Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Cc mwenyekiti dronedrake 🤒Hizi fantasy zitawamaliza watu wa JF,na nahisi wengi humu ni wapiga nyeto wazoefu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cc mwenyekiti dronedrake 🤒Hizi fantasy zitawamaliza watu wa JF,na nahisi wengi humu ni wapiga nyeto wazoefu.
Dhambi kubwa jf kuliko hata kumuita memba mbuzi.. walinioteaga ya week 😂😂😂😂😂😂😂
binti kiziwi nakusemea upigwe ban la milele kwa name calling …hahahahaha! Au basi….
Cc mwenyekiti dronedrake [emoji855]
Ila we Jamaa Uzi mzima Ume jaa promotion zako🤔🤔😄😄Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?
1. Ni Mrembo hakuna mfano
2. Ni Mwerevu wa uhakika
3. Ni Mstaarabu wa Kutukuka
4. Hana Dharau
5. Ni Mkarimu
6. Hana Majungu, Chuki na Wivu
7. Siyo Mnafiki na Mzandiki
Tafadhali TEAM GENTAMYCINE wote na Wengine mpeni Kura zenu nyingi mno Leejay49 ili aibuke Mshindi wa Shindano la Mrembo wa JamiiForums kwa mwaka huu wa 2023.
Kila la Kheri Leejay49 utashinda tu.
Jaza form Kisha copy ipeleke kwa mwenyekiti dronedrake na katibu wake mshamba_hachekwi 😄😄🤒Kaka naomba kadi ya uanachama
Msimu wa mapunziko huu heka heka za sikukuu😂Jaza form Kisha copy ipeleke kwa mwenyekiti dronedrake na katibu wake mshamba_hachekwi 😄😄🤒
View attachment 2857499
Jaza form Kisha copy ipeleke kwa mwenyekiti dronedrake na katibu wake mshamba_hachekwi [emoji1][emoji1][emoji855]
View attachment 2857499
Neemeka na Vaseline😄🤣🤣Msimu wa mapunziko huu heka heka za sikukuu😂
😂😁😁Jaza form Kisha copy ipeleke kwa mwenyekiti dronedrake na katibu wake mshamba_hachekwi 😄😄🤒
View attachment 2857499
Kaka acha niende mjini, nikale mahindi🤣😂😄
Ila we Jamaa Uzi mzima Ume jaa promotion zako🤔🤔😄😄
👉For real punguza bhana😄🤣🤒
Oyaa Leejay49 Ume mlioa genta ehh😂🤣🤣😄🤔Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?
1. Ni Mrembo hakuna mfano
2. Ni Mwerevu wa uhakika
3. Ni Mstaarabu wa Kutukuka
4. Hana Dharau
5. Ni Mkarimu
6. Hana Majungu, Chuki na Wivu
7. Siyo Mnafiki na Mzandiki
Tafadhali TEAM GENTAMYCINE wote na Wengine mpeni Kura zenu nyingi mno Leejay49 ili aibuke Mshindi wa Shindano la Mrembo wa JamiiForums kwa mwaka huu wa 2023.
Kila la Kheri Leejay49 utashinda tu.
Kama Leejay49 ameongoza kwa Siku Nne ( 4 ) mfululizo hadi hii leo ya mwisho hata kama asiposhinda Yeye na akashinda huyo Mwingine bado Kwangu Mimi Mshindi wangu atakuwa ni Leejay49 tu.
Walipotelea wapiShindano la Mwisho hapa JF ilikuwa ni kati ya shansarie na Lady doctor.
Sifikirii kama ule ushindani utajitokeza tena.
Anyway kila la heri washiriki wote.