Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #261
Kura yangu nawapa washiriki wote ni wazuri sana nikitoa kwa upendeleo Itakuwa sio uchaguzi wa haki kama wanavyofanya kile chama cha kijani wote ni wachangiaji wa wazuri sana wa mada hapa jukwaani
Mshindi anatakiwa mmoja. Kitendo cha kuwapa kura wote ni kumnyima yule unayemuona ni mrembo