Mkuu Alwaz: Umeiangalia clip ya Interview lakini? .....Ameshindwa mno kujibu maswali aliyoulizwa, unaona wazi anakwepa ukweli. Lakini Mkuu ulitegemea atasema nini hasa? Ana Mateka watoto wadogo mikononi mwake! Watu walikuwa kwenye Bonanza ya Muziki wakacharangwa na Machine guns utajiteteaje ndugu ALWAZ.
Kama unaitetea Hamas lazima ukubali hii ilikuwa ni very wrong move, great miscalculation, nadhani walikuwa wanadhani Iran itaingia kichwa kichwa kutoa support! Iran lazima ifikiri mara mbili! Regime ya Iran inataka pia kubaki madarakani, kufungulia mlango wa direct confrontation dhidi ya Marekani na Washirika wake sio kitu rahisi! Utafungulia mlango wa Wasioitaka Regime ya Akina Ayatotollah ndani ya nchi, Ni rahisi Iran kufanya hivyo kwenye propanganda! Na kutoa Indirect support! Sio kwenye vita hal;isi! Sasa Gaza inachinjwa mchana kweupe mbele ya Iran....vifo vinafikia zaidi ya 10,000... Iran inatoa matamko tu! Wamewaangusha sana Palestina.
Mkuu jamaa zako Hamas wali act kwa jazba, kwa watu ambao tunafuatilizia ugomvi huu Kihistoria Waarabu wana poteza tena, ilifanyika 1948, 1967, 1973 na sasa 2023! Wanapoanza confrontation kubwa kama hizi huwa wanapoteza, Hii ni Nakba nyingine waliojiletea.....Inasikitisha sana.