rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
watu walipwe hela zao ndo uongelee kuheshimu sheriaNafurahi kuitwa hivyo maana ni Muda sana sijaitwa kijana! π π
Shukrani sana imenifanya nijisikie vizuri π π
Ila Huwezi kulia kila sehemu huku unavunja sheria na kanunia hio haikubaliki!