Misri, Jordan na Syria waipe muda (ultimatum) Israel kuacha misaada iingie Gaza wakati watu wanaanza kufa kwa njaa na kiu. Wavunje mikataba baina yao

Uko sahihi. Palestina haiwezi kupotea.Waarabu ambao wamejisahau kila vita vinavyoendelea bila kusitishwa watazinduka tu na kuwageuka Marekani na Israel.
 
Uko sahihi. Palestina haiwezi kupotea.Waarabu ambao wamejisahau kila vita vinavyoendelea bila kusitishwa watazinduka tu na kuwageuka Marekani na Israel.

Siwezi kusema ni njozi za kufikirika.......Maana maswala ya Imani ni magumu......Hao Waarabu unaowasema hatuoni hata dalili....ni kelele na matamko tu...! Wameingusha sana Hamas......!
 
Siwezi kusema ni njozi za kufikirika.......Maana maswala ya Imani ni magumu......Hao Waarabu unaowasema hatuoni hata dalili....ni kelele na matamko tu...! Wameingusha sana Hamas......!
siku baada ya siku salamu kutoka kwa wananchi zinawafikia na watabadilika.
Ukaidi na kiburi cha Israel na Marekani ni kwa hasara zao wenyewe.
 
siku baada ya siku salamu kutoka kwa wananchi zinawafikia na watabadilika.
Ukaidi na kiburi cha Israel na Marekani ni kwa hasara zao wenyewe.

Alwaz......Ni lini mkuu....? Miaka mitano....Kumi.......? Walijaribu1948.... 1967....1973 na sasa Gaza inachinjwa vipande viwili mbele ya nchi kama 22 za Kiarabu......na Muiran anaangalia tu.....Inasikitisha sana.....Labda Wasubiri China iwe super power......
 
Alwaz:

Mkuu si ungetoa elimu kidogo ya huo uchokozi?
Elimu ni ndogo tu israhell kaja hapo kuikalia ardhi ya watu tokea miaka ya 1948 huko
Anatakiwa aregelee alipotoka ili kuukomesha uchokozi wake
 
Shekh, usipindishe maneno. Sema Allah amlipe mja wake bikira nyingi zaidi huko ahera kwa kuhurumia magaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…