Wewe kama ni teacher na ungependa kuingiza extra income, njoo pm nikupe mchongo, Kwa siku unauwezo wa kuingiza 10000/= na kuendelea. Furusa zipo tatizo mmepewa vishikwambi Kila wakati mpo Facebook.
Sawa furusa..
 
Wewe kama ni teacher na ungependa kuingiza extra income, njoo pm nikupe mchongo, Kwa siku unauwezo wa kuingiza 10000/= na kuendelea. Furusa zipo tatizo mmepewa vishikwambi Kila wakati mpo Facebook.
Kama naona watu wanavyoenda kugeuzwa fursa

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…