Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Aisee kura yangu imeenda mahali sahihi.😂😂😂yeah,kwako mie ni mrembo sana...hii haipingiki hii.....hii imeendaa.Barikiwa sana my dear!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee kura yangu imeenda mahali sahihi.😂😂😂yeah,kwako mie ni mrembo sana...hii haipingiki hii.....hii imeendaa.Barikiwa sana my dear!
Madume matupu hayo.
madem tupo wawili tu humu, mimi na wewe.
😂😂😂 na tuna makomweMadume matupu hayo.
madem tupo wawili tu humu, mimi na wewe.
Stay blessed much... Uko poa lakiniAisee kura yangu imeenda mahali sahihi.
'Robert unapotea ndugu yangu'
Alisikika mshamba.
Wao hutowaskia wakiongelea 'Mr.jf' jinsia me tupunguze shobo😅
Bi chau cc faiza ugomvi wetu ni dini😂😂Ndoa yako na Bi Chau haitakaa ivunjwe. Pambana na jitu lako.
Huyo mtoto hatoweza mikiki ya bibi yake..
The code is coding 😂😂Nahisi sina hakika maana wote siwajui japo nina uhakika 100% kuna kikongwe kachomekwa kimakosa.
Wenye ID za L nahisi wana kitu
Hawezi kuwa mrembo, anahangaika humu kumtafuta mume.
Jidume ni lugha zinazotumiwa na mashoga. Hakuna mwanaume anayetumia msamiati huo.We umewaonea wapi? We utakuja uzungukwe nyuma, una uhakika wote hapo ni She? Mimi nina user yangu hapo ya ki-she lkn jidume na ndevu zimesimama kama mchongama
makomwe kama school bus 🙈😂😂😂 na tuna makomwe
Kwani mshindi anapewa nini jamani? 😜 Robert Heriel Mtibeli
Kweli, mfano mpwayungu village nani anajua jinsia yake?Umejuaje ni wanawake kweli? Na tuta judge vipi uzuri wao bila kuona picha zao halisi?
Hujaachaga bado ukorofi😂😂😂Hivi vigezo vya Miss vimebadilika?
I can imagine some of them ni mafurushi. Catwalk zao zinahitaji heels zenye unene wa nchi saba.
Mamiss used to be portable, soft skin, miguu ambayo vijana huita ya bia, nk
Hebu fikiria tu Litukunyema Faiza likipita, Yesu wangu!.....
siwez kupigia kura madume, mie kila siku simo kwenye orodha wanataja madume tu 🥴🥴🥴Komweeee komweee huu uzi unachekesha nimecheka sana asanteni [emoji23]
Unaambiwa chagua embe bora unachagua nazi, umechagua kosaKivipi wakati imehesabika?
Ah weee labda la kuchora 🤣🤣Kiutani utani unapata ndinga
Robert unapoteana sasa. You need time off.