Misri, Jordan na Syria waipe muda (ultimatum) Israel kuacha misaada iingie Gaza wakati watu wanaanza kufa kwa njaa na kiu. Wavunje mikataba baina yao

Yaonekana hujui kitu kinachoitwa WAR INTERNATIONAL LAWS.
mmeanz kumbuka international laws? trh 7/10 hamkujuwa kuwa kuna international laws ISRAEL UA MBWA HIZO ZILIHISI ZIPO MSUMBIJI [emoji23][emoji23]
 
mmeanz kumbuka international laws? trh 7/10 hamkujuwa kuwa kuna international laws ISRAEL UA MBWA HIZO ZILIHISI ZIPO MSUMBIJI [emoji23][emoji23]
Wapalestina kama wamevunja hizo interanational laws wamefanya mara moja tu hiyo tarehe 7Oktoba.Mbona babu zako wameshafanya kwa miaka 75 na wala hujawasema.
 
Umeandika kuifurahisha nafsi yako au umebuni tu?Ids fake zisikufanye ukawa na uwanda wa kumkadiria tu kila member.It's not healthy,POW!
Your previous comment ndio imenifanya niandike hicho nilichoandika. So kama unaona ni helpful tafuta mtu wa medani akunyambulie kidogo ila kama utaona najifurahisha achana nayo tu
 
Your previous comment ndio imenifanya niandike hicho nilichoandika. So kama unaona ni helpful tafuta mtu wa medani akunyambulie kidogo ila kama utaona najifurahisha achana nayo tu
Aninyambulie?Au ulikusudia kuandika "nimfundishe"?
 
wafanye chochote wanachotaka, ila discussion hizi zitakuja baada ya kumalizanana hamas, hapo ndio tutakaa na kuongea. hiyo picha sio ya watoto wa palestina, hawajakongoroka namna hiyo, hiyo ni picha ya Yemen huko ambako maustaadhi wanapigana na maustaadh wenzao. acheni uongo.
 
Hamas wanatumia raia km kinga ndiyo maana vifo vimekuwa vingi.
 
Hamas wanatumia raia km kinga ndiyo maana vifo vimekuwa vingi.
 
Hakuna haja ya kuonyesha maiti, Israel ametoa sharti dogo, Hamas wawaache mateka bila sharti lolote, Vita itaishia hapo, mbona hilo halisemwi, achieni mateka Vita iishe

Kama Hilo gumu, raia wameambiwa wahamie kusini ya Gaza ambako hakuna Vita, Hamas inawatishia wasihame ili waendelee kutumika kwenye propaganda za kuuwawa wanawake na watoto

Eti maji yamekatwa, nendeni kusini kwenye maji, umeme na misaada ya kutosha, Kama hamtaki damu yenu itakuwa juu yenu wenyewe
 

Nimeshindwa kabisa kulewa strategists wa Hamas walifikiri nini, agenda yao wameirudisha nyuma kwa gharama kubwa mno, sasa Gaza imekuwa vipande viwili! Wataanza mapambano mengine mapya huko mbeleni kuiokomboa Gaza!
 
Umewaona wapi.Na kule Ukingo wa magharibi nako mbona wanawaua bila sababu.
Acheni ulevi wa dini wa kijinga.

Waisraeli pia wanakufa.

Mbona mko humu mnaleta propaganda nyiingi Mara Askari was Israel kikosi kizima wameliwa, mnashangilia.

Hamas wamechanganyika KTK makazi ya raia. Au unadhani KWA Vita ya ardhini ya piga nikupige Basi Israel ataacha kurusha risas sababu Kuna raia.

Tuzungumze RIPOTI YA CAG

Tuzungumze miswada ya hovyo huko bungeni.pengine haya ndiyo tulitakiwa kujitoa mayo muhanga.

Tunapigia kelele Mambo yaliyotuzidi Kimi na uwezo.
 
MKUU KICHAPO KINAWACHANGANYA.
SI WALIKUA WANASHANGILIA OCTOBER 07
 
NANI ALIANZISHA OCTOBER 07
 
Tutaona magaidi kwenye mahandaki wataishije
Oh! very simple. Wataishi kadri ya vyakula, maji na HEWA walivyofaulu kuingia navyo na wamejiwekea akiba muda utakavyoruhusu. Ila kwa uhakika 100% wote walioingia mahandakini kwa sasa wajihesabu ni marehemu tayari na wala sio marehemu watarajiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…