Mama mchungaji una jicho la rohoni hahahaaa mi nacheka tu π€£π€[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yawazee ni mengi zaidi...
Nafikiri hawa watu wanamatatizo makubwa. Hivi wanajua kauli mbiu ya JF?
Aiseee
Kumbeπ€
Mlikuwa mnatumia vigezo gani ss,wakati watu hamjuani?
Umenikumbusha enzi hizo Chit-chat na Celebrity forum hatari sanaβ¦.halafu hapo kwenye list kuna pisi kali imewekwa lakini hadi sasa ina point chache sana hahahhahahaβ¦β¦! Enzi hizo βLeo tupo hapaβ
Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?Au tuingie tallying center . Kuna uchakachuaji wa matokeoπ€£π€£π€£π€£
Team GENTAMYCINE wana edit kabla yajaenda tumeπππββοΈπββοΈπββοΈ
Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?
Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?I can't throw my vote to nobody, may be angekuepo new school lady Joannah
Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?
Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?Leejay49, popote pale ulipo, ππ
Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?Ninayemfahamu hapo ni mmoja tu, wengine sijawahi watia machoni...
Utakuwa umebadili ID, kama unafahamu hadi kijiwe cha "Leo Tupo Hapa" kwa mjeshi...
Ngoja ni back track nijue ID yako ya kale...
Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?
1. Ni Mrembo hakuna mfano
2. Ni Mwerevu wa uhakika
3. Ni Mstaarabu wa Kutukuka
4. Hana Dharau
5. Ni Mkarimu
6. Hana Majungu, Chuki na Wivu
7. Siyo Mnafiki na Mzandiki
Tafadhali TEAM GENTAMYCINE wote na Wengine mpeni Kura zenu nyingi mno Leejay49 ili aibuke Mshindi wa Shindano la Mrembo wa JamiiForums kwa mwaka huu wa 2023.
Kila la Kheri Leejay49 utashinda tu.
3. Ni Mstaarabu wa Kutukuka
4. Hana Dharau
5. Ni Mkarimu
6. Hana Majungu, Chuki na Wivu
7. Siyo Mnafiki na Mzandiki
Leejay49 wangu anaenda Kushinda tunza hii Post yangu tafadhali.Cha kushangaza wanaomsema ni bibi mpaka muda huu ndio anaongoza kwa kura!