Misri, Jordan na Syria waipe muda (ultimatum) Israel kuacha misaada iingie Gaza wakati watu wanaanza kufa kwa njaa na kiu. Wavunje mikataba baina yao

Misri, Jordan na Syria waipe muda (ultimatum) Israel kuacha misaada iingie Gaza wakati watu wanaanza kufa kwa njaa na kiu. Wavunje mikataba baina yao

Malaria.....

Kwa hiyo unakubali huu sio ugomvi wa land...Bali ni kuitii Quran....Iko wazi mno....

Goals of the HAMAS:------------------'The Islamic Resistance Movement is a distinguished Palestinian movement, whose allegiance is to Allah, and whose way of life is Islam. It strives to raise the banner of Allah over every inch of Palestine.' (Article 6)On the Destruction of Israel:-----------------------------'Israel will exist and will continue to exist until Islam will obliterate it, just as it obliterated others before it.' (Preamble)
The Exclusive Moslem Nature of the Area:The land of Palestine is an Islamic Waqf [Holy Possession]consecrated for future Moslem generations until Judgment Day. No one can renounce it or any part, or abandon it or any part of it.'(Article 11)'Palestine is an Islamic land... Since this is the case, the Liberation of Palestine is an individual duty for every Moslem wherever he may be.' (Article 13)The Call to Jihad:------------------'The day the enemies usurp part of Moslem land, Jihad becomes the individual duty of every Moslem. In the face of the Jews' usurpation is compulsory that the banner of Jihad be raised.' (Article 15)

Kwa mantiki hii, hata siku moja Hamas hawawezi kushindwa....Wataishia kama ISIS tu!
Uko sahihi. Palestina haiwezi kupotea.Waarabu ambao wamejisahau kila vita vinavyoendelea bila kusitishwa watazinduka tu na kuwageuka Marekani na Israel.
 
Uko sahihi. Palestina haiwezi kupotea.Waarabu ambao wamejisahau kila vita vinavyoendelea bila kusitishwa watazinduka tu na kuwageuka Marekani na Israel.

Siwezi kusema ni njozi za kufikirika.......Maana maswala ya Imani ni magumu......Hao Waarabu unaowasema hatuoni hata dalili....ni kelele na matamko tu...! Wameingusha sana Hamas......!
 
Siwezi kusema ni njozi za kufikirika.......Maana maswala ya Imani ni magumu......Hao Waarabu unaowasema hatuoni hata dalili....ni kelele na matamko tu...! Wameingusha sana Hamas......!
siku baada ya siku salamu kutoka kwa wananchi zinawafikia na watabadilika.
Ukaidi na kiburi cha Israel na Marekani ni kwa hasara zao wenyewe.
 
siku baada ya siku salamu kutoka kwa wananchi zinawafikia na watabadilika.
Ukaidi na kiburi cha Israel na Marekani ni kwa hasara zao wenyewe.

Alwaz......Ni lini mkuu....? Miaka mitano....Kumi.......? Walijaribu1948.... 1967....1973 na sasa Gaza inachinjwa vipande viwili mbele ya nchi kama 22 za Kiarabu......na Muiran anaangalia tu.....Inasikitisha sana.....Labda Wasubiri China iwe super power......
 
Mashallah una imani, una huruma, kwa kweli unawapambania sana ndugu zetu wapalestina, kuna baadhi ya waislamu hawana habari nao, wengine tunao humu humu mitandaoni hatuoni wakichangia chochote, wapo kidunia, Allah akulipe kila la kheri ndugu yangu Alwaz

Pia Malaria 2 FaizaFoxy adriz @ Ritz na waislamu wote, Allah awalipeni..... Aamiin!
Shekh, usipindishe maneno. Sema Allah amlipe mja wake bikira nyingi zaidi huko ahera kwa kuhurumia magaidi.
 
Back
Top Bottom