Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?


  • Total voters
    225
  • Poll closed .
'Robert unapotea ndugu yangu'

Alisikika mshamba.

Wao hutowaskia wakiongelea 'Mr.jf' jinsia me tupunguze shobo😅

😄😄
Ukishakuwa kwenye mitandao ya kijamii. Tegemea viherehere ambao wanafuatilia mambo ambayo sio hobbies zao wala hayawahusu.
 
We umewaonea wapi? We utakuja uzungukwe nyuma, una uhakika wote hapo ni She? Mimi nina user yangu hapo ya ki-she lkn jidume na ndevu zimesimama kama mchongama
Jidume ni lugha zinazotumiwa na mashoga. Hakuna mwanaume anayetumia msamiati huo.
Kama umezoea kuzungukwa endelea tuu. Mali ni yako
 
Hivi vigezo vya Miss vimebadilika?

I can imagine some of them ni mafurushi. Catwalk zao zinahitaji heels zenye unene wa nchi saba.

Mamiss used to be portable, soft skin, miguu ambayo vijana huita ya bia, nk

Hebu fikiria tu Litukunyema Faiza likipita, Yesu wangu!.....
Hujaachaga bado ukorofi😂😂😂
Ngoja aje uone patakavyochimbika

How’s everything lakin?
 
Back
Top Bottom