Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?


  • Total voters
    225
  • Poll closed .
Mbona mawardat hayupo jamani? Au mnaogopa tako lake skonsi litawapiku wote hapo juu
 
This is utter rubbish and nonsense unless you want to compose a list of 72 mythical virgins of imaginary paradise found in moslem scriptures.

Kikawaida Watu wanaojifanya wapo serious sana hufa mapema na kuacha Yatima na wajane.

Piga kura
Huwezi/hutaki piga kushoto kama wengine wenye Akili
 
Wanaume tumekuwa tunawa entertain sana hawa mademu ndiyo maana wamekuwa wakitupanda kichwani wakati hawana mchango wowote chanya kwenye maisha yetu

Hawana mchango wowote wakati miezi tisa ulikuwa unanyea tumboni mwake mama yako. Embu kuwa Serious.

Piga kura hutaki waachie wengine. Maelezo mengine tofauti na kinachoendelea hapa hayana umuhimu wowote
 
@Evelyn Salt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…