S-series
Member
- Jul 2, 2014
- 29
- 42
Kweli nimeamini humu watu hamjuani yaani haya majina yanawachanganya sana,kwenye hiyo list yako kuna watu ni vifutu tena na vitambi vya kutisha eti unawaweka kwenye list ya umiss dah.Kwema Wakuu!
Zikiwa zimebaki siku tano mwaka 2023 ukatike. Bila kujali kuwa humuwengi hatujuani na hatuna mpango wa kujuana. Lakini kuna ile kitu inaitwa Schema Yaani kujenga taswira ya kitu, jambo au mtu kabla hujamuona/hujamuona mtu huyo.
Je kwa Schema yako, unafikiri ni memba gani humu ingetokea tuzo ya u-miss JF angeshinda kwa mwaka 2023?
Wagombea ni kama ifuatavyo
1@Kalpana
2 To yeye
3. amu
4. Nifah
5. Leejay49
6. Lovebird
7. Donatila
8. FaizaFoxy
9. Mrs Besyige
10. Depal
11. Demi
Miss JF 2023. Ameng'arisha
Amini nachokwambia kuna watu hapo hawawezi kutokea endapo wataitwa kwa namna yoyote ile.