Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

  • Total voters
    225
  • Poll closed .
Wanajisevia minyama tu, wengine wamebaki kusifia kama mazuzu, nimecheka sana😂😂😂

Ukiwa unamiliki vitu vizuri huoni shida kusifia vizuri vingine vinavyomilikiwa na wengine.
Ukiwa unamiliki vibovu au hauna unachomiliki huwezi sifia vizuri zaidi ya kuviponda kwa sababu huna na hujawahi kuwa navyo
 
Hivi vigezo vya Miss vimebadilika?

I can imagine some of them ni mafurushi. Catwalk zao zinahitaji heels zenye unene wa nchi saba.

Mamiss used to be portable, soft skin, miguu ambayo vijana huita ya bia, nk

Hebu fikiria tu Litukunyema Faiza likipita, Yesu wangu!.....

Toka hapa
 
Ukiwa unamiliki vitu vizuri huoni shida kusifia vizuri vingine vinavyomilikiwa na wengine.
Ukiwa unamiliki vibovu au hauna unachomiliki huwezi sifia vizuri zaidi ya kuviponda kwa sababu huna na hujawahi kuwa navyo
Utachekwa sana, yaani bibi Fai kabisa😂😂😂
 
Huoni anakimbiza kwenye kura huko
Sio ajabu ukashangaa akawagaragaza hao wengine unaowaona ni warembo.
Hata ni mashindano lolote laweza kutokea. 😊😊
Huwajui wabongo wewe, ukikua utafuta kauli.

Bongo kitu kizuri utasikia...mbaya kinomaa.

Mweusi huitwa cheupe😂😂😂
 
Ila jf ,mambo mengi sana! Mara paap unakuta lucas mwanshambwa naye ni maza mmoja hivi, mama ntilie huko sitimbi kijijini
Tatizo la Watu wenye stress za Maisha huleta stress zao kwenye mitandao ya kijamii.
Wengine humu tuna mambo mawili tuu. Kujifunza na kuburudika full stop
 
Back
Top Bottom