Mishahara kuchelewa, kipimo kingine cha uwezo wa Rais Samia

MKUU kweli watumishi wote wakifuata ushauri wako ,je tutakua na ofis za umma zilizo imala kweli,

Nafikili waboreshewe vipato vyao na wapewe chao mapema itasaidia,
Ajira haziwezi kuwa wazi na Kama itatokea hivyo jua hata mshahara utakuwa mnono zaidi na heshima itakuwepo kwa watumishi maana ajira itakuwa inamtaka mtu zaidi maana wapi wachache.. we angalia hata sahivi tu zikitangazwa ajira watu wanaohitajika ni wachache tu ila grupu linaloenda Sasa!.. halafu Mimi sio wakwanza kusema hivi mbona hata serikali yenu inawaambia mjiajili!!.
 
hujui kitu bro tuliza mshono,watu wanapewa haki zao mwezi huu walizozikosa kwa miaka sita ya bwana hamnazo!!
 
MKUU nilichokuuliza na unachojibu tofauti sijakuelewa
 
ndugu zangu mtanikumbuka
 
Kati ya vitu JPM alifanikiwa sana ni kuweka predictability na consistency katika utawala wake, na kwake suala la mishahara ya wafanyakazi hakucheza nalo. Sikutegemea kabisa kama hili la mshahara lingeanza kuchezewa mapema hivi.
Huyu magufuli wenu hatutaki hata kumsikia.
Mshenzi sana yule muuaji.
 
Ni bora ya Samia mchelewesha mishahara kuliko shetani aliyekuwa anawaisha mishahara ambaye ukila mshahara hujui kesho yake kama utakula mshahara tena.
 
Wala sio kigezo sahihi hiki. Umesahau kuwa huu ni mwezi wa mwisho wa mwaka wa fedha? Kuna stocktaking hapa na pale na hivyo lazima malipo yachelewe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…