Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Mama mchungaji una jicho la rohoni hahahaaa mi nacheka tu 🤣🤭[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yawazee ni mengi zaidi...
Ngoja tusubirie tuone mshindi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama mchungaji una jicho la rohoni hahahaaa mi nacheka tu 🤣🤭[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yawazee ni mengi zaidi...
Nafikiri hawa watu wanamatatizo makubwa. Hivi wanajua kauli mbiu ya JF?
Aiseee
Kumbe🤔
Mlikuwa mnatumia vigezo gani ss,wakati watu hamjuani?
Umenikumbusha enzi hizo Chit-chat na Celebrity forum hatari sana….halafu hapo kwenye list kuna pisi kali imewekwa lakini hadi sasa ina point chache sana hahahhahaha……! Enzi hizo “Leo tupo hapa”
Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?Au tuingie tallying center . Kuna uchakachuaji wa matokeo🤣🤣🤣🤣
Team GENTAMYCINE wana edit kabla yajaenda tume😂😂🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?
Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?I can't throw my vote to nobody, may be angekuepo new school lady Joannah
Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?
Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?Leejay49, popote pale ulipo, 😋😋
Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?Ninayemfahamu hapo ni mmoja tu, wengine sijawahi watia machoni...
Utakuwa umebadili ID, kama unafahamu hadi kijiwe cha "Leo Tupo Hapa" kwa mjeshi...
Ngoja ni back track nijue ID yako ya kale...
Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?
1. Ni Mrembo hakuna mfano
2. Ni Mwerevu wa uhakika
3. Ni Mstaarabu wa Kutukuka
4. Hana Dharau
5. Ni Mkarimu
6. Hana Majungu, Chuki na Wivu
7. Siyo Mnafiki na Mzandiki
Tafadhali TEAM GENTAMYCINE wote na Wengine mpeni Kura zenu nyingi mno Leejay49 ili aibuke Mshindi wa Shindano la Mrembo wa JamiiForums kwa mwaka huu wa 2023.
Kila la Kheri Leejay49 utashinda tu.
3. Ni Mstaarabu wa Kutukuka
4. Hana Dharau
5. Ni Mkarimu
6. Hana Majungu, Chuki na Wivu
7. Siyo Mnafiki na Mzandiki
Leejay49 wangu anaenda Kushinda tunza hii Post yangu tafadhali.Cha kushangaza wanaomsema ni bibi mpaka muda huu ndio anaongoza kwa kura!