Ila sifa ya Ukarimu amekusingizia tu. Ina maana wengine hutuoni kutufanyia ukarimu?π€£π€£πββοΈπββοΈπββοΈhahahahππ,, nimemwambia nitagawana nae likes na comments za ushindi π
ππππYaani hao waliorodheshwa kuwa walimbwende wenyewe wanaona aibu.
πΊπΊπAmri kuu ni upendo, tumeagizwa tupendane.
Nakupenda pia CF π€πΉ
Naomba tufahamiane dearπΊπΊπ
Kampigie kura bro. Yaani unampigia kura mwingine halafu unatakula kula kwingine.Cha ajabu mnaemponda ndie anaongoza kura hadi sasa
Kura nimeisha mpa kitambo sana, kwangu FaizaFoxy ndie mwanamke mwenye stara na heshima zaidi humu JFKampigie kura bro. Yaani unampigia kura mwingine halafu unatakula kula kwingine.
Love bila grease/oil haiendi. Fanya hivyo unanishuru PM chuma unakichomoa hicho mbona?πππ
Broo nisaidie mtoto nimemuelewa sana asije akaniumiza moyo wanguDepal njoo huku soma huo moyo asije akafa na una uwezo wa kumsaidiaπ€£π€£
Nacheka hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hizi Koments sasa[emoji1787][emoji2960]!
Hesabu umemkosa Depal .yaani usifie huko ule kwake. Mi kama kaka wa binti nimekataaa. Akupe casual love tuKura nimeisha mpa kitambo sana, kwangu FaizaFoxy ndie mwanamke mwenye stara na heshima zaidi humu JF
Ngoja tukae kikao cha ndugu. Ila ubadili voteπββοΈπββοΈBroo nisaidie mtoto nimemuelewa sana asije akaniumiza moyo wangu
Yaniii Jf stress free zone unacheka hadi basi !Nacheka hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haha FaizaFoxy ni dada yangu haina neno juu ya kumsifia, nakuomba shemeji unisaidie nimpatie Depal kqa hakika nitakuwa mwenye furaha sanaHesabu umemkosa Depal .yaani usifie huko ule kwake. Mi kama kaka wa binti nimekataaa. Akupe casual love tu
Ngoja tukae kikao cha ndugu. Ila ubadili voteπββοΈπββοΈ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji109]Wanaume tumekuwa tunawa entertain sana hawa mademu ndiyo maana wamekuwa wakitupanda kichwani wakati hawana mchango wowote chanya kwenye maisha yetu