Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?


  • Total voters
    225
  • Poll closed .
GENTAMYCINE waombe wenye kura pungufu ya 20 wahamishe kura zao kwa mgombea wako Leejay49 . Hali sio nzuri huku Yakhee!
Shindano lako Mshindi anapata Fedha au Tuzo yoyote? Kama jibu ni Hapana basi wala sijali hata kama Leejay49 hatoshinda..

Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?

1. Ni Mrembo hakuna mfano
2. Ni Mwerevu wa uhakika
3. Ni Mstaarabu wa Kutukuka
4. Hana Dharau
5. Ni Mkarimu
6. Hana Majungu, Chuki na Wivu
7. Siyo Mnafiki na Mzandiki

Tafadhali TEAM GENTAMYCINE wote na Wengine mpeni Kura zenu nyingi mno Leejay49 ili aibuke Mshindi wa Shindano la Mrembo wa JamiiForums kwa mwaka huu wa 2023.

Kila la Kheri Leejay49 utashinda tu.
 
Mbona mshindi hajatangazwa ,
Au mlishagakuwa na majina yenu
 
Khaaaa huu ni udhalilishaji walai... 🤣
🤣 🤣 🤣
Naona kura zimepigwa kulingana na mdomo wa mtu..watu wanapenda maneno laini laini...
Ila hapa kwa Faiza wanaume mna wivu tuu mmeshindwa nini kumpigia kura Donatila akachukua...mdada wa Mungu..
 
Back
Top Bottom