Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?


  • Total voters
    225
  • Poll closed .
Kweli nimeamini humu watu hamjuani yaani haya majina yanawachanganya sana,kwenye hiyo list yako kuna watu ni vifutu tena na vitambi vya kutisha eti unawaweka kwenye list ya umiss dah.

Amini nachokwambia kuna watu hapo hawawezi kutokea endapo wataitwa kwa namna yoyote ile.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Demi ndio mrembo hapo. Lkn list fake imeletwa tupigie kura.

Rufaa imeshakatwa na Baraza la michezo limebatirisha shindano.

Mnaopigia kura mnapoteza muda.

Sponsor nimesema. Tajiri hapingwi[emoji23]
Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?

1. Ni Mrembo hakuna mfano

2. Ni Mwerevu wa uhakika

3. Ni Mstaarabu wa Kutukuka

4. Hana Dharau

5. Ni Mkarimu

6. Hana Majungu, Chuki na Wivu

7. Siyo Mnafiki na Mzandiki

Tafadhali TEAM GENTAMYCINE wote na Wengine mpeni Kura zenu nyingi mno Leejay49 ili aibuke Mshindi wa Shindano la Mrembo wa JamiiForums kwa mwaka huu wa 2023.

Kila la Kheri Leejay49 utashinda tu.
 

Kweli wajinga hawaishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…