Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

  • Total voters
    225
  • Poll closed .
Hapa ndipo huwa tunatolewa mapema kwenye mashindano ya nje.

Hii list uliipataje? Ukaacha warembo wazuri kama
1. Tayana-wog
2. Joanah
3. @L
4.@A.
Hapo yupo mmoja tu Demi
Bench la ufundi msimuingilie kocha kwenye usajili au kuita wachezaji

Kuna mtu atakuja kukwambia hakuna pisi kali inayobet

Nwei...hata mie mleta mada kanishangaza kidogo yaani imewezekana vipi kwenye top ten yake nimekosekana 🤣🤣🤣
 
Ni vigezo gani vimetumika kuwashindanisha hawa na sio wengine? Yaani hujaja na sababu za kuwashindanisha hawa, umeacha maelfu wengine. Bila vigezo hili "shindano" ni ubatili mtupu.

Waliobahatika kukumbukwa ndio walioshindanishwa. Kigezo kikubwa ni nyota(bahati) kwa sababu humu Watu hawajuani. Kinachotumika zaidi ni Schema
 
Kuna mtu atakuja kukwambia hakuna pisi kali inayobet

Nwei...hata mie mleta mada kanishangaza kidogo yaani imewezekana vipi kwenye top ten yake nimekosekana 🤣🤣🤣
Hutatolewa mapema sama game za kimataifa. Halafu kuna watu wakuja na usemi. " haiombwi hivyo"😂😂😂
 
Tofautisha MADEMU na mama zetu

Demu ni Mama wa mwingine kuwa na Adabu.

Hata hivyo kikawaida wanaume wenye inferiority complex ndio huwa na ile dhana ya kutoshobokea Wanawake.
kama wanawake wengi wanatabia ya kuona kuanzisha mawasiliano au mada na mwanaume ni kumshobokea na kujishusha.

Ukiwa wa chini ni wa chini tuu hata kama ungefanya nini. Na ukiwa ni wakuu ni wakuu tuu
 
Waweke picha,wafiche na nyuso zao,happy ninayemjua ni@Demi tu,wengine siwajui na sina uhakika kama walioorodheshwa hapo wote ni wadada au wamama,maana nimewahichati na mdau,kumbe ni ME humu.
 
Waweke picha,wafiche na nyuso zao,happy ninayemjua ni@Demi tu,wengine siwajui na sina uhakika kama walioorodheshwa hapo wote ni wadada au wamama,maana nimewahichati na mdau,kumbe ni ME humu.

Hapa ukiwa na uhusika wa kike utajulikana kama Mwanamke na ukiwa na uhusika wa kiume utajulikana kama mwanaume.
 
Back
Top Bottom