Misri, Jordan na Syria waipe muda (ultimatum) Israel kuacha misaada iingie Gaza wakati watu wanaanza kufa kwa njaa na kiu. Wavunje mikataba baina yao

Simba wa Kabola la Yuda haha
Siri yangu
1698305799027.jpg
 
Kiubinadamu wakati umefika wa kuacha kufikiria waisrael wangapi walikufa wakati wa shambulio la Hamas na wapalestina wangapi wameshakufa tangu Israel ianze kulipiza kisasi.

Au majengo mangapi yamegeuzwa kifusi.

Kinachotakiwa sasa ni kufikiria watu wanaokufa njaa na kiu kwa kunyimwa chakula na maji kwa makusudi.
Maji, umeme na chakula vimezuiwa kuingia Gaza huku watu milioni 2.3 wanavihitaji haraka.

Ni wajibu wa kibinadamu kufikishwa mahitaji hayo haraka. Watetezi wakubwa ni wale wanaopakana na Israel na maeneo ya wapalestina.

Upo umuhimu wa kuikumbusha Israel inavyovunja haki za kibinadamu na kuipa kisogo mikataba walioingia pamoja nao. Pamoja na ukumbusho huo waipe Israel masaa 24 kufungua mipaka bila mashariti ili vyakula na maji na mafuta viwafikie watu ambao wameanza kufa kwa kuishiwa na vitu hivyo.

Kama ikiendelea kuleta ngonjera na kukazia kiburi chake waweke wazi kuwa baada ya muda huo wataacha kulinda mipaka hiyo na watakaopenda kuvuka kupeleka misaada watakuwa huru kufanya hivyo.

Si akili nzuri wala ubinadamu kumuachia mtu afe kwa kukosa chakula na maji wakati vitu hivyo vipo isipokuwa ananyimwa tu.

Nchi hizi zijifunze jinsi nchi za ulaya na Marekani zilivyolalamika na kuilaumu Urusi kuzuia ngano mpaka ikabidi waingie mkataba wa usafirishaji wa nafaka.

Walifanya hivyo kwa kuhofia madhara ya njaa kwenye nchi zao.Kwanini sasa wanaiunga mkono Israel iwanyime chakula na maji wapalestina wa Gaza. Bila kutekeleza wajibu wao wasitegemee akina Biden na Sunak na wenzao kuwatetea wapalestina.

Tarehe 7/10 mlishangilia sana hamkuona haya yanakuja.

Endeleeni kulialia huku mmebana marinda.

Short sighted people.

NO MERCY 🖕🏿
 
Jua jammbo moja kubwa!
80% Budget jeshi Misri ni USA, 70% Pesa ya Jeshi Jordan ni USA!

Na USA anamuunga mkono Israeli kwa 100% Ndo maana akaenda Tel Aviv!

Ukiwa porini tafuta simba awe rafiki yako ya Yaani USA! Misri, Jordan Siria kw Israeli ni Swala tu!
 
Jua jambo moja kubwa!
80% Budget jeshi Misri ni USA, 70% Pesa ya Jeshi Jordan ni USA!

Na USA anamuunga mkono Israeli kwa 100% Ndo maana Biden akaenda Tel Aviv!

Ukiwa porini tafuta Simba awe rafiki yako ya Yaani USA! Misri, Jordan Siria kwa Israeli ni kama Swala tu kwa Israeli!
 
Kiubinadamu wakati umefika wa kuacha kufikiria waisrael wangapi walikufa wakati wa shambulio la Hamas na wapalestina wangapi wameshakufa tangu Israel ianze kulipiza kisasi.

Au majengo mangapi yamegeuzwa kifusi.

Kinachotakiwa sasa ni kufikiria watu wanaokufa njaa na kiu kwa kunyimwa chakula na maji kwa makusudi.
Maji, umeme na chakula vimezuiwa kuingia Gaza huku watu milioni 2.3 wanavihitaji haraka.

Ni wajibu wa kibinadamu kufikishwa mahitaji hayo haraka. Watetezi wakubwa ni wale wanaopakana na Israel na maeneo ya wapalestina.

