mhuri25
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 2,780
- 3,733
Mwamba Acha aiseehKwa taarifa za chini chini mshahara ni ijumaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwamba Acha aiseehKwa taarifa za chini chini mshahara ni ijumaa
Nilidhani huenda isiwe kweli, itapendeza endapo mseleleko utakuwa umefanyiwa kazi.Ambaye Hana waleti akanunue, kitu mselekeko. Source: hr wa kdc
Ijumaa gani wakati watu wanakula bia toka janaKwa taarifa za chini chini mshahara ni ijumaa
Hahaha kwahyo unamaanisha Mods wabadilishe Heading isomeke " SPECIAL UZI KWA WANAOSUBIRIA MISHAHARA"[emoji1787] ikipita J5 bilabila Tunaweka kambi hapa
Kwani mshahara haupatikani kwa kufanya kazi?Tanzania ni tajiri, fanyeni kazi msisubirie mshahara
Nasemaje, chapeni kazi [emoji16]Kwani mshahara haupatikani kwa kufanya kazi?
Mmmh [emoji477] hii benki ganiIjumaa gani wakati watu wanakula bia toka jana
Mpaka kesho kutwa kaeni kaa kutulia kama mnapokea mawaidhaimoo CRDB hawana mbambamba 😆😆😆
Nmb ni unyama wameweka mpunga aiseeimoo CRDB hawana mbambamba 😆😆😆
Kwani bank gani umesikia tayari? Ngoma mpaka keshokutwa. Kunywa mtori kwanza nyama utazikuta chiniNMB badoo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilijua tuu kitawaka humu leoo 😀 😀 😀 😀 😀
Huu uzi tuunalianzisha tarehe 22 hadi SMS afu tunatulia kaka[emoji2]Hahaha kwahyo unamaanisha Mods wabadilishe Heading isomeke " SPECIAL UZI KWA WANAOSUBIRIA MISHAHARA"