Upo umuhimu wa kuikumbusha Israel inavyovunja haki za kibinadamu na kuipa kisogo mikataba walioingia pamoja nao. Pamoja na ukumbusho huo waipe Israel masaa 24 kufungua mipaka bila mashariti ili vyakula na maji na mafuta viwafikie watu ambao wameanza kufa kwa kuishiwa na vitu hivyo.

Kama ikiendelea kuleta ngonjera na kukazia kiburi chake waweke wazi kuwa baada ya muda huo wataacha kulinda mipaka hiyo na watakaopenda kuvuka kupeleka misaada watakuwa huru kufanya hivyo.

Si akili nzuri wala ubinadamu kumuachia mtu afe kwa kukosa chakula na maji wakati vitu hivyo vipo isipokuwa ananyimwa tu.

Nchi hizi zijifunze jinsi nchi za ulaya na Marekani zilivyolalamika na kuilaumu Urusi kuzuia ngano mpaka ikabidi waingie mkataba wa usafirishaji wa nafaka.

Walifanya hivyo kwa kuhofia madhara ya njaa kwenye nchi zao.Kwanini sasa wanaiunga mkono Israel iwanyime chakula na maji wapalestina wa Gaza. Bila kutekeleza wajibu wao wasitegemee akina Biden na Sunak na wenzao kuwatetea wapalestina.

Huyo ni terror bred future terrorist. Yafe tuu.

Mliyaanzisha na kujitakia wenyewe.

NO MERCY 🖕🏿
 
Waliokufa Israel 1400 dhidi ya waliokwishakufa 6570 Palestina.Jee haijatoshja hiyo.Wanataka waendelee kuuwa wangapi baada ya hapo.
Yumkini bado saana. Ndo wanataka kuanza. Ukitumia sheria ya jino kwa jino na jicho kwa jicho haifai ie. unalinganisha Eti 1,400 vs 6,570 (unverifiable figures) halafu usilinganishe figures bali linganisha Thamani(Value) huwezi kuua daktari mmoja, mwalimu mmoja na Mhandisi mmoja (jumla 3)then ukalinganisha na kuua vibaka 3. Ni vyema kutumia njia ya kumuondoa adui dead or alive. Israeli alitoa 24hrs ili waungwana wajiondokee walau kwa muda waende Gaza kusini kumpisha Daudi amshughulikie Goliath. Wenye utii waliondoka. Wakaidi sasa wanafaidi siku ya Iddi.
 
I love this comment
 
Waliokufa Israel 1400 dhidi ya waliokwishakufa 6570 Palestina.Jee haijatoshja hiyo.Wanataka waendelee kuuwa wangapi baada ya hapo.
Kwani walivyoshtukiza kuwashambulia waisrael kulikuwa na makubaliano ya kuua wangapi?Si uislam ni dini ya pili hapo Israel vipi tena mnawafanyia mauaji ya kushtukiza ndugu zenu?
 
Mkuu uwanja wa vita sio uwanja wa mkapa. Ni kweli kabisa Siege ina sheria zake pale vita inavyopigwa lakini kaa ukijua kuwa Siege ni moja ya successfully way kwenye battle field regardless na effects zake.

Kwenye means and methods of warfare Jeshi lenye hutumia akili nyingi hutumia Siege kutekeleza adhma yake

Pia kuna kitu kinaitwa aid and abet, ukifanya hayo katika vita iwe direct au indirect, my brother una lose protection, kubali kataa asilimia kubwa ya wagaza wanaunga mkono Hamas yaani wanasapoti Israel kutoweka katika uso wa Dunia, kwa mantiki hiyo SIEGE is the best option ever kwa wapuuzi walioichokoza Israel [emoji1134].
 
Waliokufa Israel 1400 dhidi ya waliokwishakufa 6570 Palestina.Jee haijatoshja hiyo.Wanataka waendelee kuuwa wangapi baada ya hapo.

Lengo la Israeli sio mashindano ya vifo kwamba wamekufa wapalestina wangapi Vs Waisraeli wangapi.
Lengo ni kudeal na hamas ikiwezekana kuwamaliza nguvu kabisa.

Ni bahati mbaya kwamba hamas wameanzisha vita maksudi halafu wanatumia kinga ya raia ili kuamsha hasira za waarabu( waislam) wawaunge mkono.
 
Back
Top Bottom